kuibuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    Ongezeko la shule ndiyo sababu ya shule nyingi kufa na kuibuka mpya

    Elimu inatakiwa kufika kila kona ila sio elimu ili mradi elimu tu. Nilitembelea shule moja iliyopo Yombo Vituka ya wazazi, kiukweli ni kama imebaki magofu ukilinganisha kipindi cha 2008 kushuka chini. Miaka ya nyuma kulikuwa na shule chache zenye ubora na kutoa idadi nzuri ya wanafunzi ila kwa...
  2. L

    China imejizatiti kurejesha hali ya kawaida kama ilivyo kabla ya kuibuka kwa janga la COVID-19

    Caroline Nassoro Hivi karibuni, serikali ya China ililegeza masharti na hatua za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19), na hii inatokana na mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kudhibiti kuenea na vifo vinavyotokana na virusi hivyo. Binafsi, hatua hii imenipa matumaini...
  3. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Tafakuri: Janga la kuibuka panyaroad wasomi, wizara ya Elimu imejipangaje!?

    Kama Taifa tumeshindwa kabisa kuwahodhi nguvukazi ya vijana WETU Hadi WAMEKUWA panyaroad wakikimbizana na polisi!huku ni kufeli kwa sera zetu za ajira japo tuna wabobezi katika uchumi pia ni wanasiasa wakubwa. Wimbi la vijana waliokosa ajira litaongezeka KILA mwaka na kuzalisha wahalifu...
  4. GENTAMYCINE

    RPC wa Arusha hii nguvu unayoitumia kutafuta waliomuua Askari Ngorongoro kwanini hukuitumia mwanzoni kuzuia kuibuka kwa huo mzozo?

    Kwahiyo ukishawapata ndiyo wataenda kuirudisha pumzi na uhai wa huyo Askari Polisi wenu aliyeuwawa? Na wala GENTAMYCINE hapa sitetei au sifurahii huko kuuawa kwake na nimesikitika kuuliwa ila nimesikitika zaidi kuona leo hii Jeshi la Polisi Arusha linatumia nguvu kubwa ya Kijeshi katika...
  5. JanguKamaJangu

    Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Uchifu ulishakufa"

    Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba" Enzi za utawala wake:
  6. Samia atosha tukutane2030

    Kuibuka kwa bodaboda wazee, kijana unajifunza nini?

    Habari! Binafsi ninapomwona bodaboda mtu mzima mwenye miaka 50-60 napata mshituko kidogo na kuanza kuiogopa kesho yangu. Najiuliza maswali yafuatayo; 1. Kayumba ukumbwani mpaka kaamua kuingia kwenye kazi za vijana wanaoishi vijiweni kutwakutwa kwa utani na matusi? 2. Atafanya hiyo kazi mpaka...
  7. Expensive life

    Utabiri: Simba SC kuibuka na ushindi mnono Jumamosi

    Kesho Simba sc bingwa mtetezi ligi kuu Tanzania bara na mtegemewa pekee katika mechi za kimataifa, ataparurana na wanatamtam Mtibwa sugar kutoka Manungu mkoani morogoro katika muendekezo wa ligi kuu Tanzania bara. Mchezo wa kesho ni mgumu sana kwa Mtibwa licha ya kuwa nyumbani, kwa nini nasema...
  8. Fbn

    Kuibuka kwa vikundi vikali ni kutokana na mwenendo wa serikali katika nchi

    Leo nimepata kukusanya japo kidogo na kuunganisha kwa nini kuna makundi au vikundi baadae huja kuwa tishio au kuondoa tawala kabisa. Suala la kuibuka kwa makundi au vikundi kuna mawili ambayo yanafanya kuibuka. Makundi haya yanaweza kuwa ya chanya au hasi. Sababu ya kuibuka makundi: Ukosefu...
Back
Top Bottom