kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

    Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa. Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la...
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni mnijuze kuhusu Samsung Galaxy A55

    Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55 Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk Bei halisi nijiandae na sh ngapi? Mkitaja na maduka sio mbaya
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu rudi tena useme vizuri kanusho la serikali "kufulia"

    https://www.jamiiforums.com/threads/tanzanialeaks-apuuzwe-hazina-haijafilisika.2236060/ Heshima kwenu wakuu wenzangu Kama mtambuka juzi kati member wa JF na Waziri wa Fedha alikuja humu kukana kwamba serikali haijapungukiwa uwezo wa kifedha. Hoja yake ilijikita kuonyesha serikali ina uwezo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira hizi mpya za Utumishi

    Naomba kuuliza kuhusu ajira hizi mpya za utumishi ziliotangazwa tar 7/7/2024 Je, kitakuwa na interview? Na kama ipo je waimbaji wataenda dodoma wote au Kwa mikoa na Kama ni kimkoa kumbe selikari Ina pesa kiasi cha kuendesha interview kila mkoa
  5. JamiiForums Tanzania Single mothers hawajali maneno yenu

    Unajua hata kama huoni kuwa masingle mothers wanafaida basi. Ila wao kwako wanafaida nyingi. Kuzaa nakupata mtoto ni hazina ya mbeleni na sasa . Kuitwa mama fulani ni raha sana . Mwanamke mbwahuyu hafai kazaa njee ,ila yeye anafuraha anawatoto na wanampa kampani akija home . Mtoto wake anampa...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  7. JamiiForums Tanzania Utume na unabii upo? Case study ya utabiri uliofanywa na prophets wa kimarekani, kuhusu tukio litakalotokea juu ya jaribio la mauaji ya Trump

    Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi hizi nchi zetu tunawaza kuhusu vumbuzi?

    Nimeona nchi nyingi za Bara la Ulaya, america, Australia na Asia zikifanya jitihada za kuvumbua teknolojia ambazo kimkakati zinakuwa muhimu kwa nchi na historia ya vizazi vijavyo, kwa sasa China imeweza kupiga hatua za kutengeneza vifaa vya chaji na mitambo mengine. Je, nchi zetu zimejikita...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa haya kuhusu Pikipiki

    Msaada jamani, HIVi pikipiki Kwa matumizi ya kawaida mtu anatakiwa afanyie service vitu gani na Kwa mda gani? Pia boxer 150 mazuri yake na mabaya yake ni yapi Kuna madhara ya kubana mafuta kwenye pikipiki Unawezaje kutambua kifaa ulichofungiwa kama ni og kwenye pikipiki Hasa hizi za...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu mahuiano na mwanamk aliyenizidi umri

    Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna. Ushauri wenu wanazengo
  12. JamiiForums Tanzania Magharibi walitudanganya kuhusu demokrasia, Trump kama Lissu TU.

    Ni wapumbavu, hawana demokrasia, wanatudanganya sisi mazuzu TU. Trump walitaka kumuua kama vile Lissu walivyotaka kumuua hapa. Akili kichwani https://youtu.be/PvyYcx0YKLo?si=c35U2vk62XKMcN1k
  13. JamiiForums Tanzania Hii ni kweli kuhusu Majini?

    YAJUE MAJINI KWA UNDANI - Neno majini linatokana na neno maji " sababu element ya majini ni maji na sio moto " - Majini hupendelea kuishi na kukaa baharini, mtoni, ufukweni zaidi. - Majini ni mashabiki wazuri wa michezo ya mpira, kamali n.k - Majini yana vitengo kama zilivyo serikali zetu...
  14. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu mimi

    Usiyoyajua kuhusu mimi 1. Nikishaanza utekelezaji huwa sitaki ushauri katika safari ya utekelezaji. 2. Simwogopi mtu yoyote kwa sababu pia najitahidi kutovunja sheria. 3. Nikiamini jambo linawezekana nitamini hivyo mpaka nikilifanya likashindikana. 4. Simbembelezi mtu kunipenda, kununua...
  15. JamiiForums Tanzania Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
  16. JamiiForums Tanzania Je, huwa kuna msamaha wa Katibu Mkuu wa bodi ya Ualimu kuhusu hawa waliopata division three?

    Habali zenu wana ndugu wa jamiiforms mimi na kijana wangu anasoma uwalimu wa special diploma ya sekondari ya miaka mitatu, na mwaka huu ni wapili wa masomo amefanya mtihani wa taifa wa kidato Cha sita amepata division three ya point 17 (3.17) na amefeli somo moja la kufundishia. ila sasa vigezo...
  17. JamiiForums Tanzania Pitia hapa ongeza ujuzi kuhusu nyumba za contemporary au hidden roof

    Kabla ya huajajenga nyumba yenye paa la kujificha ( hidden roof) soma ushauri huu👇 👉Hiddenroof ni nyumba ambazo zilikuwepo toka miaka ya nyuma hivi karibuni Zimekuja kwa Kasi. Na zimeacha kilio kwa watu wengi, hii ni kutokana na kulalamikiwa kwenye changamoto ya kuvuja. 👉 Nyumba hizi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utaratibu wa Leseni ya Biashara

    Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu. Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew. Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani kuhusu fomu ya mapunjo NSSF

    Habari Naomba kwa wenye uzoefu yeyote ambae kashawahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF anisaidie kunijuza kama kuna mzunguko wowote wa nenda rudi au hiyo fomu ya mapunjo haina mambo mengi Mana ile fomu ya madai kuna mambo ya kwenda mahakamani, kwa muajiri na bank kuchukua statement. Sasa nataka...
  20. JamiiForums Tanzania Vijana tuongee kuhusu fursa mbalimbali ikiwemo biashara

    Kumekuwa na watu mbalimbali wenye mitaji yao lakini wameshindwa kujua biashara za kuwekeza vijana karibuni tujuzane fursa mbalimbali za kutuinua kimaisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…