kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kati ya Tandale na Manzese ni wapi unapoweza kuchagua kuishi?

    Mmeshindaje ndugu zangu. Ikitokea ukaambiwa uchague sehemu moja ya kuishi kati ya Tandale na Manzese ni wapi utapokuwa tayari kwenda kuishi? Na kwanini? Pia ningependa mtu au watu waeleze utofauti wa sehem hizo mbili ki miundo mbinu, kimazingira, kibiashara na pia sehem inayoongoza kwa kuwa na...
  2. Nahitaji ramani "simple and low cost" ya nyumba ya kuishi vyumba vinne

    Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi. Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko na sebule. DESIGN yake iwe simple ili nitumie gharama kidogo. Atakayeweka na makisio ya gharama...
  3. L

    SIMULIZI: Wakati mwingine kuna vitu vinafikirisha sana katika kuishi kwetu

    Katika kuishi kuna wakati binadamu anaona vitu mpaka anashangaa. Sasa leo nmeamua kushare tukio ambalo kimsingi lilinitia huzuni sana na stasahau. Kwa ufupi lilikuwa hivi; kulikuwa na dada mmoja jina lake X alikuwa ni mke wa jamaa jina lake Y wote wenyeji wa Mbeya. Mke akapangwa kikazi mkoa wa...
  4. Hongera Rais Samia kwa kuishi maneno yako

    Nampongeza kwa dhati Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuamua kuiweka Tanzania upya kwenye ramani ya nchi zinazosimamia na kulinda Utu. Tangu ameingia madarakani siku 109 zilizopita amekuwa akikemea kwa wazi matendo ya aibu yanayofanywa na mamlaka za nchi hususani polisi na ofisi ya DPP bila...
  5. N

    Je, tausi anaweza kuishi mwenyewe porini?

    Au wameshakuwa kama kuku kwamba bila kufugwa na watu hawawezi kustawi? Karibuni kwa taarifa wajuzi!
  6. L

    Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha Awe mkristo kiimani Awe either single, mgane au mtalaka...
  7. Mpenzi wangu anataka nimuhudumie kama mke wangu

    Nina mpenzi wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto kwa sasa hatoi huduma yoyote. Tatizo nililo nalo na huyu mpenzi anataka ni bebe majukum yote ya kulipa Ada ya mtoto wake, chakula, mavazi na kodi na matibabu. Kwangu mimi hainingii akilini wakati hatuishi...
  8. Namna ya kuishi kwa kipato cha chini ya Tsh. 330,000/- kwa mwezi

    Wasalaam, Watu wengi maeneo ya mijini vipato vyao ni wastani wa Tsh. 10,000 kwa siku, hii inafanya wengi wafikishe angalau Tsh. 330,000 kwa mwezi. Kwa kipato hiki wapo wanaishi vizuri kabisa kwa familia za watu wachache na wanaishi bila kuwa na madeni. Mchanganuo rahisi ni kama huu hapa chini...
  9. Tukiacha kutumia akili zetu tutaongeza umri wa kuishi duniani

  10. Natafuta kiwanja/ Sehem nzuri ya kuishi/ Kujenga Dar es Salaam

    Wenyeji na wakazi wa jiji la DSM, kwa mtu mwenye kipato cha kati ni maeneo gani kwa Dsm ambayo yametulia (siyo uswahili sana) naweza kupata kiwanja walau cha sqm 800 kwa bei kati ya 10m-15m. Natafuta kiwanja lakini sio mwenyeji sana na gharama za kupanga kwenye hili jiji zipo juu mno
  11. D

    Mfano siku ikibainika kula bila kumenya kunaongeza umri wa kuishi hadi miaka 200, tutajiona wajinga sana

    Hivi kwa mfano; Ikabainika kwamba kula vyakula bila kumenya ndiyo chanzo cha umri mrefu duniani itakuwaje! Ujue ukitafakari sayansi ya watu wa zamani kuishi miaka mia 600 au mia 400! Unashindwa kabisa kuelewa siri imefichwa wapi hadi sahivi watu waitafte 100 kwa mbinde! Mi nazani siri hii...
  12. Kutokula nyama si umasikini ni aina tu ya maisha unayoamua kuishi

