kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania JE NINI UMUHIMU WA KAULI YA POPE LEON KUHUSU MATUMIZI AI

    https://youtu.be/PKlxnn1WN68?si=xbESROlkQTJU3OKI Kupitia ALJAZERA Tv Television nimeona mjadala unaohusiana na kauli & Andiko lililotolewa na Pope Leo kuhusiana na ukuaji na kuenea kwa matumizi ya Artificial Intelligence (AI) katika maisha ya kila siku ya mwanadamu. Je analichokisema au...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Ugonjwa wa Kujikojolea kitandani

    Habari za wakati huu wana Jamiiforum, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26, nimeishi na tatizo la kujikojolea kitandani tangu utotoni hadi hivi sasa ambapo bado sijapona kwa 100% ila namshukuru Mungu nimeanza kupata nafuu kidogo na pia nimefahamu vingi vingi sana kuhusu tatizo hili na...
  3. JamiiForums Tanzania Facts za kushangaza kuhusu satellites zinazozunguka dunia hivi sasa

    Watu wengi wakisikia satellite wanafikiria ni vifaa vichache tu vinavyozunguka dunia, lakini ukweli ni kwamba anga la karibu na dunia limejaa vitu vingi sana kuliko watu wanavyodhani. Kuna maelfu ya satellites zilizotumwa na nchi mbalimbali, makampuni binafsi, jeshi, vyuo vikuu na taasisi za...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza kauli za kitoto, za kijinga za uchawa kuhusu utekaji unaoendelea nchini. Terrible!

    So called Waziri wa Mambo ya Ndani
  5. JamiiForums Tanzania Kuhusu kutembea au kuoa ndugu wawili

    Wakuu adui namba moja wa taifa hili ni ccm wanachopigania ni chama chao kutawala ili kuendelea kuiba na kulinda walichoiba ndiyo maana watapishana vipindi vingine tu ila kipindi cha uchaguzi huitana na kuambizana ukweli kwamba chama kikianguka kila ajue kiama kinakuja, wanatafakari na kurudi...
  6. JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu Tequila.

    Kuna huu mmea unaitwa Agave. Upo kama katani. Unapandwa. Baada ya kama miaka 7 hukomaa na kuvunwa. Ukikomaa huwa kama nanasi hivi. Huvunwa. Majani hukatwa na kiini kama nanasi huchukuliwa. Kiini hicho huchukuliwa na kuchomwa kwenye moto. Baada ya kuchomwa hukamuliwa kutoa juisi. Juisi hiyo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Trump ametufumbua Macho kuhusu nguvu ya Kijeshi ya Marekani

    Kwa matambo ya Trump hakuna mtu angeamini kuwa angepigana vita na Iran kwa kipindi chote hiki na kushindwa kupata ushindi. Hii imeonesha kuwa, Nguvu ya kijeshi ya Marekani sio kubwa kama wanavyo inadi ila inapropaganda nyingi sana kuliko uhalisia. Kwa sasa Trump anahaha kutembelea Ulaya na...
  8. JamiiForums Tanzania Pakistan yakataa shinikizo la Trump kuhusu Makubaliano ya Abraham, yasema kuhalalisha makubaliano na Israeli 'hakukubaliki'

    Wanaukumbi. Pakistan yakataa shinikizo la Trump la Makubaliano ya Abraham, yasema kuhalalisha na Israeli 'hakukubaliki' —— Waziri wa Ulinzi wa Pakistani Khawaja Asif alikataa wito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa nchi zenye Waislamu wengi kujiunga na Makubaliano ya Abraham, akisema Islamabad...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna changamoto kuhusu Uhalali wa Kumiliki Duka la Dawa Muhimu

    Mimi ni mtumishi wa Afya, Afisa Tabibu mwajiriwa wa serikali. Naomba ujumbe huu uwafikie Baraza la Famasia Tanzania. Je! Kwanini Mimi mtumishi wa Afya ninapotaka kufungua Duka la Dawa Muhimu, naambiwa Nitafute Cheti cha ADDO au Cheti cha Pharmacy ili niweze kufanya usajili. Ikiwa mimi...
  10. JamiiForums Tanzania Iran Yakataa Masharti ya Marekani Kuhusu Fidia:

    Wanaukumbi. 🇮🇷 Iran Yakataa Masharti ya Marekani Kuhusu Fidia: 🇮🇷 Iran yasema Marekani haiwezi kuamua fidia ya kifedha kwa upande mmoja katika makubaliano yoyote ya amani. Tehran inadai: Kuondolewa mara moja kwa mali zote za Iran Kuondolewa kabisa kwa vikwazo vya mafuta 🇮🇷Iran inaweza kupata...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ghati Chomete awasilisha maoni ya kamati ya kudumu ya bunge kuhusu utekelezaji 2025/26 na makadirio ya mapato na matumizi 2026/27

