Lt Gen Masunzu, amelitaka jeshi la serikali ya Congo, kujiandaa vita vipya, kuhakikisha M23 inapoteza maeneo iliyo nayo kwa sasa, mashariki mwa DRC.
M23 na yenyewe haiko tayari kuachia. Huku ikisemekana inapata msaada toka Rwanda, upande wa serikali ya DRC, msaada wao wanapata kutoka Burundi na...