kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuhusu MUTALE hamna mchezaji pale tumepigwa!!

    Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!
  2. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Watanzania Ma CEO Makampuni ya Kimataifa, Je Tunao?, Tuna Uwezo?. Big Up Helios Towers, Kuing’arisha Tanzania, Fursa kwa Watanzania!

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mara yangu ya kwanza kutinga New York, kutembelea Makao Makuu ya UN, nilitembezwa sehemu mbalimbali za UN, huku nikitambulishwa kwa staff wa UN ambao ni Watanzania, ukiondoa UN Radio, huko kuingine kote Watanzania ni wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa asilimia kubwa sana baba yako aliyokuwa anayalaumu kuhusu mama yako alikuwa sahihi.

    Humu wote JF tulijua mama ndio alikuwa anaonewa lakini atukujua jinsi gani mama alimfanya baba kuwa paranoid kupelekea kugeuka kuwa simba nyumbani.
  4. JamiiForums Tanzania Acheni upotoshaji kuhusu ranking za CAF

    NItaelezea kwa ufupi sana hili suala. Kuna watu kwa sababu wametokea kupenda kudanganya mashabiki wao, wanadhani kila mtu ni wa kudanganya. Katika ranking ya miaka 5, hakuna point unazopata eti tu kwa kuingia makundi. Point zinaanza kuhesabika baada ya hatua ya makundi kuisha, pale ndiyo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Simba chukueni tahadhari kuhusu uwanja kwani Yanga hawaaminiki na hawapendi sisi tufuzu

    Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza. Mkifanya Mąkosa ya kuamini...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

    Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara. Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea. Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
  7. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye misingi na maadili.
  8. JamiiForums Tanzania Alichokisema Peter Kibatala kuhusu Boni Yai kunyimwa dhamana na kurudishwa Rumande

    Haya ndio Mashtaka yanayomkabili Boniface Jacob @ExMayorUbungo , wakili Peter Kibatala @PKibatala_ azungumza
  9. JamiiForums Tanzania Iran yalalamika kuhusu hii aina mpya ya mashambulizi ya Israel dhidi ya magaidi wa Hezbollah

    Iran ambayo ni mfadhili mkubwa wa magaidi ya waislamu, bila aibu yaanza kulalamika kwa kichapo kilichotembezwa na Israel kwa magaidi ya hezbollah.... ============================= Iran, an ally and sponsor of Hezbollah, on Wednesday accused Israel of “mass murder” over the previous day’s attack...
  10. JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wenu, ni changamoto zipi zinazohusiana na liquid fund?

    Niliweka mil 7 mfuko wa liquid fund badae nikatoa laki 5 ikabaki 6.5m. Leo nimetoka kuongalia nimekuta 5.576m wakati jana ilikuwa 6.51m Tatizo nini?
  12. JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu Amazon

    Habari wakuu Baada ya uzi wangu wa utafiti ambao ulifutwa sasa nimekuja na uzi mpya Katika pitapita zangu za Amazon nikakutana na uwezo wa kucreate seller acount ambayo unaweza ukachukua plan ya individual account ambayo itakua inalipiwa 0.9USD kwa kila mauzo unayoyafanya NIkapitia price ya...
  13. JamiiForums Tanzania TLS: Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu uteulizi wa aina hii?

    Katika muktadha wa siasa na utawala wa Tanzania, suala la uteuzi wa watu kutoka maeneo mbalimbali kuwa viongozi katika maeneo mengine linaweza kuleta maswali mengi kuhusu utaifa, utamaduni, na ushirikiano wa kikabila. Katika kesi hii, mtu aliyezaliwa Zanzibar na kuwa raia wa Zanzibar...
  14. JamiiForums Tanzania Je, wajua haya kuhusu Nyuki na asali?

    Je, unajua kwamba: - Kijiko kimoja cha asali kinatosha kuweka mtu hai kwa masaa 24 - Moja ya sarafu za kwanza ulimwenguni zilikuwa na ishara ya nyuki - Asali ina enzymes hai. Kijiko cha chuma huua enzymes hizi. Njia bora ya kutumia asali ni kijiko cha mbao, ikiwa sio, unaweza kutumia...
  15. JamiiForums Tanzania Mivutano na migawanyiko ndani ya Chadema, viongozi watofautiana kuhusu maandamano yao yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Baadhi wanaona kwamba dhima na malengo ya maandamano hayo ni kinyume na katiba ya nchi, lakini ni kunajisi katiba yao na misingi ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema, kwasababu Chadema haijaundwa kuwaondoa viongozi walioko madarakani kidemokrasia.. Hata namna maandamano hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa aliyeelewa kipengele namba 5 kinachodokeza kuhusu kumaliza form 4 miaka 5 nyuma na form 6 miaka 5 nyuma, naomba anipe mwongozo

  17. JamiiForums Tanzania TLS kuandaa kongamano la Kitaifa kuhusu matukio ya kutekwa na kupotea kwa raia nchini Tanzania

    Tanganyika Law Society (TLS) imeandaa kongamano la kitaifa litakalojadili ongezeko la matukio ya watu kupotea na kutekwa nchini Tanzania. Kongamano hili litafanyika tarehe 5 Oktoba 2024 saa 3:00 asubuhi maenoe ya Wakili House, Chato Street, Mikocheni A, Dar es Salaam...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Famasi na radiology

    Habari wakuu Ninaomba ushauri Kwa mdogo wangu asome kozi ipi Kwa ngazi ya degree kati ya famasi na radiology,na ipi Ina nafasi nzuri Katika kujiajiri mwenyewe hata ukikosa nafasi ya ajira serikalini nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo
  19. JamiiForums Tanzania Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

    Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu. Anachosema: 1. Yanga walikubaliana na Singida kuwa watailipa Singida sh. 30M kwa awamu mbili, ambapo 15M...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kuhusu printer

    Natafuta printer kwa ajili ya ofisi yangu ni ofisi ndogo inajitafuta lakini uwa tuna kazi za kuprint na kutoa copy kwa wastani wa karatasi 2000 za black and white na 100 za coloured kwa mwezi. Kuna mtu kanipa pendekezo la printer ya: HP LaserJet Pro MFPM 426 FDW anaiuza kwa laki 7 ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…