MBOKA NA BISO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 709
- 790
Lt Gen Masunzu, amelitaka jeshi la serikali ya Congo, kujiandaa vita vipya, kuhakikisha M23 inapoteza maeneo iliyo nayo kwa sasa, mashariki mwa DRC.
M23 na yenyewe haiko tayari kuachia. Huku ikisemekana inapata msaada toka Rwanda, upande wa serikali ya DRC, msaada wao wanapata kutoka Burundi na SADC.
Taarifa zilizopo zinasema wanajeshi wa SADC waliotoka nchini humo kupitia Rwanda, huku wakielekea Chato, huenda mpango ukawa kurudi DRC kupitia Burundi, ambapo wapo wanajeshi wa Burundi.
Haya yanaendelea, wakati Marekani inatarajia kukutana na viongozi wa Rwanda na DRC kusaini makubaliano ya amani na kumaliza vita hivi.