kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mmeua, mmeteka, Ufisadi, wizi, unyonyaji, MME dhurumu haki za watu kuishi. Kwa hiyo vijana waopinga aya ndo Mnataka tuwaone Wabaya?

    Serious mnataka hawa vijana ndo tuwaone wabaya wanaopinga haya mambo wizi, Ufisadi, Utekaji, mauaji, rushwa uduma mbovu kwenye office za Umma ubakaji demokrasia. Vijana waopambana kupinga haya ndo Mnataka tuwaone ndo wabaya?
  2. JamiiForums Tanzania Tumejiandaaje kuishi bila mtandao (internet)🛜 kuanzia kesho hadi tarehe 3 November, 2025

    Wahuni na mafisadi wanampago wa kuzima mtandao ili kufanya uchafuzi wao gizani, wameona kuwa mitandao itaeneza haraka mipango ya maandamano, kura fake, rushwa katika uchafuzi huo, na uonevu na matendo ya kinyama ya poliCCM dhidi ya raia Wema Naona hawa wahuni na mafisadi wanajipalia Mkapa...
  3. JamiiForums Tanzania Chagua nchi Moja ya kufanya kazi kati ya Misri, Israel,South Africa, Brazil au Indonesia

    Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
  4. JamiiForums Tanzania Malengo makuu ya Vita ni Kuishi na kushinda; sio kujitoa mhanga

    MALENGO MAKUU YA VITA NI KUISHI NA KUSHINDA; SIO KUJITOA MHANGA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Unapoingia kwenye vita yoyote jambo la kwanza unapaswa kuangalia uwezekano wa kuishi upo. Kuyalinda maisha yako. Hilo ndilo jambo la kwanza. 2. Jambo la pili, kama uwezekano ni mdogo je kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Tumekubali kuishi na mchawi ndani?

    Hakuna aliye salama. Kama mzazi wako ni mchawi, usicheke sana unapoona anamaliza majirani. Watakapokwisha ataanza na wewe.
  6. JamiiForums Tanzania Gen Z wa Morocco wanakiwasha, watawala waache kuishi kwa mazoea

    Vijana wa Morocco wameingia barabarani, wanakiwasha, ifahamike hawa vijana wa Gen Z huwapumbazi kwa chochote, hata utumie dini hawatakuskliza, boresha uchumi na mifumo tu basi................ A lot seems to be riding on a speech by Morocco’s King Mohammed VI before politicians on Friday, to...
  7. JamiiForums Tanzania Uchawa umekulipa nini? Na utaenda kuishi vipi bila uchawa? Au uliishia kupiga picha na viongozi na kualikwa bungeni

    Najua ni moja kati ya maswali ambayo yanawasumbua baadhi ya vijana wakiwaza wanaenda kuishi vipi baada ya anguko la serikali ya kikoloni. Watakula nini? watalipa vipi kodi? na je ni muda wa kuanza kutumia akili zao? Nitaandika uzi kuhusu ajira kadhaa za muda ambazo machawa wanaweza kuanza...
  8. JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha acheni wivu na ubaguzi.. kila mtanzania ana haki ya kuishi popote ndani ya Tanzania.

    Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe. Halafu...
  9. JamiiForums Tanzania Bongo ukiwa mkimya utasemwa na ukiwa muongeaji utasemwa pia

    Maisha ya bongo ni jihadi kwa kweli! Ukiwa mkimya utasemwa unajisikia na ukiwa muongeaji utaitwa mjuaji licha ya haya usiache kuishi kwa namna yako "MTAZAMO WAKO KWANGU NI TASWIRA YAKO" Kuna wakati utagundua ulipoteza muda kuwa na hurka ya kuridhisha watu, ulipoteza muda kuhukumu wasioendana...
  10. JamiiForums Tanzania Sababu gani hupelekea watu kujenga na kuishi juu ya milima katika jiji la Mwanza? Maisha ya makazi huko milimani huwa yakoje?

