kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanesco: Ni Umbali Gani Mtu Anaruhusiwa Kujenga Nyumba Kutoka Ilipo Nguzo ya Umeme wa Grid ya Taifa?

    Naiona hiyo nyumba inayopauliwa kuwa hatarini kutokana na umbali toka nguzo ya umeme kuwa mdogo sana
  2. JamiiForums Tanzania Chonde chonde PPRA, waruhusuni TRC kuchagua mkandarasi wa kujenga reli kwa mfumo wa single source for a National interest

    Nimeona kwenye magazeti juu ya mvutano wa PPRA na TRC kuhusu mfumo wa kuchagua mkandarasi wa kujenga reli. Nawaomba PPRA waangalie jambo hili kwa maslahi mapana ya taifa ili kuwawezesha TRC kupata mkandarasi atakaye weza kujenga reli at EUROPEAN standards. Mkiruhusu international competitive...
  3. JamiiForums Tanzania Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

    Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni...
  4. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa kuwa na mfumo wa ufuatiliaji na tathmini matokeo katika kujenga Uwajibikaji na Utawala Bora (Result-based monitoring and evaluation system)

    Mataifa mengi duniani yamekumbwa na msukumo wa nje na hata wa ndani wa kuleta mabadiriko katika uongozi wa uma. Na madai ya kuataka mabadiriko yanatoka katika vyanzo mbalimbali ikihusisha Wananchi , Asasi za kiraia , vyombo vya habari na vyama vya upinzani.M ara nyingi madai yao yamejikita...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya yapokea Tsh bilioni 1 ya fedha za tozo kujenga vituo vya afya 4

    Katika fedha za makato ya simu, sisi Mbeya tumepokea shilingi bilioni 1 kwa ajili ya vituo vyetu vya afya vinne ambavyo ni kule Chunya tarafa ya Kipembawe, Unyakyusa, Utagano na Mbeya DC pia tumepata kimoja kwahiyo ni ahueni kubwa kwetu." Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera.
  6. JamiiForums Tanzania Halmashauri nyingine ziige hili la jiji la Mbeya kujenga English medium za Serikali

    Miaka ya 2000 mwanzoni jiji la Mbeya walijenga Shule ya Mkapa ambayo ni ya msingi lakini inafundisha kwa kiingereza, ada yake ni ndogo sana ukilinganisha na zile za private. Mpaka sasa wana shule 3 za aina hiyo na wana mpango wa kujenga zingine 3. Kwa sababu kuanzia sekondari masomo ni kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu kuomba World Vision mshirikiane kujenga madarasa tozo mnapeleka wapi

    Mhe Ummy ni Mgeni rasmi kwenye sherehe ya maika 40 ya World Vision Dodoma, anamuomba Mkurugenzi wa World Vision Gilbert washirikiane kujenga madarasa. Najiuliza walisema tozo zinatosha kabisa kwenye ujenzi wa madarasa, madawati na Hospitali hili la kuomba msaada inakuwaje tena, hapa nadhani...
  8. JamiiForums Tanzania Baba yake Mbowe kusaidia kudai Uhuru sio defence ya Mbowe kutofanya uhalifu, tutumie busara kujenga hoja

    Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI...
  9. JamiiForums Tanzania Musoma-Mara, watoto 40 wanasomea chini ya mti, wazazi waamua kujenga madarasa

    Watoto 40 wa darasa la awali, katika Shule ya Msingi Buraga Mwaloni, Kata ya Bukuma, Musoma Vijijini mkoani Mara, wanasomea chini ya miti, hali iliyowalazimu wazazi kujenga madarasa kwa ajili ya watoto wao. Chanzo: Nipashe __________________________________________________________ Naomba...
  10. JamiiForums Tanzania Mliofanikisha kujenga nyumba, Tupeane uzoefu hapa

    wakuu natumai hamjambo! Kama jinsi ilivyoada, kila mtu anatamani kuwa na mahali pake binafsi pa kuishi yeye na family yake, ingawa kwa upande mmoja kwa baadhi ya watu hili suala si changamoto kwao kwa sababu ya uzoefu ama mfuko umekaa njema kiuchumi, lakini kwa upande mwingine kwa watu aina...
  11. JamiiForums Tanzania Chunya, Mbeya: Ndoto ya Hamza kujenga shule yaacha simanzi

