Anza kidogo, lakini anza kwa akili.
Kila hatua unayochukua leo inaweza kubadilisha kesho ya mradi wako wa kuku.
Usifuge kwa kubahatisha tena - Fuga App inakupa taarifa sahihi, ratiba za lishe, gharama, na kumbusho za chanjo ili kufuga kwa faida.
→ Mwezi huu, fanya uamuzi wa kukuza mradi wako...