kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro. === Balozi wa Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Je, utabiri wa Pep Guadiola kuhusu mshindi wa Kombe la Dunia utaenda kutimia hapo Jumapili?

    Mnamo Oktoba Julian Alvarez alipohojiwa na waandishi wa habari, alisema: "Wachezaji wa Ureno na Rodri walikuwa wakizungumza kuhusu nani angeweza kushinda Kombe la Dunia. Walikuwa wakisema Ureno, Ufaransa, na mataifa mengine ya Ulaya. Kisha Pep [Guardiola] akasema, 'unajua nani ana nafasi nzuri...
  3. JamiiForums Tanzania Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

    Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
  4. JamiiForums Tanzania Lema adai Gambo anaficha ukweli kuhusu Tsh. Mil 400 za Bodaboda, Kingai aingilia

    Siku moja baada Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo kutoa madai ya kuwepo njama za kuuawa baadhi ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali aliosema anawajua, Godbless Lema, mbunge wa zamani wa jimbo hilo amemshukia akisema analenga kuhamisha goli huku Jeshi la Polisi...
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nakerwa sana na wanaodai Nalamba asali, asali ni tusi kwangu, niko upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe wakati akiongea na Diaspora nchini Marekani leo amesema anakasirishwa na wanaosema amelamba asali ili kumfanya akae kimya, na kusema hilo ni kama tusi kwake lakini anavumulia kwakuwa ni sehemu ya harakati. "Nimekuwa nikifuatilia mijadala katika...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuache unafiki kuhusu suala la Morocco

    Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu? Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao...
  7. JamiiForums Tanzania Tufunguke kuhusu hii kitu kwa unavyoijua au kuisikia

    Naamini hakuna ambaye hajawahi ona hii kitu Naombeni kujua maana Na kazi yake maana nimegundua huu sio urembo
  8. JamiiForums Tanzania Marekani: Tiktok yashtakiwa kwa kudanganya kuhusu Usalama wa Taarifa Binafsi za Watumiaji

    Mwanasheria Mkuu wa Jimbo la Indiana amesema mtandao huo unawapotosha watumiaji wake hasa watoto kuhusu kiwango cha Maudhui Yasiyofaa na Usalama kwa Mtumiaji. Katika malalamiko yaliyowasilishwa na Todd Rokita ambaye ni Wakili Mkuu wa Republican amesema kuwa Tiktok inakusanya maelezo nyeti na ya...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Elimu ya chuo kikuu

    Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

    Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na maji mchini, amshambulia vikali mwandishi, asema "Kuwa na shukrani".
  11. JamiiForums Tanzania Wasanii wanaoimba kuhusu bangi wapewa onyo

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Gerald Kusaya amewaonya Wasanii wa Tanzania wanaotunga nyimbo za kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo bangi na kusema hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa Wasanii hao. Akiongea na Waandishi wa Habari...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ndoa kwa wanaowaza kuoa mke mmoja au kuoa mke zaidi ya mmoja. Uzoefu ni mwalimu mzuri

    Declaration of interest: ======== mleta mada hii ana wake watatu ambao ni marafikiri na wanashirikiana na kusaidiana kwa karibu sana. ======÷== Facts 15 kuhusu ndoa ukizitumia zitakusaidia. 1. Ndoa japo ya mke mmoja, kwa mwanaume ni kujivika majukumu. Kama haupendi majukumu usioe, kama...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini siku hizi serikalini wanaaajiri hasa wenye elimu ya diploma? Vipi kuhusu walioanzia degree?

    Jamani siku hizi nafasi nyingi zikitolewa au serikali wakihitaji waajiriwa Mara nyingi diploma ndo imekuwa kipaumbele,. Hiyo imekaaje ndugu zangu
  14. JamiiForums Tanzania Tumuelewe nani sasa Kati ya hawa wawili kuhusu mabehewa ya treni

    Hanganya anasema ni used huyu anasema ni mapya
  15. C

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania jitahidini mlizingatie sana hili la TCU kuhusu PhD za Taaluma na zile za Heshima

    Kwa mujibu wa TCU ni kwamba Mtu yoyote ( hata awe ni nani Tanzania ) akiwa ametunukiwa PhD ya Heshima akiwa anatajwa ni lazima Kianze Cheo chake kisha Jina na Tuzo hiyo ya Heshima. Kwa mfano Cognizant nikiwa labda ni Mkuu wa Wilaya na nimezawadiwa PhD ya Heshima na Chuo Kikuu chochote Waandishi...
  16. JamiiForums Tanzania Jiunge Leo Katika Mafunzo Ya Siku 10 Kuhusu Uwekezaji Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Habari yako rafiki yangu, Naitwa Aliko Musa kutokea jiji la Mbeya. Mimi ni mwandishi mbobezi wa makala na vitabu vya mbinu bora za kuwekeza kwenye viwanja na nyumba. Ninawafikia wawekezaji kupitia mtandao wangu uitwao UWEKEZAJI MAJENGO. Nimekuandalia mafunzo mazuri sana ambayo yatakuwezesha...
  17. JamiiForums Tanzania Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inapoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini na linavyopokewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kuuza au kununua hisa

    Kuna mambo kadhaa nahitaji kufahamu kutoka kwa Wajuzi wa hizi kazi. Nimeonesha nia ya kutaka kuuza hisa nikapatiwa orodha ya Madalali, sasa nipo njiapanda nitumie kigezo gani kuchagua Dalali mmoja kutoka kwenye orodha. Na je, kuuza au kununua hisa kwa wakati ina uhusiano na ni Dalali gani ume...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto, Raila watupiana maneno kuhusu kusimamishwa kwa Makamishna wa Uchaguzi

    Rais wa Kenya, William Ruto amemtaka kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga kuacha kushawishi umma kupinga maamuzi hayo kwa kuwa Mahakama ndio itakayoamua kuhusu makamishna hao ambao walipinga ushindi wa Ruto katika uchaguzi Mkuu wa 2022. Kwa kutumia ukurasa wake wa Twitter, Ruto ameandika...
  20. JamiiForums Tanzania Mwamko Mpya Kuhusu Historia ya Bi. Titi Mohamed

    MWAMKO MPYA KUHUSU HISTORIA YA BI. TITI Mwaka jana 2021 kuanzia mwezi October hadi kufika mwezi kama huu na siku kama hizi nilipokea wageni wengi nyumbani kwangu kutoka vyombo vya habari pamoja na CCM wakitafuta historia ya Bi. Titi. Hakika haya ndiyo maajabu ya Allah kuwa atakapo jambo lake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…