kujadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wanasema Lissu kavunja katiba ya chama chake, anapata wapi mamlaka ya kujadili katiba ya nchi

    Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
  2. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mwandishi mkongwe Abdallah Majura, ahoji kuhusu redio kujadili michezo asubuhi

    Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga. “Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo tu, lakini siamini kwamba Watanzania wote wanapenda michezo tu” Nafikiri Majura atakuwa...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake. Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa EAC-sSADC wajifungia Dar es salaam kujadili usalama wa DRC

    Mkutano wa pamoja wa Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mkutano huo umeongozwa na Waziri Mkuu...
  5. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: DACOBOA Wakutana na Uongozi wa TRA kujaili masuala ya kikodi

    Viongozi wa Chama Cha Wamiliki wa Daladala Dar es Salaam (DACOBOA) wamekutana na Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 10 Desemba, 2024 kutoka Idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano na kufanya nao mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kikodi kuhusu usafirishaji wa abiria ndani...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katiba na Sheria yawakutanisha Wadau kujadili utekelezaji wa mikataba ya Haki za Binadamu

    Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Idara ya Haki za Binadamu imewakutanisha wadau mbalimbali kutoka Bara na Zanzibar katika kikao kazi cha kukamilisha taarifa ya Nchi ya kufuatilia utekelezaji wa Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu pamoja na Mkataba wa Haki za Wanawake barani Afrika...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania JE wajua ni Tanzania pekee Bunge hukutana kujadili matundu ya vyoo vya shule na zahanati? Duniani ni Tanzania pekee

    Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani. Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule. Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Maskofu wa KKKT tuiheshimu Katiba yetu kwanza kabla ya kujadili Katiba ya Nchi

    Hivi majuzi, tulishuhudia upatikanaji wa kiongozi bila kupingwa. Hii haikutosha, kwani kuna mmoja pale kaskazini ambaye katiba iko wazi akimaliza misimu miwili anaachia wenzake, lakini ghafla kaongezewa miaka kadhaa. Hii inafanya baadhi ya watu kujiuliza Je, wale Wachaga ni wajinga kweli, au...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania HezibuLlaah hawana tena woga kupigana na Israel.Warusha maroketi wanapotaka.Netanyahu aitisha kikao kujadili hali isiyokawaida.

    Maroketi ya Hezbollah hapo jana yamerushwa maeneo nyeti sana ya Israel hasa kaskazini.Hali hiyo imemfanya Netanyahu aitishe kikao cha dharura kujadili mabadiliko ambayo yamezidisha hofu kote kote nchini humo. Ving'ora vimewashwa kote kuwafanya watu kuingia kwenye mahandaki yao.Uwanja wa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Wanarwanda kwa kutumia lugha yenu kujadili mambo yenu , baadhi ya Watz wangeweza kuingilia mijadala yenu na kuwashauri yaliyowashinda 😀

    Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu 🙏 INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba...
  11. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Serikali kukutana na Mabalozi wa nchi 9 kujadili malalamiko ya Wawekezaji kuhusu masuala ya Kodi

    Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekubali ombi la Mabalozi wa nchi mbalimbali walioomba kikao cha kujadili masuala ya kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa lengo la kujadili malalamiko yalitolewa na baadhi ya wawekezaji kutoka...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mataifa 50 kukutana Uswisi kujadili amani ya Ukraine na Urusi

    Uswisi inaratajia kuwaalika washiriki zaidi ya 160 kutoka mataifa mbalimbali katika mkutano utakaolenga kuleta amani na upatanishi wa Ukraine na Russia. Mkutano huo unatarajia kufanyika kwa siku mbili kuanzia Juni 15 hadi 16 katika Hoteli ya Bürgenstock Hotel nchini humo.Taarifa iliyotolewa na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwingulu Nchemba awataka Wabunge kujadili sheria wakati wa Utungwaji na Siyo Wakati wa utekelezaji Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwingulu Lameck Nchemba Amewataka Waheshimiwa Wabunge pamoja na watanzania wote kujenga utamaduni wa kujadili sheria wakati wa mchakato wa Utungwaji wake na siyo wakati wa utekelezaji wake. Ameyasema hayo kutokana na swali lililoulizwa...
  14. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pale upinzani unapoacha kujadili mambo msingi na kuweka nguvu zao kumjadili Makonda! Tuna wapinzani wa ovyo sana!

    Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na uchumi mkubwa Tumeshindwa kuendesha bandari zetu wenyewe, mbuga zetu tunawapa wageni, Bado tutawapa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Pia soma: NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kuwa na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao. Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee. Saiv najua bado Mapopoma yapo huko yanamalizia kuoga yaanze kutiririka hapa Mara goli za offside mara goli la 5...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ukraine yapinga ombi la Papa Francis kujadili kusitisha vita na Russia

    Ukraine Jumapili ilipinga wito wa Papa Francis wa kujadili kusitisha vita na Russia, huku Rais Volodymyr Zelenskiy akisema Papa alikuwa akifanya “upatanishi kwa mbali” na waziri wake wa mambo ya nje akisema Kyiv haitasalimu amri. Francis alisema kuwa wakati mambo yanaelekea kubaya kwa pande...
  18. Shining Light

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri wakaa kikao kujadili Miswada na Sera mbalimbali

    Cabinet ya Kenya imeekaa kikao cha kujadiliana kuhusu mipango ya Sheria na mipango pamoja ya sera tofauti tofauti ili kuboresha hali ya Uchumi, kimefanyika Ikulu ya Nairobi na kikao cha kawaida cha tatu cha mwaka 2024. Mbali na Uchumi kimejadili na kutathmini maendeleo yaliyofikiwa katika...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 CHADEMA kujifungia kwa saa 48 kujadili Azimio la Mtwara

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kujifungia kwa siku mbili kuanzia leo kuandaa Azimio la Mtwara la kushiriki au kutokushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu. Pia, kikao hicho kitakachohitimishwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kitafanya...
  20. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania SPIKA TULIA ACKSON: Tujadili vitu vya muhimu Bungeni Ila sio Kuuliza kuhusu Maswala ya vyoo

    Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza .... Spika Dkt Tulia ameongea Hayo baada ya waziri Dugange kujibu swali lililokuwa linauliza...
Back
Top Bottom