kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye umri wa miaka 37 atumia kidole kimoja kujenga maisha ya furaha

    Julai Mosi 2022, katika Kijiji cha Desheng, Mkoani Shaanxi China, Bibi Zou Wenling mwenye umri wa miaka 37 aliyepoteza vidole tisa alipokuwa na umri wa mwaka mmoja anatumia kidole kimoja kudarizi, kulima na kufuga kuku akiwa na tabasamu kukabiliana na maisha magumu.
  2. JamiiForums Tanzania Wajapan kujenga shule ya uhandisi wa tiba jijini Dodoma

    Kampuni ya Japan ya Association of African Economic Development (AFRECO) imeonesha nia ya kujenga chuo cha uhandisi wa tiba (School of Medical Engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba nchini. Rais wa kampuni hiyo, Bwn...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna ya kuongoza kwao, Ndugu zangu, kwanza wote wawili Ni viongozi wanaoamini katika Maridhiano na...
  4. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala Bora katika kujenga nchi na kuchochea uzalendo bora

    UTAWALA BORA KATIKA KUJENGA NCHI NA KUCHOCHEA UZALENDO BORA Utawala bora ni mchakato wa kuongoza nchi kwa kuzingatia suala la Demokrasia na utu wa wazawa katika nchi,utawala bora ni dhana kubwa ya kuwaleta viongozi wanaongoza na raia mahali pamoja ili kulijenga Taifa lenye maendeleo. Mambo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atakumbukwa kwa kujenga uchumi unaowagusa Watanzania

    Ndugu zangu, wanasema uchumi mzuri ni ule unao gusa maisha ya watu wengi. Ukimfuatilia vizuri Mh. Rais wetu utagundua kuwa anajenga uchumi wenye kumgusa kila Mtanzania. Kwanza Mh. Rais ametambua kuwa kilimo ndio sekta iliyo ajiri watanzania wengi wa makundi tofauti tofauti. Hivyo juhudi zozote...
  6. JamiiForums Tanzania Wazazi wajikite kujenga misingi bora ya malezi ya watoto wao

    WAZAZI WAJIKITE KUJENGA MISINGI BORA YA YA MALEZI YA WATOTO WAO. Kasi ya mabadiliko ya hali ya maisha imekuwa ikitengenisha wazazi na watoto wao hadi kufikia wazazi kukosa muda wa kutosha kukaa au hata kuishi na familia zao kwa muda mrefu katika Dunia ya sasa. Katika Dunia ya sasa sio jambo la...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya kujengewa Tiles, Tarazo, Mable, Tanga stone, Mosaic na Palving Stone njoo hapa

    Habari wakuu, kwa mwenye mahitaji ya kujengewa tiles, tarazo, mosaic, mable, tangastone na palving stones kwa mitindo wa kisasa na gharama rafiki na hata kwa malipo ya awamu kama huna cash, wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo; - 0782369491 na -0654121218 na wasap kwa picha zaidi. au barua...
  8. JamiiForums Tanzania Mo Salah atoa Pounds 3,000,000 za Misri ($156,664) kujenga upya Kanisa lililoungua Giza

    Jamaa kafanya jambo kubwa sana huko kwao. --- Egyptian Liverpool forward Mohamed Salah has donated three million Egyptian pounds ($156,664) to help rebuild a church in Giza where a fire on Sunday killed 41 people and left several others injured. Social media channels in Egypt were full of...
  9. JamiiForums Tanzania Kujenga na kilimo kipi kitangulie?

    Ndugu wanaJF poleni na majukumu. Vijana wengi huwa tunaumiza sana vichwa tena mara pengine tunashindwa kufanya maamuzi sahihi. Nakumbuka kunawosia nilipewaga na mzee mmoja lakini ukiangalia inamashiko kiasi flani.. Huyo mzee aliniuliza niko na miaka mingapi wakati huo nataka kujenga kijinyumba...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo zuri la kujenga Mwanza

    Habari wana JF Naomba kwa wenyeji wanisaidie ni eneo gani zuri na halina mawe la kuweza kujenga Mwanza?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe na Chadema mlifanya siasa za Kuboa na hayati JPM? Siasa za kujenga ni kulamba asali?

    Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe. Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu. Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa? Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbowe-tulikubaliana-na-rais-samia-kufanya-siasa-za-kujenga-nchi-3912844
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Unguja kuanza ujenzi wa barabara za juu (Flyover)

    Mradi wa ujenzi wa barabara za juu (Flyover) katika mkoa wa mjini magharibi kisiwani unguja, unatarajiwa kuanza hivi karibuni baada ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia katibu mkuu wa wizara ya ujenzi mawasiliano na uchukuzi wa Zanzibar Bi.Khadija Khamis Rajab kusaini mkataba na...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali kutumia Bil. 169/- kujenga VETA 60 nchi nzima

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imewekeza Tsh 169bn/- kwenye ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) 60 nchi nzima.
  14. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya gani kwa serekali yetu kulitwaa eneo la vingunguti na kujenga makazi ya kisasa

    Ipo haja ya serekali yetu kuona umuhimu wa suala hili, kwa ni eneo ambalo lipo kilometre chache sana kutoka city center, linastahili kuwa upgraded n kufanana na maeneo ya upanga na kwingineko, pia ni eneo ambalo linaeweza kupangwa tukapata kariakoo 2,mpangilio wa ujenzi ufanywe kwa wenye...
  15. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alikuwa na nguvu gani isiyo ya kawaida?

    Leo nimelikumbuka bunge la spika Sitta la mwaka 2005-2010. Lilikuwa ni bunge la aina yake. Matukio mengi sana yalitokea katika bunge lile mpaka likagharimu nafasi ya hayati Sita kama Spika wa Bunge. Ila leo, nimekumbuka zaidi matukio ya Zitto Kabwe. Tukio la kwanza ni kuhusu ajali ya hayati...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Tunahitaji kujenga taasisi huru na imara ili kuyafikia maendeleo endelevu

    UTANGULIZI Taasisi ni vyombo vinavyoanzishwa kisheria na serikali na kupewa mamlaka ya kusimamia au kutekeleza majukumu maalum ili kuisaidia serikali katika utendaji. Ili maendeleo yawe na manufaa kwa wananchi, yanapaswa kuwa endelevu kwa kuhakikisha kuwa kunakuwepo misingi imara ya kiuchumi...
  17. JamiiForums Tanzania Sioni haja ya kujenga uzio

    Habari wakuu, kwa mara ya kwanza nilijenga nyumba 2 in 1 mkoa wa Morogoro, kwakuwa lengo ilikuwa kuzipangisha maana sikuwa nimetulia kimaisha nilizizungushia uzio wa matofali na kuziwekea mageti ili kila mpangaji atoke na kuingia kwa geti lake. Baada ya mwaka na nusu nilihamishwa mkoa mwingine...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine anafikiria kubomoa Sanamu ya Catherine II aliyekuwa Malkia wa Odesa na kujenga sanamu la kumuenzi Shoga wa Marekani

    Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China kujenga rada ya ubora wa juu duniani ili kulinda vizuri sayari ya Dunia

    China imeanza ujenzi wa mfumo mpya wa rada utakaokuwa na uwezo wa kufuatilia kwa kina masuala ya anga za juu kwa lengo la kulinda vizuri Dunia. Mfumo huo mpya pia utaongeza uwezo wa ulinzi wa nchi hiyo dhidi ya sayari ndogo zilizo karibu na Dunia, na uwezo wake wa kutathmini mfumo wa Dunia na...
  20. JamiiForums Tanzania Wazo la Kujenga mabwawa kila kata linaweza kutuvusha kwenye kilimo cha umwagiliaji

    Wana JF Kuna wakati fulani mtu alikuja na wazo la kujenga mabwawa kila wilaya lakini kiuhalisia kuna wilaya kubwa sana zinakaribia kuitwa mkoa kutokana na ukubwa wa eneo lakini wakazi wachache. Naona hili linaweza kufeli na serikali isipate kinachokusudiwa. Ili kuwa na kilimo chenye tija...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…