    Summary Ndoto ya marehemu Hamza Mohamed ya kujenga vyumba vya madarasa wilayani Chunya imeacha simazi miongoni mwa wanavijiji waliokuwa wkaiishi naye. By Hawa Mathias Mbeya. Wakati bado kukiwa na majonzi ya vifo vya askari polisi waliokuwa wakipambana na mfanyabiashara wa madini, Hamza...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kreni ya Kujengea Ghorofa Laanguka na Kuua Kenya: Majirani Bora Muache Kujenga Maghorofa

    Kreni ya Kujengea jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi limeanguka na kuua watu 8. Wawili wakiwa raia wa kigeni na 6 wakiwa wakenya. Mkasa huo umetokea leo, ambapo wakati ujenzi ukiwa unaendelea, mara ghafla bin vuu, kreni ikaanza kuanguka huku ikiwa na mzigo na kuwaangukia watu waliokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rungwe: Wananchi Wahamasishana kuchanga milioni 100 kujenga ofisi ya Kata ya CHADEMA

    Wananchi wa kata ya Ndato wamekubaliana kwa kauli moja bila kujali itikadi zao kuchangia ujenzi wa Jengo hilo la kata la Chadema ambalo ndani yake kumepangwa kuwa na Maktaba ya kusomea wanafunzi wote wa kata hiyo. Diwani mstaafu wa kata hiyo, Mh Paulo Zambi ndiye aliyeandaa harambee hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda

    Ni jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati na linatarajiwa kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye ukanda huu. Kampuni ya kitanzania ya AICL na Edinburgh Crowland wameingia makubaliano na msanifu wa majengo, xCassia kuja na jengo la ghorofa 70. Jengo hilo litaitwa 'Zanzibar Domino Commercial Tower...
  15. JamiiForums Tanzania Nitafurahi endapo tozo ya mwezi Septemba itaenda kujenga flyover mataa ya Morocco

    Taarifa ya awali inasema takriban billion 50 zimekusanywa katika wiki 4 za mwanzo kupitia tozo mpya ya kizalendo kwenye miamala ya simu. Tumeambiwa kwamba tayari billion 15 na bilion 7 zimeshatolewa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya 150 pamoja na kufanya finishing ya maboma ya madarasa yapatayo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni hali ya kawaida kwa wale wenye uzoefu?

    Saalam! Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua, nami leo nimeona niweke wazi mambo yangu ili niweze kusaidiwa kupitia jukwaa hili ambalo kwangu limejipambanua kuwa suluhisho la matatizo mbalimbali katika jamii. Nisiwachoshe ndg wasomaji niende moja kwa moja kwenye lengo mahususi. Mimi...
  17. JamiiForums Tanzania Milioni 400 kujenga majengo matano ya kituo cha afya cha Mtoa - Iramba

    MILIONI 400 KUJENGA MAJENGO MATANO YA KITUO CHA AFYA CHA MTOA - IRAMBA. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea kufanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi ambapo akiwa kata ya Mtoa amesikiliza kero za wananchi na kufuatilia ujenzi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa gharama ya Kujenga msingi

    Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani? kaniambia mil 12 kidogo nizimie. Ambao mmejenga naombeni mnijuze mlitimia...
  19. JamiiForums Tanzania Mil.15 inatosha kujenga nyumba ya vyumba 4 Dodoma?

    Wandugu, Nimeamua kujenga kajumba ka kupangisha watumishi wa serikali hao wanaohamia Dodoma, kiwanja kipo, eneo flat, na mkononi ninazo mil.15, je? kwa ujenzi wa nyumba Dodoma naweza kuifikisha katika level gani? wataalamu naomba mchanganuo tafadhali. Asante.
  20. JamiiForums Tanzania Mpango wa kujenga nyumba kwa kuhifadhi mahitaji kwanza

    Ndugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo na kuvihifadhi stoo Naomba kwa wale wenye uzoefu tusaidiane mawazo yafuatayo; 1. Vitu gan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…