kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuishi nyumba ambayo kila siku wanakula bufee kama kwenye sherehe

    Aisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi waafrika wanyama walitukoseaga kitu gani, mbona inakuwa ngumu kuishi nao ?

    Kama mtu akifa anarudi duniani kama mnyama, Afrika inipite kushoto kabisa
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali

    Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali Catherine amekuwa akimkosoa Mh Kabudi alipopendekeza Muziki wa Singeli kuwa moja ya alama ya sanaa ya Tanzania jambo ambalo litasaidia kukuza utamaduni...
  4. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kuishi Dar haimaanishi wewe mjanja

    Hellow Kuna watu wana jiaminisha kuwa hawewezi kutapeliwa wala hakuna asichokijua kwasababu tu anaishi dar ni uongo Kuna watu wamezaliwa dar na wamekulia hapo ila wanatapeliwa kila siku na kuibiwa kijinga sana sasa wewe wa mkoa umeenda dar kwasababu tu ya kazi unajiona mjanja subiri...
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nimewahi kuishi mwaka mmoja bila kufanya kazi yoyote ila nilikuwa nakula vizuri , nalipa kodi , nasaidia ndugu na wazazi

    Katika MAISHA kuna mambo mengi Nilikaa mwaka mmoja bila Kazi ya kuamka Ahsubui Ila mishe mishe za udalali Mara yes Mara no Ila nilikuwa nakula Navaa Nalipa kodi Nasaidia ndugu na wazazi Pasipokufanya Kazi yoyote ya mshahara Kipindi hiki nilijifunza kuwa haitaji kufanya Kazi kwa bidii ili...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuishi kwa bajeti ya 5000 hadi 10,000 kwa siku? Hebu tujadili!

    Maisha ni magumu, gharama za maisha zimepanda, lakini bado kuna familia zinazoishi na bajeti ndogo. Swali ni moja: Ukiwa na 5000 hadi 10,000 tu kwa siku, unaweza kupata milo mitatu kwa familia yako na ikatosha? 🤔 Hebu tuweke hali halisi mezani. Unaamka asubuhi na hiyo bajeti mkononi. Unahitaji...
  7. Half american

    JamiiForums Tanzania Kuishi na kutenda yaliyo mema ni utaratibu wa kuishi kila siku na sio kipindi fulani

    Tukiwa tunahitimisha kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan ningependa tukumbushane kuwa kuishi kwa kutenda mema na kumuomba Mungu yapaswa kuwa utaratibu wa kila siku na sio utaratibu wa mwezi fulani tu na ukipita basi watu tunarudia maovu yetu. Hii ni fursa ya mabadiliko ndani ya...
  8. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Raha ya familia ni kuishi Nuclear family sio kujaza watu

    Raha ya Familia ni kuishi Nuclear Family , sio kujaza ndg nyumbani kwako. Napenda lifestyle za wazungu wenzatu wanaishi vizuri sana hukuti mzungu anaishi na toto la mjomba sijui la Baba mdogo ni yeye na familia yake , Waswahili utakuta ndg wote wasiojiweza wanakimbilia kuishi Kwa ndg...
  9. iamriq_arthur

    JamiiForums Tanzania Kuishi Dar es Salaam uwe na akili ya kutafuta pesa

    Nimefanya utafiti wangu kila kona ya Dar es salaam nimeona wazawa wengi wa hili jini wote ni mabandidu wasio na huruma na hawaogopi lolote juu ya swala la pesa, watu wakilala wakiamka wanawaza pesa. Kila kitu ni pesa, ukimsimamisha mwanamke njiani ukimuona namba badae ataanza kukuelezea shida...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Kobe aweza kuishi miaka 191

    Nimeiona hii huko mtandaoni nikadhani ni vema kushea
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuishi kama mfalme iwapo tu utaamua. Chumba kimoja sio Jehanam

