kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu kuweka lamination kwenye vyeti vya shule na hati ya kiwanja

    Habari za muda huu ndugu zangu, katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti...
  2. JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kuhusu WASUKUMA

    Nisaidieni jamani, Hivi WASUKUMA ni WAKENYA/WAGANDA au WARUNDI/WANYARWANDA, am always confused here, Najua jibu ni kati ya hayo mawili, lakini ni lipiii ?
  3. JamiiForums Tanzania Hizi habari kuhusu Makonda ni za kweli??

    Nasikia raisi wa wadudu kafyekwa ( kachinjiwa mbali ) je ni kweli?
  4. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho msingi wa mabishano kati ya Godbless Lema na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuhusu bei ya hizi ndege

    Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US...
  5. JamiiForums Tanzania Msemaji wa timu anaropoka kuhusu hela ya mboga Bilioni 2, wakati timu ya Pyramids imesajili mchezaji wa Bilioni 8.3

    Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili. Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanasheria na Wataalamu wa Miliki (mali) Njooni mnipe ushauri Kuhusu hii Kampuni yangu na Warithi wangu.

    INTRODUCTION:- Salam sanaaa? HUU NI UKWELI WA MAISHA YANGU, KUHUSU MAHUSIANO NA MALI. Naitwa Mr. Liverpool ni kijana wa kiume mwenye Diploma, Degree, Masters, na PhD Candidate dropout (Nilipata Scholarship ila biashara ikanipenda zaidi kuliko shule..!!) Ni mtumishi wa umma mwenye miaka 35...
  7. JamiiForums Tanzania Swali kuhusu pesa za Biko

    Kuhusu wale wanaofahamu utapeli wa mtandaoni. Mtu akikutumia text msg "Umepokea sh. Million saba kutoka kwa Biko" Piga namba hii ili uchukue hizo hela, Hii ina maana gani. Ukipiga hiyo namba hawapokei. What is the racket?
  8. JamiiForums Tanzania Uzi wa ushauri, mapendekezo, maoni, ujumbe, changamoto, masuali, na duku duku kuhusu siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu.

    Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
  9. JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kupandikiza mmea wa chainizi (Chinese cabbage)

    Habari wakuu. Naomba kujua kama ni sahihi kupandikiza mimea miwili ya chainizi kwa shimo Moja, endapo nitaweka mbolea nyingi zaidi ya sehemu niliyopandikiza mmea mmoja.
  11. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea pombe ya kunywa nyumbani?

    Wakuu Sheria yetu inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea hombwa ya kunywa home? Nchi kama US nyumba inaruhusiwa kutengeneza hadi lita 1000 kwa mwaka. Hapa Tz muongozo ukoje? Na vipi mtu akifungua baa na kutengeneza bia yake hapo hapo?
  12. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu mtazamo wa Mwalim Nyerere kuhusu tabia za Wanasiasa

    Huu hapa mtazamo wa mwalim Nyerere kuhusu uchaguzi wa Tanzania 2025 na wanasiasa wake
  13. JamiiForums Tanzania Alie kuja na mada kuhusu uhakika wa uwepo wa gari nzima kabisa kwa bei ya million2 majibu yake yapo chini hapo

    ndugu mwanachama ulie kuja namaada yako inayo sisitiza juu yawewe kupata uhakika wa uwepo wa magari yanayo tangazwa mitandaoni kama ulivyo sema tena kwabei ya hadi m2. majibu hapo chini. 1=gari la namna hiyo halipo labda iwe nikwamaana ya banda lakufugia panya na mende au kwamaana nyingine...
  14. JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania

    Wakuu Tanzania ni nchi kubwa sana na ina resources nyingi sana. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza sana hivi tukianza kuwa makini na resources zetu hatuwezi kujikomboa kutoka kwenye umasikini kweli? Hii Tanzania ina ardhi kubwa sana, kuna madini, ardhi yenye rutuba, vyanzo vya maji, watu wengi...
  15. JamiiForums Tanzania Mchome: Boniphace Jacob ndiye alinishawishi, akanipa ushahidi na nikaandika kwa Msajili wa vyama kuhusu akidi na uhalali wa Baraza Kuu CHADEMA

    Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego. Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema. Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu kuhusu mkoa wa Shinyanga

    Naomba kufahamu mji wa shinyanga nakama kuna mwenyeji ani Pm Tafadhali kama. Sio mwenyeji usinipm
  17. JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

    Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi. Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Kuhisi Nyege

    Ukweli Kuhusu Kuhisi Nyege: 1. Kuhisi nyege sio dhambi wala si jambo baya. 2. Umepata baraka kama umeoa au umeolewa na mtu anayekuwa na nyege nyingi kwa ajili yako tu. 3. Moja ya vitu vinavyoua hamu ya kushiriki tendo la ndoa ni ugomvi wa mara kwa mara na wa muda mrefu. 4. Sio wanaume tu huwa...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…