kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna mtu yeyote aliyekata rufaa kuhusu matokeo ya usaili wakuandika TRA kaitwa??

    Habari Wadau. Naomba kujua kama kuna mdau yeyote aliyekata rufaa kuhusu yale matokeo ya usaili wakuandika wa TRA Kama kaitwa kupatiwa ufumbuzi au kajibiwa kwenye email yake?
  2. JamiiForums Tanzania Mambo Makuu 18 yaliyoongelewa na Bunge la Ulaya Kuhusu Tanzania haya hapa

    Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo: Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali, Kukomesha ukamatwaji holela wa raia, Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola, Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa RC Makonda kuhusu wadudu, sasa wamezidi

    Arusha bado kuna wahuni wa kila aina na wengine wajiweka tofauti na kujiita wadudu. Wadudu wamepata nguvu kubwa kwa RC Makonda ila tokea kupata nguvu yani ukifungua mtandao wa youtube mara wameiba jeneza, mara wamefanya hivi yaani vituko na maajabu. Kumbuka ulitoka Dar, Mfano Dar unapowapa...
  4. JamiiForums Tanzania FAHAMU KUHUSU IOT (INTERNET YA VITU) INTERNET OF THINGS.

    IoT: Teknolojia Inayounganisha Vitu na Maisha Yetu Katika dunia ya sasa inayozidi kushikiliwa na teknolojia, kumekuwepo na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia yanayobadilisha namna tunavyoishi, tunavyofanya kazi, na hata tunavyolima. Moja ya teknolojia zinazochukua nafasi kubwa kwa sasa ni IoT –...
  5. JamiiForums Tanzania Freelancer mstaafu: Niuze swali lolote kuhusu Freelancing na Remote work

    Kwa uzoefu wangu ya miaka mitatu, 1. Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 400 2. Nimetumia platform zote za freelancing 3. Nimefanya kazi zaidi ya masaa 10,000 4. Nimetengeneza chain ya clients wa kudumu 5. Nafahamiana na kila freelancer hapa Tz 6. Nimejifunza skills zaidi ya 20 7...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tuongelee kuhusu Matunda tuyapendayo

    Binafsi Matunda ninayoyapenda ni Parachichi, Papai, Ndizi Mbivu, Nanasi, Matunda Damu na Machungwa. Karibuni kila Mtu ataje Matunda yake pendwa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu spare parts za magari kabla ya kununua pia unaweza kununua kwetu jerry spare parts and services

    Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu kadhaa badala ya elfu kadhaa, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare...
  8. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kivuko cha Pangani ni hatari kwa maisha ya Watu, tunalalamika kuhusu ubora wake lakini bado hali ni tete

    Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa. Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata hitilafu ya injini na kusombwa na maji kuelekea baharini, ingawa abiria waliokolewa kwa kutumia boti...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

    Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga. Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini. Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari. Niite wito...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu video ya huyu mwanamke iliyokuwa ikisambaa mitandaoni

    UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. 1. Hii ni video nzima. 2. Video ya awali ilikatwa na wahuni. 3. Si mtoto, ni mtu mzima. 4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu uliojificha kuhusu sisi

    Unaweza Kunisikia Humu Ndani" ni kitabu kinachozungumzia ukweli mzungumzwi kuhusu unyonyaji na hali ya kisiasa na kiuchumi barani Afrika. Kitabu hiki hakina aibu kukufungua macho na kukueleza kile kinachofichwa, kupitia hadithi ambazo zitaacha alama kwenye moyo wako. Hebu angalia baadhi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi na kupandisha mishahara kwa walimu ni kama mtego 2025

    Mambo yanapoelekea ni kama kuchanganyikiwa kwa Rais kulazimisha kukubali kuwa CCM ni tatizo na yeye ni tatizo. Walimu wamedai haki yao muda mrefu ila kama yakipuuzwa sasa wakaona wakifanya hivi kwa kuwa ndio wanakuwa kwenye uchaguzi wamuunge mkono kwenye magoli ya mkono.
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  14. JamiiForums Tanzania Kenya:kuna shaidi aliyetaka kutoa ushaidi kuhusu polisi kufanya mauwaji kwa mtindo wao wasiojulikana naye kafa.

    Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya. Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea. Jana alipatikana amefariki.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

    Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yanadi fursa za biashara na Wawekezaji Vietnam, waelezewa fursa za ujenzi, uvuvi wa kisasa, kilimo na kilimo cha korosho

    Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na makumpuni ya Viet Nam, ambapo wamenadi fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu shambulio la Fr. Kitima

    1. Kanisa litafakari kwa kina na kuchukua hatua kali zaidi dhidi udhalimu. Hapa tatizo si kushambuliwa kwa Fr. Kitima na wengineo bali UDHALIMU ulioota na unaoendelea kuota mizizi kwa kasi zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule. 2. Kanisa liwaunganishe Watanzania wote kupinga udhalimu katika...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

    Habarini, Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider: 1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao...
  19. JamiiForums Tanzania Kamanda Murillo; kuhusu kushambuliwa Fr Kitima, anza na Dr Frey Edward Cosseny

    Angalia tweets zake hapa:- Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina. Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter. Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018 Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe...
  20. JamiiForums Tanzania Pitia hapa ujifunze kuhusu False Prophet!

    Habari wasee. Kwenye kupitapita youtube nimekutana na hii kitu ya False Prophet nikasema nishare na wana wa JF wapate kujifunza namna ya kutambua huu utapeli ambao ndio habari ya town kwa sasa. https://youtu.be/G59pQD4n83s?si=6D68BV_iWmofR6MG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…