    Ningependa kujifunza kuhusu watu wanaoishi milimani katika jiji la Mwanza. Nini hupelekea watu masikini kwenda kujenga na kuishi juu ya hii milima ukizingatia Mwanza bado ina maeneo makubwa tambarare? Materials na vifaa vya ujenzi huwa vinafikishwaje juu ya vilima ukizingatia kuwa havina...
  11. JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu ya kumuamini Mungu ni kuishi kama Shetani hayupo kabisa Wala hakuhusu

    Vitabu vya kiroho Biko wazi, mamlaka yote yako chini ya Yesu. Hakuna kiumbe chochote mbinguni na duniani au kihai chochote popote kilicho juu ya mamlaka hii. Watu wengi wanaishi katika double power mindset. Yaani Wanaamini ziko NGUVU mbili zinashindana zenye uwezo unaokaribiana. Moja ya Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania Udanganyifu wa waufahuru TZ kuna siku nikasema na mashaka nao mkaona sio ila huyu anaenda kuishi dubai

    Wengine tupo kulilia nchi ila huyu ni baharia aliyechangamka mpaka ukoo wao hawana nia na tanganyika.Kuna siku mtalia sana
  13. JamiiForums Tanzania Japan kujenga miji minne kwa ajili ya Waafrika kutoka nchi nne kwenda kuishi: Tanzania ikiwemo

    📸Tokyo, Japan NB: Mada hii imekuwa direct translated from English to Swahili kwa kutumia ChatGPT 4 Chini ya mradi ujulikanao kama JICA Africa Hometown Initiative, Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA) limeweka miji ifuatayo nchini Japan kuwa "miji ya nyumbani" kwa raia wa baadhi...
  14. JamiiForums Tanzania Tunangoja nani aje kutuokoa kama sisi wenyewe tumeamua kukaa kimya na kuishi na Majizi na Mafisadi?

    Je, Watanzania tumeridhia kudhalilishwa kila miaka mitano kwa kuwekewa viongozi bila kuchagua? Vyombo vya habari vipo, lakini kwa nini havina meno ya kuuliza maswali ya msingi kuhusu uhalali wa uchaguzi na wizi wa kura? Ni hofu au ni kununuliwa? Kama Raisi mwenyewe alikiri kura zinaibiwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

    Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi. Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume ishini na wake zenu kwa akili hawajawahi kuishi kirohoo. Jipe moyo

    1petr 2.3 Wanaume muishi na wake zenu kwa akili na muwapeeee heshima Ukisoma utaonaa kinachowapa heshima wanawake n akiliiii kama utapata mwanamke asie na akili ndugu umeumiaaa jamboo muhimu unapoelekea kwenye ndoawambiee MUNGU AKUPE Mwsnamke MWENYE AKILI WANAUME MWANAMKE AJAWAHI KUISHI...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuishi naye na kulea watoto

    Hello, mimi ni mwanaume mwenye watoto wa tatu, ni dereva Bajaji, nahitaji mwanamke wa kuishi nae na kulea watoto umri kuanzia miaka 27 hadi 35, sichagui rangi, dini wala kabila. Awe tayari kuishi Arusha
  18. JamiiForums Tanzania Hivi tunajisikiaje kuishi kwenye ulimwengu ambako majibu ya maswali ya msingi karibia yote majibu anayo jirani?.We upo tu.

    Kuna wakati nawaza sana mpaka nachoka kuhusu nafasi yangu mimi Mweusi hapa ulimwenguni. Huwa najaribu kutengeneza picha kuwa siku moja Mwenye enzi Mungu amekuja na kuitisha kikao,na kati ya maswali laki moja atakayouliza maswali elfu tisini na tisa mia tisa tisini na tisa yatajibiwa na kutolewa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa uovu wanaoufanya Magaidi wa Hamas na Islamic Jihad hawapaswi kupewa nafasi ya kuishi katika duniani hii!!!!

    VIDEO ya kuhuzunisha ya sekunde 40 inayomuonyesha mateka wa Israel Evyatar David, akionekana kuwa na mifupa na dhaifu ndani ya handaki akilazimishwa kuchimba kaburi lake mwenyewe. Video hii ilitolewa kwa idhini ya familia yake, baada ya Hamas kuchapisha kanda hiyo bila ridhaa yao. Familia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tujifunze machache kuhusu umeme wa mwilini unavyoweza kukusaidia kuishi au kukuharibu mazima

    Ndugu karibuni katika mada hii japo nitasema kwa uchache. Pamoja na kwamba mimi ni fundi umeme na ujenzi lakini hapa kwa leo nitazungumzia zaidi umeme ambao upo ndani ya miili yetu zaidi. Nikiwa nafanya kazi zangu za kiufundi umeme huu tunaotumia majumbani nilikuja kubaini kuna uhusiano mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…