kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kwanini Hospitali ya Wilaya ya Ubungo haiwaruhusu wagonjwa kuingia na simu kwa baadhi ya wodi, Je, ndiyo Sheria inataka hivyo?

    Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto). Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa haki ya kuwasiliana na ndugu zake, na endapo akapata changamoto yoyote kabla ya ndugu kumtembelea...
  2. A

    Saud Arabia ameamua kuingia vita na Iran

    https://youtu.be/aVbfiVTauiM?si=abCE4bBfVPTI561e Ujumbe ndio huo swali hapa Atafanya kitu gani akingia vita hahaha ikiwa USA na Israel wamemshindwa Iran iwe Saud Arabia. Walicho kipika USA na Israel ni hicho akingia Saud Arabia na nchi za Gulf states zitaingia halafu USA na Israel wanakimbia...
  3. Pdidy

    Yanga yagoma kuingia vyumbani kuna harufu kali nzito...Kumeanza kuchangamka

    UPDATES 👇 Kikosi cha Young Africans kimegoma kuingia na Kukaa kwenye vyumba vya kubadilishia wakidai kuwa kuna harufu mbaya, inaelezwa Yanga SC wamepuliziwa dawa vyumbani. Yanga SC ni wageni kwenye mchezo wa leo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Azam FC, Benjamin Mkapa. Mr. Reporter
  4. M

    Wairani wengi wameendelea kujitokeza barabarani wakishangilia na kutoa shukrani kwa Trump na Netanyahu

    "Donald Trump, THANK YOU!" "Benjamin Netanyahu, THANK YOU!" Huko Iran wananchi wamefungiwa majumbani lakini wanaendelea kushangilia, watawala wamepanik wanawafyatulia risasi
  5. Sir John Deere

    Israeli yashambulia ndege za bandia huko Iran baada ya kuingia mkenge

    Hii vita inahuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja. Hii Leo Israel imetangaza kushambulia helicopter na ndege vita za Iran kumbe imeingia chaka na kushambulia michoro (paintings) iliyowekwa na jeshi la Iran kuwapoteza maboya. Nimecheka sana aisee 🤣🤣
  6. H

    Mashulizi Dhidi ya Iran Yalenge Watawala, Wananchi Walindwe Au Wasaidiwe Kuingia Mataifa Jirani.

    Mods, tafadhali naomba isomeke MASHAMBULIZI, na siyo MASHULIZI. Siku zote nchi inapokuwa katika shida ya amani, chanzo huwa ni watawala waovu wenye kiburi. Israel na Marekani, wanajua kuwa: 1. Wahanga wakubwa wa kwanza wa utawala katili wa Ayatollah, ni wananchi wa kawaida wa Iran. 2. Wananchi...
  7. MK254

    Wananchi wa Iran waanza kuingia barabarani kusheherekea ukombozi baada ya kifo cha Ayatollah

    Hiyo dini ilikua imewatesa sana, Israel imewakomboa. End of an era as Iran confirms Khamenei is dead; Trump: Justice for Iranians and beyond Iranians brave the streets to celebrate; US president urges regime’s security personnel to surrender as PM Netanyahu calls on Iran’s public to rise up and...
  8. M

    Unajua ili katika betting, Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa

    Kuna kitu nimekitafakari katika betting Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa na wengine tunatumia ushabiki mkubwa Wengine record za timu na wengine matokeo ya timu Lakini ukweli ni kuwa tukitaka kufanikiwa katika beating Haya ndo mambo muhimu ya kuangalia sana kwenye...
  9. E

    Dr Zakir Naik adaiwa kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia kwenye Uislamu duniani

    Mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu, Dk. Zakir Naik, anaendelea kutajwa na wafuasi wake kuwa mmoja wa wahubiri wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, baada ya kudaiwa kuwa amechangia kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia katika Uislamu kupitia mihadhara yake na mijadala yake anayokuwa anafanya...
  10. Stuxnet

