kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atakapotoka madaraka ataenda kuishi Oman na familia yake?

    Najalibu kutafakali kwa haya yanayotokea huyu Mama baada ya kustaafu sizani kama atabaki Tanzania kama marais wenzake waliomtangulia,namuona yeye na familia yake wakienda kuishi Oman huku nyuma akiwa ametuachia msala wa mavurugano mkubwa wa kivyama,kisiasa na kidini, Kama huko CCM hakuna wa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua? Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani!

    Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani, ambapo wanaume huishi wastani wa miaka 79 na wanawake miaka 84. Tofauti hii ya miaka mitano kati ya jinsia inaonyesha hali bora ya huduma za afya, lishe, na mtindo wa maisha unaojali afya. Maisha marefu ya raia wa...
  3. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi Kutongoza au kuishi kimwili na mwanamke mwenye JINSIA MBILI?

    Habari zenu wana MMU Nyie mlio wahi kuishi na mwanamke mwenye JINSIA MBILI (huntha) yaani ya kike na ya kiume kwa pamoja. Njoeni mtupe uzoefu.
  4. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Je, ukimkata Nyoka mkia ataendelea kuishi?

    Habari wadau, Naomba kuuliza kama ukimkata nyoka mkia ataendela kuishi. Leo baada ya mihangaiko yangu nimerudi nyumbani mapema nikaona ni vyema nishughulikie bustani yangu ya matunda na mboga mboga. Sasa wakati nachimba mche kwa kutumia kisu ghafla akatokea nyoka mweusi na kuanza kutambaa...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaza si sehemu salama kuishi tupeleke Libya-Waandamanaji huko Gaza!!

    Baadhi ya waandamanaji wanaoipinga Hamas wanaelezea kuwa kwa sasa Gaza si sehem salama kuishi hivyo wanaomba wapelekwe Libya au sehemu nyingine kuishi
  6. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Katiba iweke ulazima wa mtu kuoa/kuolewa, iwe ni uhaini kuishi bila mwenza

    Hili liingizwe kwenye katiba ya nchi kabisa, ni marufuku mtu kuishi mwenyewe kama upanga maana hatuna uhakika unamaliza vipi hizo haja zako zingine. Itasaidia kupunguza ubakaji, masingo maza, watoto wa mitaani na mambo ya ushoga. Itasaidia kupunguza matukio ya watu kufa kwa kukosa msaada maana...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuishi na mwanamke kwa akili

    Habarini wakuu natumaini mko wazima wote leo niwaeleze ,Maana ya kuishi na mwanamke kwa akili ni kuwa na uhusiano wa busara, hekima, na uelewa na mwanamke katika maisha ya kila siku. Hii inaweza kuwa katika ndoa, uchumba au hata maisha ya kawaida ya pamoja. Inahusisha mambo yafuatayo: 1...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuishi naye

    Mimi ni kijana wa miaka 28. Nmeajiriwa sekta binafsi , kipato changu ni 400,000 kwa mwezi natafuta mwanamke wa kuoa kuanzia miaka 17 hadi 24 awe mzuri wa sura , awe rangi yoyote, asiwe na mtoto, awe na elimu yoyote, awe mkristo wa dhehedu lolote awe tayari kuishi Mahali nilipo yeyote anayeweza...
  9. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

    Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana Mbunge Mama...
  10. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio oa / kuolewa badilisha lifestyle ya kuishi na marafiki

    Kwa mlio oa / kuolewa , weka mipaka ya marafiki kuizoea nyumba yako , inatosha kukutana viwanja na marafiki sio kuweka vijiwe vya soga nyumbani kwako . Kuna aina ya lifestyle unatakiwa kuibadilisha ukishaingia kwenye maisha ya ndoa
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM - Upinzani hautakufa na Bora kuishi na mpinzani unayemfahamu kuliko ajaye usiyemjua!

