Nimeona Heche, Sugu, Mbowe, Mnyika na Zitto wakitoa hotuba kali kwa serikali bila kupepesa macho, kiasi cha kumuacha Mwigulu akikenua tu asijue la kufanya.
Nataka kuamini hiki ndio kilimfanya Samia apate ugumu wa kuja huko msibani. Mwigulu amepigwa suprise hakujibu hata moja.
DAARUL MAARIFA DAY 2025
Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu.
Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!.
Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama Alivyonusurika LISSU , hamna asiyemjua.
Jicho la Dunia lote liko linamlinda, popote anapoenda , Mguu wake...
Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Afrika Kusini, imedai kuwa marehemu aliacha maelekezo mahsusi akitaka Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, asijihusishe kwa namna yoyote na shughuli za msiba wake wala kuwa karibu na mwili wake.
Kwa...
edgar lungu
familia
hakainde hichilema
hayati
kizungumkuti
kuhudhuria
lungu
mazishi
msiba
mstaafu
mwili
rais
rais mstaafu
rais wa zambia
ulipo
wake
wosia
zambia
Chaumma kimekamata siasa za nchi. Taarifa niliyopata ni kwamba chama kimeagiza viongozi wake waitishe wana chama kutoka maeneo ya mbali na hata wilaya jirani wahudhurie mikutano yao. Lengo ionekane imejaa.
Chauma wanawauma kwa meno makali, wanawajua kwa mbinu zao na wanawapigia hapohapo. Kuna...
Ipo kauli ilitolewa na bw. Lema akitaka watanzania wasiende kuhudhuria mikutano ya baadhi ya vyama, napinga kauli ya bw. Lema kwa nguvu zote, watanzania wanao wajibu wa kuhudhuria mikutano yote ya vyama kwa wingi kabisa, ili waweze kubaini ni yupi au chama gani kitawafaa kwa sababu kura ni siri...
Jomba relax... manzi ako tuko nae hapa Dom kwenye mkutano mkuu wa chama pendwa CCM. Ni mgeni mwalikwa kwenye huu mkutano. Si unaona wasanii kibao wamekuja kuhudhuria? Hata wewe ungepata mwaliko ungekuja.
Kutokana na uhaba wa sehemu za malazi, manzi ako kapata hifadhi kwenye nyumba ya mjumbe wa...
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amewasili mjini Moscow nchini Urusi leo tarehe 8 Mei 2025.
Kapteni Traore ni miongoni mwa viongozi walioalikwa nchini Urusi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi walioupata Urusi dhidi ya wanazi kutoka nchini...
Hawa jamaa ni kama hawafi hadi wafikie kuitwa Waziri Mkuu. Huku mtaani kuna Wamasai wengi tu wanafanya shughuli mbalimbali, wengine wanalinda majengo yetu, wengine wanaouza dawa NK lakini sijawahi kusikia kuwa kuna Mmasai kafa, wala msiba wa Maasai anasafirishwa wala anazikwa hapa mjini.
Hakika...
MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.
Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri...
Wakala wa mchezaji Ellie Mpanzu anayefahamika kwa jina la Papida amesema mchezaji wake bado anadai sehemu ya malipo yaliyobakia ambapo inadaiwa mpaka sasa kuwa hayajakamilishwa.
Papida ameweka ngumu kwamba kama malipo hayo kama hayatakamilishwa mpaka kufikia Ijumaa hii basi wasitarajie kumuona...
Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha.
Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers, simu, apps, n.k.
Kwa sasa nipo Njombe, huku ni bila bila. sehemu ya karibu nayohisi kuna hayo mambo...
NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025
Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki...
Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Wakuu
Nimeona vyanzo mbalimbali vimepost hii taarifa huko YouTube. Je, ni kweli Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso, amewasili nchini kuhudhuria mkutano wa nishati ambao unaendelea leo kwa siku ya pili?
𝗟𝗜𝗩𝗘: 𝗠𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗡𝗶𝘀𝗵𝗮𝘁𝗶 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮 (𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝘆 𝗦𝘂𝗺𝗺𝗶𝘁) 𝟮𝟳-𝟮𝟴 𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝗶, 𝟮𝟬𝟮𝟱
Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)
Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 – 28 Januari, 2025.
Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.