    MHE. GHATI CHOMETE AWASILISHA MAONI YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE KUHUSU UTEKELEZAJI 2025/26 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI 2026/27 Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete tarehe 22 Mei, 2026 akiwa katika mwendelezo wa Bunge la Bajeti Jijini Dodoma amewasilisha Maoni...
  12. JamiiForums Tanzania Experience yangu kuhusu betting (Ukamaria)

    Hey people, Kimsingi nilianza kubet mwaka 2017,baada ya kuachana na aliyekuwa mwanaume wangu wa kwanza wakati huo kubet ilikuwa kama mbadala wa kuingia kwenye mahusiano mengine, kwasababu sikutaka kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine Niliona nifocus na shule na mpira Ninavyoona moja ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtumishi akihoji kuhusu stahiki zake tu Sabasaba Health Center anahamishwa

    "Mimi ni mtumishi hapa Kituo cha Afya Sabasaba Health Center, Morogoro. Ningependa kueleza kero kubwa inayotuumiza na inayohitaji uchunguzi wa dharura kutoka mamlaka za juu. Ndani ya kituo chetu, kuna uonevu unaoendelea; watumishi wote wanaothubutu kuhoji au kudai haki na stahiki zao za msingi...
  14. JamiiForums Tanzania Tamko rasmi kuhusu bodaboda wa Jumbe...

    Ombi kwa Chadema ingefaa na ingeleta maana kitaifa kuwajali wale bodaboda . Kama itakuwa vema zile pesa mlizokusanya kule shinyanga muwagawie kama kifuta jasho hata kama ni 500 muwape itawajenga bodaboda wengine kujitolea pindi mtu anapoomba msaada . Hawa bodaboda wana umoja sana kama wangekuwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Posho ya Kujikimu Singida DC: Watumishi tunahitaji Ufafanuzi

    Watumishi wapya wa Singida DC tunaomba ufafanuzi kuhusu posho ya kujikimu tuliyolipwa. Kiasi tulichopokea ni kidogo tofauti na tulivyotarajia kwa mujibu wa utaratibu unaofahamika, na hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu hilo wala kama kuna malipo mengine yatakayofuatia na lini. Kumekuwa na...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Manyanyaso tunayopitia Wauguzi Watarajali Manyara

    Mimi ni mmoja wa wauguzi watarajali (Intern Nurses) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, kuna changamoto kubwa tunazopitia kutoka kwa msimamizi wa mafunzo wa hospitali yetu. Tumejaribu kuwasilisha malalamiko yetu bila kupata msaada wowote katika Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu mtambo huu, excavator, je ipi ni nzuri na bora na imara?

    Kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kufahamishwa kwa kina juu ya mtambo huu unaojulikana kama excavator, aina gani ni nzuri,imara na inayodumu muda mrefu,pia wapi inaweza kupatikana kwa bei nafuu kidogo! Asanteni,wasalaam. Inshaallah.
  18. JamiiForums Tanzania Hatumtaki Rio Ferdinand. Amelishwa maneno mengi kuhusu Simba. Kwa haya anayosema tutaonana wabaya

    Ijulikane kama mmemleta kwa ajili ya Simba au Tanzania. Maana naona ujinga mwingi sana unaendelea. Anasemaje anataka aonane na wachezaji wa Simba? Ili iweje? Itokeeje? Ikaaeje? Ni upuuzi hata kumwonesha goal la Chama. Kwani Ligi hii limefungwa goal moja tu? Serikali. Iangalie jambo hili tusije...
  19. JamiiForums Tanzania Wamarekani wenye maoni chanya kuhusu China waongezeka

    Shirika la Utafiti la Pew la Marekani hivi karibuni limetoa ripoti ikionesha kwamba, ikilinganishwa na mwaka 2023, Wamarekani wenye maoni chanya kuhusu China wameongezeka maradufu, na kufikia asilimia 27. Ikilinganishwa na wakati China na Marekani zilipokuwa na uhusiano wa karibu, kiwango hicho...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu wahitimu kidato cha 6 kujiunga na JKT

    Wakuu habari za muda huu. Naomba kuuliza utaratibu wa wahitimu wa kidato cha 6 kujiunga na JKT kama bado ni hiyari au kwa sasa ni lazima? Na kama ni lazima,mafunzo hayo huanza mwezi gani kwa hawa ambao wamehitimu kidato cha 6 mwaka huu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…