kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ujerumani kuingia mzimamzima kuisaidia Ukraine 🇺🇦 vita dhidi ya Urusi 🇷🇺

    HABARI Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, amewasili katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, akisema Rais Volodymyr Zelenskiy anaweza kutegemea uungwaji mkono wa Ujerumani, huku mashambulizi ya Urusi yakizidi. Merz, pamoja na wakuu wa kampuni kadhaa za ulinzi, amesema mashine ya vita ya Urusi...
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta Edwin Sifuna Azindua The Equitable Party, Atangaza Kuingia Kwenye Kinyang’anyiro cha Urais 2027

    Seneta wa Kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna amezindua rasmi The Equitable Party (TEP), akichukua uongozi wa chama hicho na kutangazwa kuwa mbeba bendera wake wa Urais kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Lakini TEP si chama kilichoanzishwa leo. Dkt. Gilbert Marava Shanga, Mkenya anayeishi Marekani...
  3. JamiiForums Tanzania Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

    Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1. Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume unayetegemea kuingia ndoani.

    Na mambo machache ya kumshauri kijana wa kiume ambaye anategemea kuanza kuishi maisha ya ndoa. Kwanza ntaanza kisaikolojia lazima kama kijana uwe umejiandaa kwa haya machache. Kubali kwamba ndoa si raha kila siku. Kutakuwa na tofauti za mawazo, hasira, uchovu na vipindi vigumu. Usitarajie...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni

    Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni Yesu Kristo alisema, ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni kama ilivyo vigumu kwa ngamia kupita katika tundu la sindano. Je, Yesu alikuwa anarejelea ngamia na sindano halisi? Kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Watoza ushuru wa mageti ya kuingia stendi ya mabasi ya mikoani magufuli rudisheni hizo chenji za sh 200 kwa wanaokata tiketi za kuingia stendi

    Habari zenu wakuu. Naomba kufikisha kero yangu ya muda mrefu hapa jukwaani iwafikie watu wenye mamlaka na uongozi wa stendi ya mabasi ya mikoni, Mbezi Magufuli Terminal. Kiwango cha tozo kuingia stendi ya mabasi ya Magufuli ni sh 300 ila unapokwenda pale na kutoa sh 500 basi wahudumu wake...
  7. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi, Mutiny, Coup d’état na Human shield: Je, kuhamasisha raia na jeshi kwa wakati mmoja kunaweza kuingia kwenye uhalifu wa kivita?

    Na Mwandishi Maalum Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu. Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
  8. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya CNN, MSNBC, na Politico vyapigwa marufuku kuingia Ikulu ya Marekani,

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuwa anapiga marufuku mara moja vyombo vya habari vya CNN, MSNBC, na Politico kuingia Ikulu ya Marekani, kutokana na kile alichokiita kuripoti habari za uongo bila kukoma. Pia alisema kuwa vyombo vingine vya habari vinatarajiwa kuzuiwa kuingia huko hapo...
  9. JamiiForums Tanzania WANAYANGA MSIJE KUINGIA MTEGO WA MAKOLO KUHUSU MANQOBA MNGITHI, CHUKUA HII.!

    Wakuu I salute you kinsmen Imepita muda sasa sijaingia hapa lakini leo nimepata nafasi na sasa Acha niongelee jambo hili linalosumbua wanayanga ambalo kimsingi ni propaganda tu. Mosi Wakuu sioni tatizo la kocha wetu kabisa, bwana manqoba ni kocha mzuri ambaye tulisubiri muda mrefu. Tatizo ni...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta Edwin Sifuna azuiwa kuingia JKUAT Karen licha ya mwaliko wa wanafunzi

    Nairobi: Tukio la kushangaza lilitokea Alhamisi katika kampasi ya JKUAT Karen baada ya msafara wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuzuiwa kuingia katika chuo hicho. Sifuna alikuwa amealikwa na viongozi wa wanafunzi kuhudhuria Law, Policy and Governance Forum, iliyolenga kujadili sheria, sera na...
  11. JamiiForums Tanzania Hauwezi kushindwa lolote unapokuwa peke yako: Jizoeshe kuingia ndani yako hauna mshindani wala cha kupoteza

    Maisha ya kuangalia Jamii inasema nini?, Dini inasema nini? Elimu inasema nini ni maisha ya kitumwa na yaliyojaa ushindani, hofu na mashaka. Ni maisha yanayolipa suala la kushindwa kipaumbele kuliko kushinda. Ni utumwa na gereza kuu dhidi ya uhuru wa mtu halisi. Mtu anapojirejelea yeye ndiyo...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

    Swali la pili. Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari. Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Mambo ni...
  13. JamiiForums Tanzania Pakistan yatishia kuingia vitani dhidi ya Wahouth wa Yemen!!

    Pakistani: Waziri wa Ulinzi Khawaja Asif anaripotiwa kuonya kwamba kuendelea kwa mashambulizi kutoka Yemen dhidi ya Saudi Arabia kunaweza kulazimisha Islamabad kuingilia kati kwa sababu ya ahadi zake za ulinzi wa pande zote. Pakistani, Saudi Arabia na Uturuki zilisaini mkataba wa ulinzi wa pande...
  14. JamiiForums Tanzania Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

    Ndugu zangu.. Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu.. I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho. I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Chuo cha SUA kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za Wanafunzi

    Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za wanafunzi uitwao SUASIS ambao taarifa za mwanafunzi zinapatikana ikiwemo matokeo, usajili wa kozi, ulipaji ada nk. Utaratibu uliopo ni kwamba Mwanafunzi hawezi ingia kwenye mfumo huo akiwa nje...
  16. JamiiForums Tanzania Israel yajiandaa kuingia vitani na Iran ikiwa itashambuliwa na magaidi wa IRGC!!

    Israeli inajiandaa kwa uwezekano wa vita vingine vya kushtukiza, wakati huu katika nyanja nyingi. Mkuu wa jeshi Eyal Zamir alisimamia zoezi la utayari wa kushtukiza lililobuniwa kulingana na masomo ya Oktoba 7. Israel iko tayari kujibu haraka na kwa nguvu shambulio lolote kile kutoka Iran!!
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu adai kuzuiwa kuingia Mahakamani na Tisheti lililoandikwa aliyenusurika Risasi 16

    Lissu adai kuzuiwa kuvaa T-shirt iliyoandikwa “LISSU — SIXTEEN BULLETS SURVIVOR.” akiingia mahakani
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego

    Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la Umeme kwa camera zote kummulika aliyekuwa mwenyekiti wenu MBOWE Hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kusajili mshambuliaji kutoka mali ni sawa na kuingia msituni kuvua samaki!

    Tuliambiwa tumesajili Doumbia wa ukweli kutoka ligi kuu ya Mali, tena alikuwa mfungaji bora kwenye ligi hiyo. Hiyo ni taarifa ya kweli. Lakini ligi kuu ya mali si chochote kitu, si miongoni mwa kumi bora katika mkeka wa ubora wa ligi kuu hapa Afrika. Mkeka huo huu hapa: Top 10 African Football...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje mtu mwenye tiketi analazimishwa kulipia ushuru wa kuingia katika Stendi ya mabasi 88 Dodoma?

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma inawaibia abiria waliokata tiketi kupitia mfumo kwa kuwalazimisha kulipia ushuru wa kuingia stendi na kupanda mabasi. Hili ni jambo lisilo sahihi ambalo sijawahi kuliona katika stendi nyingine za mikoani. Ndiyo maana baadhi ya abiria wameanza kuepuka kupandia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…