    Tangu mwaka 1995 mpaka Leo CCM imekuwa ikihangaika na kuua upinzani. Walianza na NCCR na kufanikiwa kuiua. Kwa bahati mbaya ikaibuka CUF ikawa na nguvu mpaka wakasingiziwa kufanya siasa za ugaidi. Wakasingiziwa kuagiza matonteina ya majambia. Watu Zanzibar wakauawa, kwa mara ya kwanza Tanzania...
  12. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kusudi lako la kuishi duniani

    Habari Wakuu! Moja ya kitu kinachomfanya mtu aishi maisha yenye furaha ni kujua kusudi lake na  kuliishi kusudi lake. Bila shaka najua ya kuwa watu wengi hawajui kusudi lako lao la kuwepo hapa duniani. Kwakuwa mienendo ya watu wengi inakuchochewa na watu waliowazunguka. Mfano unakuta mtu...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha kuishi chazidi kushuka huko Gaza

    Kiwango cha kuishi huko Gaza kabla ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 kulikuwa 75.5 lakini sasa hivi ki sporo oka kwa kiasi kikubwa na kuwa 40.6 baada ya mashambulizi ya Oct 07,2023 Kiwango cha wao kuishi kimepungua sana kutokana na mambo wanayoyafanya na wengi huna katika vurugu na wengi sana...
  14. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani hapa Afrika naweza kwenda kuishi kwa amani?

    Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki.. Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali...
  15. Lighton

    JamiiForums Tanzania Siri ya kuishi miaka mingi hapa Duniani ni kuishi Kwa matumaini

    Heri ya sikuu ya pasaka. Siri ya kuishi miaka mingi hapa Duniani ni kuishi Kwa matumaini, kuishi Kwa kuamini kwamba kesho itakuwa Bora, kupiga moyo konde na kuendelea kupambana Kwa matumaini ya kuipambania Tena kesho. Akija mtu kukwambiya kwamba, hakuna uhakika wa kuiona kesho, huyo mtu...
  16. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania IFAHAMU KARAMA YAKO NA UITUMIE KUISHI VYEMA DUNIANI

    Hello Wana JF; Leo nakuja na Mada hii inayohusu KARAMA au wengine huita KIPAWA/KIPAJI. * Ifahamike kuwa kila binadamu aliyepo hapa duniani, basi kaletwa kwenye uwanja wa mapambano, mapambano ambayo yamegawanyika katika makundi, kuna mapambano ya kiimani, kiuchumi, n.k. Ila amini nakwambia hayo...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 10 iliyopita sijaona mtu anayeongoza kwa kuishi maisha ya Anasa, Starehe na Gharama ya hali ya juu ulimwenguni kama huyu mwamba

    Huenda kuna matajiri ulimwenguni waliopo na waliopata kuishi, kama kina Mobutu seseko, Kina King khan, Bill gates, Elon musk nk. Pia wapo matajiri wa mafuta huko Saud Arabia na watoto wa mabilionea kama Prince of Saud Arabia nk. Pia wapo celebrities wenye uwezo mkubwa kifedha wanaomiliki Lavish...
  18. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

    Ma bro hamjambo....... Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri. Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha...
  19. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Sikukuu za Pasaka na mafundisho kuhusu kuishi kwa dhamira na kuchagua kwa Hekima.

    Kwa unyenyekevu na matumaini wanazuoni wenzangu, heshima sana kwenu............... Sherehe za Pasaka zinatufundisha kila mwaka kuhusu maadili ya kujitolea, ukweli, na dhamira. Pasaka ilitokea baada ya Yuda kumsaliti Yesu kwa fedha za dhihaka, lakini pasaka sio tu kumbukumbu ya tukio la...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Sio ubinafsi lakini ukishazoea kuishi peke yako ni raha sana na ni ngumu kuja kuishi na mtu tena

    Huu utafiti nimejifanyia mimi mwenyewe. Nimezoea kuishi peke yangu kiasi kwamba hata nikipata binti yoyote wa mahusiano namuona kero akiwa kwangu. Yaani zamani nilishikwa na upweke baada ya kuachana na mpenzi wangu wa muda mrefu lkn kuna mahala nikakuta wanasema "Do not fight loneliness, but...
Back
Top Bottom