kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nipo mwambao wa Ziwa Tanganyika, uliza chochote kuhusu Kigoma utajibiwa

    Mwitongo hotel, Kigoma, Tanzania Karibuni Kigoma, Mkoa wa Kigoma uko magharibi mwa. Umepakana na Burundi na Mkoa wa Kagera upande wa Kaskazini, mikoa ya Shinyanga na Tabora upande wa mashariki na Mkoa wa Rukwa upande wa kusini. Magharibi umepakana na Ziwa Tanganyika penye mpaka na Jamhuri ya...
  2. JamiiForums Tanzania "Katiba, Katiba, Katiba...", msikilize Jaji Warioba kuhusu Katiba mpya

    Wanajukwaa, Sina maneno mengi. Wanasema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Nchi hii inahitaji wazee wa aina hii ili kupona. Mimi sina cha kuongeza. Sikiliza mwenyewe hapa:
  3. JamiiForums Tanzania Najikumbusha kuhusu Uchaguzi was 2015

    It was the dream that . I had. Niliota sayari zinazunguka jua na miezi inazunguka sayari,like watching inside a clock. Halafu all those celestial bodies started rotating backwards. After rotating backwards for some time,again they started going forward . Ndipo hapo kati ya watoto watatu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu UN volunteering

    Naomba kujua kama kuna uwezekano wa kupata nafasi ya kujitolea nje ya nchi (mfano Sudan, Congo, Sierra Leone au hata nje ya bara) kama UNVolunteer hata kama ni mara ya kwanza kujitolea. Msaada wakuu
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The B1M channel imeangazia Kenya's standard gauge railway

    The B1M ndio channel inayoheshimika zaidi kwenye youtube kuhusu mambo ya construction. Wamefeature the Kenyan standard gauge railway. Wenzetu reli yao iliyostahili kuanza kazi 2019 bado haijakamilika. Waturuki Mungu anawaona tu.
  6. JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:
  7. JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu smartphones na mirrorless na DSLE Cameras

    Nakaribisha maswali yoyote kuhusu Simu za aina yoyote ile pamoja na kamera za aina yote.
  8. C

    JamiiForums Tanzania FCC wanaweza kupokea malalamiko yangu kuhusu tangazo la uongo la Tigo?

    Nisaidieni ndugu zangu nikashtaki wapi hawa jamaa wa Tigo, FCC au mahakamani? Wana tangazo lao la kina Mkude Simba kwamba wameongeza mzigo kiasi kwamba mtu anakaribishwa pilau ila anasema subiri kwanza namaliza kuangalia movie maana Tigo wameongeza mzigo wa dakika na mb's Kwa nini tunafanyana...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Katiba ya JMT Kuhusu Kifo cha Mgombea Urais

    Mada Fikirishi Katiba yetu inaongelea kifo cha Rais akiwa madarakani lakini haiongelei Mgombea Urais ambaye tayari ni Rais akifa akiwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Natoa mfano ili uelewe kwa urahisi kwamba JPM angekufa akiwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu Katiba haisemi kitu gani kifanyike...
  10. JamiiForums Tanzania Napata shida kuelewa kwanini Rais Samia kamuajiri Tonny Blair kuhusu COVID-19 na kurejesha jina zuri Tanzania

    Huyo Tonny Blair tuko wengi tunamuona kama mzandiki fulani. Alimuunga mkono Bush kuivamia Iraq kwa sababu za uongo eti kuna silaha za maangamizi wakati ni uongo. Nchi nyingine za Ulaya zilisita ila Tonny Blair akawa kimbelembele na wakaiangamiza Iraq tokea uchumi, watu wake hadi miundombinu...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie kuhusu kufukuza wamachinga walemavu

    Kama Mama Samia ameamua kuondoa watafutaji wa mitaani yani wamachinga. Ni sawa. Ila nafikiri angewatzama kwa jicho la huruma wamachinga wenye ulemavu ambao hawawezi kubeba mizigo wala kulima. Kuwaondoa watu wa namna hii ni ukatili mkubwa sana. Naiomba serikali ya Mama Samia iwawekee utaratibu...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mwanachuo anayeingia mwaka wa pili akaomba mkopo HESLB kwa mwaka huo, wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch gani?

    Naomba msaada wandugu, Eti kwa mwanachuo anaeingia mwaka wa pili, akaomba mkopo HELSB kwa mwaka huo. Wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch Gani, maana batch ya kwanza wamesema ni kwa mwaka wa kwanza na idadi at. Msaada please
  13. JamiiForums Tanzania Azam Tv, Simba SC na Watangazaji wa Michezo Redioni mnatuchanganya kuhusu Muda wa Mechi ya Simba SC na Wabotswana leo

    Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo. Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo. Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo wanaosema ni Saa 10 na wengine wakisema ni Saa 9. Tafadhali mwenye uhakika Kamili wa muda wa Mtanange (...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kuwa na mwandiko mdogo na uchoyo

    Wakuu salaam, Mie nina swali nauliza Eti ni kweli kuwa mtu mwenye mwandiko mdogo ni mchoyo? Na kuna uhusiano gani kati ya mwandiko wa mtu na tabia zake?
  15. C

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara utawagharimu, acheni mazoezi ya wazi kila siku

    kuna kitu sijajua hadi leo simba kinanishangaza, sijui ni uzungu mwingi au vipi? kwanza ni kwanini mazoezi ya simba kila siku ni ya wazi? si muende hata Gymkhana palipojificha? Huyu CEO kule zanzibar watu walimshika matiti na makalio akakimbilia polisi hadi leo kesi hakuna na kwa sasa maadui...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Sabaya kuhukumiwa una lipi la kusema kuhusu serikali iliyomteua na kutochukua hatua kwa matendo yote hayo?

    Mimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaolamika kuhusu Diesel Engine. Uliza chochote nkupe jibu

    Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution. Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices. Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaolamika kuhusu Diesel Engine. Uliza chochote nkupe jibu

    Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution. Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices. Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mfumo mpya wa Insurance ya Gari

    Habari waungwana, Kuuliza sio ujinga, nilikuwa naomba kujua kuhusu huu mfumo mpya wa Insurance za magari wa kutokuwa na sticker za kubandika kwenye kioo. Je, inapaswa utembee na cover note kama ithibati kuwa Insurance yako ni hai. Hofu yangu ni hawa ma traffic wetu wanaweza kukamata na...
  20. JamiiForums Tanzania Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

    Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570. Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…