    Hiki chakula ni mchuzi wa njugu mawe, mtindi umekatiwa hoho juu, wali na mkate wa naan. Anaekula hivi si masikini bali ni maamuzi. Kuna ambao kukosa nyama kwao ni dalili ya ufukara, si kweli.
  13. Kipato cha milioni moja kwa mwezi life style gani ya kuishi na kipi kifanyike uweze kufika mbele zaidi kiuchumi ushauri

    Habari za jioni Wadau, Wakubwa shikamooni. Natumaini nipo jukwaa sahihi kabisa kama nimekosea naomba iamishwe jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Natumaini kuna watu waliopita kwenye stage hiyo wakafika mbali zaidi. Kwa kipato cha milioni moja kwa mwezi unawezaje kujipanga...
  14. Vitu vya kuzingatia ili kuwa na afya na kuishi miaka mingi

    Je, unapenda kuishi maisha marefu? Kwa ujumla, hakuna mtu asiyetaka kuishi miaka mingi na kuwa na afya njema. Wanasayansi na wataalamu mbalimbali wamethibitisha kuwa ukizingatia mambo yafuatayo unaweza kujiongezea miaka au umri wa kuishi duniani: 1. Hakikisha unakula vyakula vyenye virutubisho...
  15. Kujua Kusudi Lako Sema NDIYO, Kuishi Kusudi Lako Sema HAPANA.

    Rafiki yangu mpendwa, Leo tarehe 28/05/2021 ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwangu, siku niliyokuja hapa duniani miaka 33 iliyopita. Katika kipindi hiki kifupi ambacho nimekuwa hapa duniani, nimepata fursa ya kujifunza mengi kuhusu maisha, watu na mafanikio kwa ujumla kupitia vitabu zaidi ya...
  16. Mambo yanayopelekea watu wengi kushindwa kuishi kwa ndugu au ukweni na baadaye kutimuliwa

    Habari wanajamvi..! Leo nimeamua kuja na mada inayowahusu watu wanaoishi kwa ndugu, shemeji au ukweni. Ndugu asikwambie mtu kuishi kwa ndugu baadhi kunaitaji huwe na kiwango cha hali ya juu cha hekima na busara la sivyo unatimuliwa haraka tu. Mambo yanayopelekewa kutimuliwa 1. Tabia mbaya...
  17. Napenda kuishi sehemu yenye mji mdogo ila sio jiji kubwa au bush

    Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi. Napenda kuishi miji midogo ama kama ni jiji basi iwe miji midogo nje ya jiji, Napenda sehem iwe nimezungukwa na mimea zaidi...
  18. Nyakati ngumu huwa kwajiili ya kutufunza na nyakati za furaha ni kwaajili ya kumbukumbu nzuri za maana ya kuishi

    UKIBADILI NAMNA UNAVYO TAZAMA VITU NA VITU UNAVYOTAZAMA HUBADILIKA Kinachotokea sio tatizo ila tafsiri unayoweka juu yake ndio inaweza kuuwa tatizo Kikwazo chochote kinachotokea huwa kinakuja kuboresha sehemu ya maisha yetu Usitazame vikwazo kwa ubaya wake tazama vikwazo kwa mazuri yake...
  19. N

    Mlinzi wa Obote arudi Uganda baada ya kuishi Tanzania kimyakimya kwa zaidi ya miaka 50

    Mlinzi wa Obote arudi Uganda baada ya kuishi Tanzania kimyakimya kwa zaidi ya miaka 50. Kijiji cha Agora wilayani Soroti nchini Uganda kililipuka kwa furaha baada ya wake wawili kuungana tena na mume wao, waliyedhani amekufa kwa miaka 51 iliyopita. Bwana Vincent Obodo aliyekuwa mlinzi wa...
  20. U

    Rais Samia amkabidhi nyumba Rais Mstaafu Kikwete

    Shughuli hiyo muhimu ya kukabidhi nyumba ya kuishi maalumu kwa Mzee Kikwete imefanyika leo na Kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…