    Magari binafsi yapigwe marufu kuingia Kariakoo

    Nazishauri mamlaka pale Kariakoo wangezuia gari zote za binafsi kuingia eneo lile. Waruhusu taxi mtandao (drop off & pick up), boda na gari za mizigo tu. Raia wote wateja na wafanyabiashara wangetumia public transport kuingia Kariakoo.
  11. Baba Vladmir

    Miezi 4 bila kuingia JF, Poleni tuliopotezana

    Jambo Wakuu! Takribani miezi minne imepita Sasa tangu nilipo-interact hapa kwa mara ya mwisho.Hakika imekuwa ni safari ndefu mno maana nimepotezana na watu wengi Sana wa maana kwangu ambao tulizoea kubadilishana maarifa na ujuzi mbalimbali. Ninamshukru Mungu leo nimefanikiwa tena kuingia...
  12. Roving Journalist

    Mbeya: Raia 37 wa Ethiopia washikiliwa kwa kuingia nchini bila kibali

    Sambamba na hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 37 wanaume raia wa nchini Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila kibali. Watuhumiwa walikamatwa Januari 16, 2026 saa 10 jioni katika Kijiji cha Kasumulu...
  13. Roving Journalist

    Responded Madai ya Halmashauri Bukoba kuuza mchanga wa makaburi ya Kishenge, magari yapigwa marufuku kuingia eneo hilo

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika. Kusoma hoja ya Mdau...
  14. K

    Makonda haruhusiwi kuingia USA-World cup hata kama waziri

    Makonda haruhusiwi kuingia USA-World cup hata kama waziri The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of...
  15. Yoyo Zhou

    China yasaidia Afrika kuingia katika zama za kidijitali

    Katika enzi ambapo utandawazi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda yanapokutana, mageuzi ya kidijitali yamekuwa nguvu muhimu ya kuhimiza maendeleo. Kwa bara la Afrika, mageuzi ya kidijitali si kama tu ni fursa ya kihistoria ya kutimiza maendeleo endelevu, bali pia ni njia kuu ya kutekeleza Ajenda ya...
  16. M

    Mtu mmoja anaweza kuruhusu inchi izidi kuingia shimoni?

    Kwa kweli ukiachana sijui TEC kule Mashekhe huku wasiojulikana yaani msababishi wa yote ni Samia,hakuna kuzungukana zitaundwa tume mpaka za maraika hakuna kitakachoturiza nyoyo za watanzania Bila huyu mama kuondoka kwa hiari yake au hiari ya mwenyezi Mung Tanzania itaendelea kutumbukia shimoni...
  17. stakehigh

    Mwaka 2026, hakikisha unaombea kuachishwa kazi. Kuna mengi katika maisha zaidi ya kuingia ofisini kila siku

    UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu kwanini usianze maandalizi mapema! Tushachoka kuskia taarifa za watu kujiua bila kua na sababu hivo...
  18. Mad Max

    AFCON 2025 Group C kuingia Round ya 16 Watapita Nigeria na Tunisia

    Sidhani kama ili nalo linahitaji kubet, ila Nigeria na Tunisia wataingia round ya mtoano. Hao wengine wote mwaka mpya wanakula wakiwa kwao.
  19. Scared

    Hamna mtu atathubutu kuingia barabarani tena

    Kwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi mkae mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena Sasa hivi kila mtu anasema kama kuiba acha waibe tu kila mtu afe na chake. Ukijichanganya kujifanya mwanaharakati uchwara upo...
  20. Chizi Maarifa

    Muhamad Ali alidanganywa kuingia Uislamu (Wasomi wataelewa)

    Warning.! This thread is for people with ability to speak and understand English. As native speakers or second language. Those who cannot understand should just recite some lines from the Quran. But you are allowed to give your comments in Swahili if you have understood.
Back
Top Bottom