kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watoto na wajuku zako watanunua viwanja vya kujenga wapi?

    Umeshajiuliza waliowahi kupata viwanja kariakoo Sasa Wanaishi kama wafalme, mnaziona zile slums ambazo zipo Buguruni, Manzese zote ni hela ndefu jaribu kumuamisha mtu uone bei utakayo pewa. Jiji la Dar es Salaam kama vile limeshajaa tu, Ukiwa na kipato kidogo jiandae kujenga kibaha kwa Mathias...
  2. JamiiForums Tanzania Aloyce Kwezi: Bilioni 1.162 Kujenga Shule za Msingi 4 Jimbo la Kaliua

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora, Mhe. Aloyce Kwezi ameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Hassan Suluhu kwa kutoa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 1.162 kwa ajili ya ujenzi wa shule za Msingi 4 katika Jimbo la kaliua. Mhe. Kwezi amezitaja Shule hizo...
  3. JamiiForums Tanzania Wale ambao hamkujenga kipindi cha Kikwete ndiyo muanze kujenga sasa

    Kipindi kile namwambia jamaa yangu nina nyumba 4 hakuamini. Na nyumba za ukweli siyo zile mnasema kakibanda kangu. Yule baba nyie muacheni tu jamani. Watu tulipiga sana pesa. Hakuwa na roho mbaya. Ukiweza jitwalia jitwalie tu. Tulikuwa na miradi bubu mingi, semina, warsha na makongamano ndani...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri tuendelee kujenga "metre gauge railway" sehemu nyingine

    Watanzania na Waafrica kwa ujumla tunapenda vitu vizuri na vipya. Mimi naishi Texas, USA na nataka kuwajulisha reli zenye manufaa makubwa sana kwenye uchumi wa nchi hii ni reli za kizamani "metre gauge railway" na sio "Standard Gauge Railway" za umeme. Hizi reli za kizamani ndizo zinasafirisha...
  5. JamiiForums Tanzania Mtindo mpya Kariakoo ni kubomoa maghorofa na kujenga Mapya

    Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya, kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangushwa linanyanyuliwa lingine, safi sana. Ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya, wacha nitafute pesa.
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujenga leo na kesho yako

    Kama kijana kuna wakati unapaswa kuutumia vizuri maana muda haumsubiri mtu, na muda ni rasilimali tosha. Niende kwenye hoja saidizi. 1- Jitahidi kuwa Mchaguzi (selective) Uchaguzi wa Vyakula + Vinywaji Uchaguzi wa Mavazi Uchaguzi wa Marafiki Uchaguzi wa Mtu utakayekuwa nae ktk Mahusiano...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo zinahangaika kujenga matundu ya choo hazipaswi kutoa msaada wa fedha kwa nchi matajiri duniani

    Tumesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa Tanzania imetoa dola za Kimarekani milioni moja (zaidi ya bilioni 2 na milioni 200) kwa Uturuki iliyopatwa na janga la tetemeko la ardhi mwezi ulliopita. Yapi Merkezi ni kampuni ya Kituruki inayojenga SGR kutoka Dar hadi Mwanza kwa zaidi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Umoja Party: Najitolea kujenga Ofisi

    Wito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli. Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu. Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe. Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
  9. JamiiForums Tanzania Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

    Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka. Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tsh. Milioni 200 kujenga mabweni ya wanafunzi wa kike wilayani Rungwe

    Halmashauri ya Rungwe mkoani Mbeya imetenga zaidi ya Sh 200 milioni kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili ya wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Kisondelo, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu na kudhibiti utoro. Mwenyekiti wa...
  11. JamiiForums Tanzania Wana-CCM wengi hawana uelewa wa mambo, hawawezi kujenga hoja

