Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.
hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi...
Serikali imetenga zaidi ya Sh160 milioni kwa ajili ya kujenga kituo cha kukusanya maziwa Msomera ili kuhakikisha wawekezaji wanaenda kuwekeza.
Serikali inataka kuwa na vituo vya kukusanya maziwa na kituo kikubwa kwa Handeni kitakuwa Msomera.
Hii itasaidia wawekezaji zaidi kwenda Msomera na...
ASALAAM, NIMEMSIKILIZA ADEN RAGE leo asubuhi kwenye kipindi cha Sport cha Wasafi Media. Anasema kama Simba wana 20B kwenye account watumie hizi pesa kuchukua mkopo ili kuanza ujenzi wa HOSTEL ZA KISASA, GYM YA KISASA KIWANJA CHA KISASA ili hizi hela zinazochangishwa zitumike kuandaa mfano...
Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo.
So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively
Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
Habari wa nzengo (salaam kutoka Jijini Mwanza)
Mimi ni kijana mpambanaji. Nimekua katika hustles kwa muda mrefu sasa naona milango ya baraka inafunguka na mimi sitaki kuchezea nafasi. Mwisho wa mwezi uliopita nilibahatika kununua kiwanja kwa bei ya kugalaliza vibaya sana.
Size ya kiwanja ni...
Watanzania wengi tunamatatizo ya Ushamba hasa katika ujenzi wa nyumba, kiukweli sisi ambao tumekulia sana nchi za nje tunaona mambo ni tofauti sana.
Katika ujenzi wa nyumba hapa nchini, nyumba nyingi ni nzuri sana kwa nje na zimejengwa kwa gharama kubwa nje kuliko ndani, utadhani huko nje ya...
Lini mnatekeleza hii ahadi ndugu zangu wa huko ng'ambo. Au mlitufunga kamba?
HILI MLIAHIDI MIAKA MIWILI ILIYOPITA
======
Pia soma:
- Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara
- Mdau wa Diaspora ajibu maswali kuhusu daraja...
Kiufupi mapenzi hayana Fomula Ni Bora kudeti na demu wa kawaida sura ya Baba kipindi ukiwa katika hard moment ili kusoma upepo wa. Maisha na kuitafuta Kesho iliyo Bora .
Sura ya Baba hawana gharama
Wako deep . katika mapenzi
Hata akikupiga chini hakuna kuumia
Hi itakusaidia kufocus vizuri...
Habari wakuu.
Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo)
Tofali za msingi = 2856 (kwa kozi sita)
Tofali za Boma = 5015
Bati (za 0.9m X 3m) = 175 pc
Nime’attach picha yenye...
Siku hizi watalii wanataka sehemu za kupiga picha na kupost intagram, facebook, whatsapp nk nk. Ndiyo maana miji mizuri ndiyo inaongoza kwa kupokea watalii. Mtu hataki kuja kutalii halafu anakutana na takataka, open sewers, makopo ya maji, barabara za vumbi nk nk
Tungerekebisha miji yetu ya...
Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika.
Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
Mimi Ni Quantity Surveyor au mtaalamu wa gharama za ujenzi .
Tafadhali anayehitaji kujenga Kama tayari una ramani yako au utahitaji tu Nikuchoree na nikuandalie BOQ yaan makadirio ya materials yanayohitajika na gharama zake ili kuepuka kuingia gharama na kuibiwa na mafundi au kununua material...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye bidii za kichumi huko USA Mama anaupiga mwingi sana. Kazi na bata vinakuja tuvumilie kidogo nchi inafunguka
Huu uzi ni wa kusifu wenye stress subirini hadi sherehe za IDD
- Huwezesha kujua hali yako kiafya: Vipimo vya mara kwa mara hupelekea mtu kuwa na taarifa muhimu zitakazomsaidia kufanya maamuzi sahihi kuhakikisha ustawi wa Afya yake
- Husaidia kubaini Magonjwa mapema: Utaratibu wa kwenda kupima Afya yako mara kwa mara unaruhusu Madaktari kubaini viashiria...
===
Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki,
Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima?
Hebu jiulize...
Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso.
Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga...
HOSPITALI ya Aga Khan, Dar es Salaam, imezindua rasmi ujenzi wa Kituo chake cha kisasa cha Tiba ya Saratani kitakachonufaisha hadi watu milioni 1.7 katika mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza.
Kituo hicho kitakachojengwa katika hospitali hiyo jijini Dar es Salaam, kitapokea hadi wagonjwa 125...