kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu kuhusu viongozi kupita kwenye carpet

    Huu ni mtazomo wangu tu viongozi kupita kwa carpet hasa africa ni kuepuka kuchotwa nyayo za miguu kama hivi.
  2. JamiiForums Tanzania TBS yatoa ufafanuzi kuhusu viuatilifu vinavyotumika katika kilimo cha mbogamboga

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na majukumu mengine hufanya ufuatiliaji wa bidhaa za mbogamboga ili kuhakiki usalama wake. Kilimo cha mazao ya mbogamboga, hutumia viuatilifu ili kukabiliana na wadudu waharibifu, magonjwa ya mimea na magugu ambapo viuatilifu vinavyotakiwa kutumika ni...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Mwagala: Padri Jordan Kibiki alikutwa Mbeya akiwa na depression

    Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga anaongea muda huu na waandishi wa habari kuhusu sakata la kupotea kwa Padri na kuonekana tena Mbeya.
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

    Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea. Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza. Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea. Mwanaume unasililiza. Mwaka wa tatu, Mwanaume unaongea na Mwanamke anaongea, Majirani wanasikiliza...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanza kabisa na declare sina Interest zozote. Je yanyosemwa yote kuhusu Abdul ni kweli au ni Uchafuzi kama Uchafuzi mwingine?

    Kama nilivyosema sina Interest na yoyote. Je masuala yanayosemwa kuhusu Abdul yote ni ya kweli kumekuepo na tabia chafu sana Tanzania za kuchafua watu kwa interest za watu flani. Tuliona kwa Mzee Lowassa huyu mzee kila Uchafu alitupiwa yeye mwisho wa siku Mungu kamchukua. Tukaona pia kipindi cha...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndg. Humphrey Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025

    Mtaa wa Kajificheni Mazungumzo ya Ndg. Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025 https://m.youtube.com/watch?v=DdrvgHstRPw
  7. JamiiForums Tanzania Alipewa kitengo cha kutuma SMS kuhusu uchaguzi anafanya kweli ila raia hatuna mpango huo wa uchaguzi

    Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako. Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini?? Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
  8. JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Nini madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu? 1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia 2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja 3: Na mwisho ni Shanga za kiunoni. Je, waonaje? Vyapoteza maana halisi kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kamari na hasara zake na namna ya kujinasua

    UKWELI KUHUSU KAMARI Habari yako mwana jf unaesoma uzi huu, leo nataka nizungumze na wewe, uwe mkamali au sio mkamalia huu ni ujumbe muhimu kwako KAMARI NI NINI Kamari ni mchezo wa kukusanya pesa kwa washiriki na kumpatia mmliki, kisha mmiliki kutoa kiasi kidogo kwa baadhi ya washiriki ili...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kuandika kuhusu PAPU taarifa zimeongezwa angalia mishahara yake

    Hizi karibuni nililalama kwamba TCRA ambao wametakiwa kupokea maombi ya ajira za PAPU hawajaweka details. Soma Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni Nadhani Uzi wangu waliusoma na kuweka taarifa za nafasi hizo, sasa angalia mishahara ilivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Ufahamu wa kuhusu Bima uko chini au Diva ameamua kununua ugomvi?

    Nimepita huko mtandaoni yule mdada Diva amepost barua aliyotumiwa na bima yake ya afya, Jubilee Insurance. Barua imemtaka afute post zake kuhusu bima hiyo na aombe radhi kwa kuwa bima yake iliisha tangu 2 Machi 2025. It seems kwamba Diva alienda hospitali baada ya bima kuisha na alipokosa...
  12. JamiiForums Tanzania Karibia vi-nchi vyote vilivyodanganywa na Urusi na China kuhusu ujamaa vimebaki na umasikini wa kutupwa

    Cuba Vietnam Tz Zambia North korea Laos Cambodia Mozambique Albania Na wengine sana tu.. Vilichezewa foul bila kujijua kuwafaiddisha wao pekee. UKOMONISTI NI USHETANI
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume akilalamika kuhusu mwanamke anaambiwa "TAFUTA HELA WEWE", ila mwanamke akilalamika kuhusu mwanaume anaandaliwa hadi kipindi maalum kwenye TV

    Mi nafikiri uduni uliopo katika jamii yetu umetengeneza ulimbukeni katika fikra na reasoning za watu katika maswala ya maendeleo ya mahusiano. Kuna watu wanadhani kuwa mtoto wa kiume ni kuwa robot alie auto-matic katika kukidhi kila kitu kilichopo mbele yake. Ndio maana wanaojinyonga , walio...
  14. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Mwabukusi awalipua haya kuhusu wanaharakati na CHADEMA

    Wakuu, nimekiona hiki kipeperushi je, kina ukweli kwa haya yaliyoandikwa kwa kurejelea mahojiano aliyoyafanya Mwabukusi na kituo cha Clouds TV?
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake ukiwasikiliza utapata kujua mambo mengi sana kuhusu jamii inayokuzunguka

    Kama mnavyojua wanawake wanapenda sana kusikilizwa yaani hata kama anaongea pumba wewe jifanye tu unamsikiliza na ukiweza ongezea kidogo kwenye story yake ili ajue mpo sambamba. Sasa jana moja ya kitu kilichonichekesha sana jana nilipotega sikio kwa wife na kuwa active akinipa story za hapa na...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Serikali ya awamu ya sita?

    Nawaita hapa wote. Wadau wa CCM , wadau wa vyama vya upinzani, wasio na vyama na watu wengine. Maneno mtaani ni mengi kuhusu Serikali ya awamu ya sita. Yanasemwa mengi kuihusu ikiwemo ufisadi unaofanywa na Rais , familia yake pamoja na watu wa karibu yake. Lakini haya husemwa kila awamu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwahiyo tumekubaliana vipi kuhusu hoja ya Polepole ya NIDA, Kadi ya Kura na Kadi ya CCM kuunganishwa?

    Nimewahi kumsikia Ndg. Humphrey Polepole (aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Cuba) akisema pale chamani walikwisha kuanza michakato ya kuunganisha kadi mbili muhimu — Kadi ya NIDA na Kadi ya mpiga kura — na hatimaye kuunganishwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi. Kwa tafsiri rahisi, kama kweli...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Botha alikuwa sahihi kuhusu sisi watu weusi au basi tu alikuwa anacheza "MIND GAMES"?

    Botha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi. Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech" ALISEMA: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Ngoja niwaambie kitu Watawala kuhusu hawa Gen Z

    Generation Z (Zoomers/ Gen Z) ni kundi la watu ambao wamekulia katika mazingira tofauti kidogo na Generations zingine za nyuma yao (Generation Y kurudi nyuma) Kwa asiye jua, Generation Z ni kundi la vijana waliozaliwa kati ya 1997 hadi 2012. Gen Z ndilo kundi kubwa la watu waliokulia katika...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu bank ya CRDB

    Habari zenu ndugu zanguni, Ninaomba msaada wa uzoefu wenu 🙏. Kwa wale waliowahi kuchukua mkopo wa mshahara kupitia CRDB Bank, benki hutumia mfumo gani wa riba kwenye marejesho yao? Je, ni ule wa flat rate (unakata kiasi sawa kila mwezi bila kujali salio), Au ni ule wa reducing balance (ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…