    Ukimaindi Poa! Kuna mijadala ya kipumbavu sana inayooendeshwa na wana CCM mitandaoni, kuna wakati unajiuliza, huyu aliyeandika hiki ana ni mzima kweli au yuko hospital? CCM mna mambo mengi ambayo mngeweza kuyaeleza kwa uongo unaoleta mantiki kidogo kuliko hizi siasa za kitoto za kum-quote Mbowe...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maeneo ya Dar es Salaam ambayo ni tambarare na hayana watu wengi, nataka kununua eneo na kujenga apartments

    Habari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000 - sqm 8000 nije kujenga apartments. Nitashukuru kwa michango yenu. Note...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kumsahau Ex Wako

    Mtu unayempenda akikuacha inauma. Hasa pale unapokumbuka jinsi ulivyompenda na mlivyokua na furaha. Usiku huwa ni mrefu sana. Ukiwa bado huamini kama ndo mmeshaachana(umeachika) na unaona huna matumaini tena ya kumpata kama yule uliyempenda sana. Unachoka zaidi pale unapofikiria kuanza upya...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yasaini Mkataba na China kujenga Kinu cha kwanza cha Nyuklia

    Serikali imetia saini Mkataba na Shirika la Kitaifa la Nyuklia la China (CNNC) ambalo litasaidia kujenga uwezo katika matumizi ya Nishati ya atomiki kwa malengo ya amani. Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati na Madini, Ruth Nankabirwa Ssentamu, Nchi hiyo inatarajia kupata Megawati (MW) 1,000 kutoka...
  15. JamiiForums Tanzania Zingatia Sifa Kuu 3 za Mwanamke wa Kujenga naye maisha (wife material)

    Kwanza kabla ya kuangalia sifa za mwanamke, angalia sifa zako kwanza kisha ujitathmini kama unastahili kuwa mwanamke mwenye sifa hizi. Ni muhimu kumpima mwanamke uliyenaye kama anafaa kuwa nawe maishani. Sio uwe naye sababu ndio mwanamke aliyekuonesha upendo. Ndio maana wakati wa uchumba...
  16. JamiiForums Tanzania Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

    Wakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani nimeshindwa kuelewana ile michoro hasa ya ground floor. Hivi wazee wetu zamani wakati wanajenga walikua...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Je, hotuba ya Mwenyekiti wa CCM 08/03/23 italenga kujenga nchi au kujiimarisha kisiasa?

    Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala. Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe kama mtaji WA kisiasa, kila anapowapa nafasi nakuimarisha ustawi wa nchi wao utumia mwanya huo...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini kujenga nyumba imekuwa ni fashion kwa Watanzania?

    Imekuwa ni jambo la kushangaza kwa watanzania wengi kuamua kujenga na kuendelea kuishi maisha yale yale. Unakutana fundi fenicha aliyefanya kazi miaka 15 anakuambia anamalizia ujenzi ukiangalia ufanyaji kazi bado wa kusubiri hela advance kwa mteja hafikirii kabisa kuwa na store kubwa utakayotoa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kijana ambaye upo chini ya miaka 25 , wekeza kwenye kujenga brand ya jina lako. Ajira zipo ukiwa na jina kubwa

    Habari kijana under 25. Kama bado upo Chuoni jitahidi usome kwa bidii uwe nondo kwenye proffessional unayosomea. Ila pia uwe na extra callicular ya kukufanya ujulikane na kukujengea jina kubwa . Hakikisha mpaka unafika 30. Uwe maarufu kwa ujuzi fulani. Mimi nakushauri kama unatoka ukoo ambao...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya watoto wa shule kufariki wakivuka ndio Serikali ya CCM inafikiria kujenga daraja

    Mabilioni ya pesa za umma mnatafuna. Mnajenga madarasa hewa kwa tril 1.3 Watoto wanafariki wakivuka mto kwa mtumbwi kwenda shule. Mnakula pesa. Hamjali maisha ya wananchi mpaka wafe. ======== Serikali kujenga daraja mto uliouwa wanafunzi Kigoma Kigoma. Wakati miili ya wanafunzi wawili kati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…