    Hakuna mtu mwenye ghetto baya Zingatia hivi vitu 1.Usifunge pazia na kamba 2.Pangilia rangi ya vitu ndani kwako usinune vitu rangi zigzag 3.Hakikisha unafanya usafi, panga kila kitu sehemu yake 4.Usiweke nguo ukutani kama ndio kabati vile 5.Epuka mi ndoo mingi ndani. Ndoo nyingi zinafanya chumba...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel zapendekeza Wapalestina watakaohamishwa kutoka gaza waende kuishi somalia, Sudan na somaliland, mawasiliano yanaendelea kufanywa

    Wadau hamjamboni nyote Taarifa mpya kabisa juhudi zaendelea kutekeleza mpango wa Marekani kuhamisha Wapalestina kutoka gaza Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Advertisement Israel and US said in contact with Sudan, Somalia about resettling Gazans Officials say approaches also made to...
  13. Now and then

    JamiiForums Tanzania Naomba tujadili kuhusu majina ya kurithi, athari zake chanya na hasi pamoja na njia za kuishi katika hiyo life's path.

    Wakuu habari . Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako. Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia hilo jina wanaacha kulia. Je ipo siri gani hapo nyuma ? Kuhusu athari baadhi ya watu wamekuwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania unaweza kuishi hapa

    hii itakua mwanza rock city maisha yanataka utake risk lakini kuishi hapa ni zaid ya risk yenyewe
  15. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuishi single

    Tuanze na faida -Uhuru wa kujiamulia mambo yako mwenyewe pasipo ulazima wa kushauriana au kumshirikisha yeyote. - Hauwajibiki kwa yeyote. Hakuna wa kukuuliza, mfano-saivi uko wapi (hili swali hili wanaume wenzangu kama nawaona ivi👀👀), unafanya nini? upo na nani, mbona kama nasikia sauti...
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kuishi na Mwanamke na kuzaa naye watoto Si Mke ni Mzinzi Mwenzio,Funga ndoa Utalindwa!

    Ndoa ziheshimiwe na ndio maana halisi ya ndoa. Viungo viwili vya uzazi vinapokutana kitendo ni kimoja ila majina ya kile kitendo yanatofautiana kutokana na mukhtadha! Ukiwa umeoana , mume na mke basi "wanafanya tendo la ndoa'. Ukiwa una mke na mwezio ana mume ila mkakutanisha vioungo vyenu basi...
  17. Soul21

    JamiiForums Tanzania Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri

    Zifuatazo ni Kanuni na Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri. Kanuni hizi nilizipata kwenye andiko la gazeti la Mwananchi mtandaoni 2022 na namini zitakusaidia 1: Uwe na tabia ya kupenda watu kwa moyo wote, hali kadhalika na wewe watakupenda. 2: Heshimu kila mtu na kila mtu umwone ni muhimu...
  18. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Ni bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi umempigia mtu magoti

    Hii ni kauli ambayo raisi wa Ukraine ameiishi pale White House mbele ya Donald Trump ambayo ilitolewa na mwana mapinduzi na mwanaharakati Dolores Ibarruri huko Spain miaka ya 1936 chini ya utawala wa mkono wa chuma wa dikteta Franco. Alichofanya Zelensky mbele ya Trump na makamo wake JD Vance...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Haujachelewa kuchukua hatua ya kwanza, anza kuishi sasa

    Haujachelewa 1. Kutubu na kuamua kuacha dhambi zinazokutesa kila siku 2. Kuanza kusave pesa hiyo ndogo unayoipata 3. Kuanza upya mahusiano yako ya kiimani, kimapenzi 4. Kufanya ndoto zako kuwa uhalisia Muhimu na uzingatie 1. We don't chase people, we chase dreams 2. Live for yourself 3. Think...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Karma ni ukweli na karma hulipa kwa haki jifunze kuishi vizuri na watu

    swala la karma ni kwamba Kila tendo tunalofanya lina matokeo yake. Ukimuumiza mtu leo, huenda ukasahau, lakini ulimwengu hautasahau. Maumivu uliyosababisha yanaweza kurudi kwako kwa njia usiyoitarajia—labda kupitia mtu mwingine au wakati usioutarajia. aise Maisha ni duara, na unachoweka...
Back
Top Bottom