kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chukua hii Unapojenga gholofa je umwage nguzo kwanza au uanze tofali kujenga kwanza ndipo umwage nguzo?

    Chukua hii Unapojenga gholofa je umwage nguzo kwanza au uanze tofali kujenga kwanza ndipo umwage nguzo? karibu chukua hii mbinu moja ya ujenzi ya kupata kitu cha kisasa na bora hasa kama unajenga gholofa. Unashauriwa umwage nguzo kwanza. kwanini sababu ni kwamba ili cement ifikie ubora wake...
  2. JamiiForums Tanzania Maelekezo kujenga kitu kama hiki

    Habari.. Raman ipo hivi vipimo tutaweka baadae nkipata fundi Ukimodify nataka iwe hivyo mbele afu nijenge nusu nusu Mpauwo nafikiria uwe hivi Je , wataalamu inawezekana . Lengo ni mwakani nije kuunga kirahisi inakuaje wakuu.. mawazo yenu ni muhimu Nb. Maelezo yamepangwa kulingana na...
  3. JamiiForums Tanzania China kujenga bwawa kubwa zaidi duniani Tibet kwa gharama inayozidi bajeti ya mataifa kadhaa Afrika

    China imeanza maandalizi ya mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwenye ukingo wa mashariki wa jimbo la Tibet, katika mto Yarlung Tsangpo. Bwawa hili linatarajiwa kuwa kubwa zaidi duniani, likigharimu takriban dola za Kimarekani bilioni 170, sawa na takriban TZS trilioni 443.5...
  4. JamiiForums Tanzania JWTZ Yapata kazi ya kujenga madaraja Afrika ya Kati

    Pongezi nyingi kwao. Hii ni taarifa kupitia Milard Ayo ambapo Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ wamepata tenda ya kujenga madaraji nchini Afrika ya Kati. ============== Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda Amani Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), umelipatia Jeshi la...
  5. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Press ya Kwanza ya Polepole: Amevuta ushawishi, ameweza kujenga hoja, amefungua mjadala

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya. Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa...
  6. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uteuzi wa Wabunge ndani ya CCM unatoa changamoto kubwa, Rushwa na hauna haki katika kujenga demokrasia ya kweli nchini Tanzania

    Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nini jamii ya Waafrika imekuwa nyuma sana katika kubuni na kujenga majengo ?

    Tangu karne za zamani civilisations nyingi zimekuwa zinajenga majengo ya kustaajabisha sana kasoro ya Waafrika weusi tu. Mpaka sasa hivi bado hali ni hiyo hiyo tu. Shida ni nini? Hembu linganisha hii mifano ya jamii nyingine na Waafrika.
  8. JamiiForums Tanzania kwanini unaogopa kujenga ghorofa?

    habari naitwa Eng James niambie kwanini unaogopa kujenga ghorofa?
  9. JamiiForums Tanzania Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika mpaka Ulaya lakini hakuna wazo la kujenga daraja

    Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika kwenda Ulaya lakini hakuna aliyependrkeza wazo la kujenga daraja. Wakati tunaelewa Ulaya inapata malighafi nyingi kutoka Afrika na pia inapata wafanyakazi vijana kwa ujira mdogo.
  10. JamiiForums Tanzania Kujenga ghorofa la mawe kunaweza kuwa cheap kuliko ghorofa la kawaida?

    Wataalamu wa ujenzi. Kwa maeneo ambayo mawe yanapatikana kwa kirahisi na cheap, kujenga ghorofa la mawe inaweza kuwa cheap kuliko kujenga ghorofa la kawaida?
  11. JamiiForums Tanzania Nini cha kuzingatia unapohitaji kujenga fensi?

    Kujenga fensi ni zaidi ya kuweka tu kizuizi—ni kuhusu usalama, faragha, na hata uzuri wa mazingira yako. Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Aina ya fensi: Je, unahitaji fensi ya mbao, chuma, waya, au ukuta wa mawe? Kila aina ina gharama, uimara, na mwonekano tofauti. 2. Lengo la...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hatukopi kununua sare za harusi, tunakopa kujenga mashule nk

    Tukumbushane Mheshimiwa Rais alisema hatukopi ili kununua sare za harusi, badala yake tunakopa kujenga Mashule nk. Usisahau kua deni limefika 107t Na leo tumeambiwa uchumi wetu unafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani. Shule zetu ndo hizo wajameni baada ya miaka 63 ya uhuru
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kujenga Apartments

    Habari zenu wadau.. Mimi ni mdada nakuja kwenu kuomba ushauri. Nataka kujenga appartments za kisasa ambazo zitakuwa ni sebule, chumba, choo, na jiko.. luku ya kujitegemea na maji kujitegemea. Nimepanga kujenga tatu in a compound. Sasa bajeti yangu ni kama milioni 100. Kiwanja sina bado. Je...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano Gani kati ya kiwanja na aina ya jengo ninalotaka kujenga?

    Sijaelewa kama Kuna Sheria inayoongoza matumizi ya Ardhi na ujenzi inavyotafsiri uhusiano uliopo kati ya Ardhi na aina ya jengo linalotakiwa kujengwa Hizi "High, medium &Low density" zinajengwaje? Maana utakuta wanunuzi wa viwanja wanabadili aina ya jengo bila ya kuzingatia ukubwa wa kiwanja.
  15. JamiiForums Tanzania Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi

    Bure kabisa fatilia hapa Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi vya kulala Wasalaam Eng James 0743 257 669
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tabora: Serikali yatoa bilioni 26.9 kujenga Skimu ya umwagiliaji Mwamapuli

    📍NIRC: Igunga Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imeingia mkataba na mkandarasi mzawa kampuni ya Samota limited kujenga mradi wa skimu ya umwagiliaji Mwamapuli, katika kijiji cha Mwanzugi wilayani Igunga mkoani Tabora, mradi ambao utagharimu zaidi ya shilingi bilioni 26.9...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA Wajitafakari: Siasa za Kudandia hoja haziwajengi wala kujenga Taifa

    Katika historia ya vyama vya upinzani nchini Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejipambanua kama sauti mbadala ya kisiasa. Hata hivyo, miaka ya hivi karibuni imeonesha mwelekeo unaotia shaka: chama hiki kimegeuka kuwa jukwaa la kila anayepinga serikali—bila kujali dhamira...
  18. JamiiForums Tanzania WATANZANIA KUMTUKANA RAISI NA KUJENGA CHUKI NAE HAIWASAIDII

    PAMBANANE NA HALI YENU KWA 100% HATA HALI IWE MBAYA SANA KUFIKIA KIASI CHA KUFA NJAA, MTAKUWA NYIE NDIO WA KULAUMIWA. KWANZA NI WAOGA WA KUDAI HAKI ZAO WAZIWAZI. NA WALE WANAOJITOKEZA KUDAI HAKI ZAO WANATUMIA NJIA ZA KIJINGA SANA. HUWEZI UKAMTISHIA MTU MWENYE BASTOLA WAKATI WEWE MWENYEWE...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kujenga daraja linalounganisha kijiji cha Gegero – Kilindi

    Serikali imethibitisha kuwa inaendelea na hatua za awali kuelekea ujenzi wa daraja la kudumu linalounganisha Kijiji cha Negero katika Wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga, ili kuboresha miundombinu na kuchochea shughuli za kiuchumi kwa wananchi wa eneo hilo. Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kujenga

    Naomba muelekezo wa fundi nyumba ili nimalizie nyumba. Finishing, umeme, maki, rangi, tiles nk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…