kuingiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Doto Biteko: Mradi wa JNHPP unatarajiwa kuingiza Megawati 235 katika Gridi ya Taifa mwezi huu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo Februari 19, 2024 amewasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi mkoani humo. Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya umeme mkoani humo. Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Dkt. Biteko amepokelewa...
  2. P

    Nawezaje kuingiza 20,000 hadi 30,000 per day?

    Wapendwa Katika bwana, Natamani Sana kujiona nikipiga hatua, Naombeni fursa/ Mchongo wowote ambao naweza kupiga 20k hadi 30k kwa siku.....hapa Dar es salaam Mimi ni binti.
  3. Hizi ndio nchi ambazo Marekani na Israel hawawezi kuthubutu kuingiza pua zao kushambulia kijeshi

    Niaje waungwana Hapo chini naorodhesha nchi ambazo si Marekani wala Israel itaweza kuthubutu kuingiza pua yake kuzivamia kijeshi kwa namna yoyote ile. Hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi, kiintelejensia, kiteknolojia ni kiuwezo zilizo nazo nchi hizo katika kulikalisha chini na...
  4. Unahitaji kiasi gani cha pesa kuweza kuishi miaka 10 bila kufanya kazi ya kuingiza kipato?

    Miaka kumi ina miezi 120! Say: 3,000,000×120? = 360,000,000
  5. Athari ya kuingiza Machawa kwenye timu yetu ya taifa

    Bado Tanzania kama nchi imeshindwa kuheshimu Professionalism katika soka. AFCON ni sio sehemu ya siasa wala vituko. Hapo ni sehemu ambayo Wataalamu wanatakiwa kupewa nafasi kutoa mafunzo yao na kufanya Wachezaji wawe focused muda wote. Tazama namna watu kama Mwijaku na Babalevo wanavyopewa...
  6. PreGE2025 Kwanini CCM inalazimisha kuingiza Jeshi la Tanzania (JWTZ) kwenye Siasa? Je, inalipa? Chonde Chonde Rais Samia

    Salaam Sijapenda Style ya CCM kuiga siasa za Afrika Magharibi za kuwatumia Wanajeshi kwenye Siasa. Wanataka kutuharibia nchi. Nakubali Mwenyekiti wa CCM ni Amri Jeshi Mkuu, ila Kutumia Jeshi kuwaziba Wapinzani wake wa Kisiasa si sahihi. Wawatumie Polisi kuzuia maandamano na Shughuli za Siasa...
  7. Nimekoma kuingiza Malaya ndani ya nyumba,never again

    Jaman Mimi mwenzeno Leo yamenikuta mida ya sa 2 njiani nikakut mdada Yuko na jamaa dalili zilionesh ni kama wanaagan Nika tulia kidg nikwel wakaagan. Mi nikasubil jamaa apotelee nikadak namba, kufika nyumbn( Kwa Leo Niko pekeang) nikamwit katimb tulkubalian analala ntampa 40, kufik akadai Hela...
  8. S

    BASATA ni lini mtampa tuzo rais Samia kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza?

    Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa. Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni...
  9. Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  10. Naomba wazo la namna ya kuingiza faida ya 30,000 na kuendelea kwa mtaji wa million 3

    Habarini members wenzangu, Nilikuwa naomba wazo la biashara ambayo inaweza kuingiza faida 20,000 na kuendelea kwa mtaji wa Million 3! Nakaribisha mawazo yenu!
  11. Simba na Yanga acheni kuingiza porojo za siasa michezoni, somo la jana mmeliona

    Hakuna haja ya kuleta ujinga kama huu uwanjani, jana Taifa Stars imedundwa na wananchi wameshangilia.
  12. G

    Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

    Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM. Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe...
  13. Kuzaa watoto wengi bila mpango mkakati wa kuwalea utahukumiwa

    Hakuna idadi ya watoto utakaozaa useme umezaa wengi. Kwa Mwingine watoto wengi kwao ni mmoja. Mwingine kama yule mzee mjaluo wa shirati, watoto wengi ni 38 na mwingine watoto wengi ni 0. Kipimo cha wingi sio idadi bali uwezo wa kuwahudumia na kuwapa malezi yaliyonyumbuka pote kwa usawa bila...
  14. M

    Soma hii upate mawili matatu: Jinsi graduate nilivyojikwamua na kuingiza milioni 10 nje ya ajira

    ...
  15. Yanga yagongwa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuingiza Timu kwa mlango wa nyuma

    Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yanga kushinda 5-1. Kamati hiyo imeipiga Yanga faini ya Tsh. milioni 5 kwa kosa la kuingia uwanjani kwa...
  16. Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

    Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya booting na kudownload drivers. Pia soma 👇👇...
  17. Tetesi: Maridhiano ya kuingiza upinzani Serikali

    Nina maoni kwamba hoja hii inaonekana kuwa na mantiki fulani. Kuna dalili za upinzani kuonyesha nia ya kushirikiana na serikali kwa maslahi ya taifa na wananchi. Hii ni ishara nzuri kwa ustawi wa nchi na amani. Mapendekezo yao, hasa kuhusu masuala kama tume ya uchaguzi, katiba mpya, na maendeleo...
  18. Nawezaje kuingiza pesa kupitia pikipiki..?

    Habari, Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
  19. Biashara inapangishwa, lipia na uanze kuingiza maokoto

    I have two houses in a compound with one big house and a guest wing ambayo naifanya hostel na ni fully furnished.....Napangisha. Iko opposite na LANDMARK HOTEL na DELTA APARTMENTS Main house 3/4 bedrooms. Two master and two normal Small house 2 bedrooms, 2 kitchens, Big house 3 bathrooms...
  20. Shekhe acharuka Mwamposa kuingiza milioni 900

    Shekhe anadai Mwamposa aliingiza million 900 siku ya mkesha wa chako ni chako katika uwanja wa Mkapa kwa kuuza udongo tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…