China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia.
Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi!
Denmark anaimudu maana anataka kuinyakua Greenland for security reasons!
Utawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau, umepitisha Katiba ya mpito ya miezi 12 ambayo inawazuia Rais wa mpito na Waziri Mkuu kugombea katika uchaguzi ujao, wiki mbili baada ya maafisa wa Jeshi kufanya Mapinduzi ambayo yaliisimamisha Katiba.
Kwa mujibu wa Shirika la habari la Reuters, hati hiyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM isingempitisha Rais Samia kugombea Urais Mwaka huu.
Wanasema kwa kuwa Ni Rais Samia pekee ndiye...
SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais Oktoba 29 2025, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kutaka kesi hiyo iwe fundisho kwa wana CCM wengine.
Kada huyo wa CCM, Khamis Mgeja...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Patrick Mwalunenge Amechukua rasmi fomu ya Kuomba kuteuliwa na tume huru ya Taifa Ya uchaguzi kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm
Mwalunenge Amechukua fomu hiyo siku chache baada ya kuteuliwa na Chama chake kukiwakilisha katika...
Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la Butiama.
Soma pia GE2025 - Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kipindi cha...
Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani
1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni
Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4):
"Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
Derby ya Samia na mpina haiwezi kutokea kwa sababu ni derby ngumu
Mpina hata asiposhinda lakini atawahenyesha sana kwa kuwaeleza wapiga kura fact ngumu ambazo mpinzani mwingine kwa waliopo Sasa hawezi ! Mpina huwezi kumhonga Wala kumzuia kuongea lolote !!
Samia na timu yake sasa wanaweza...
Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali.
Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed...
Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amepingwa kugombea urais baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Joseph Ndala, kumwandikia barua Katibu Mkuu wa Chama hicho akipinga mchakato...
Wakuu
Nimekutana na video hii huko mtandaoni.
Huyu ni mgombea wa Urais kupitia CUF anaitwa Mkunyutila Siwale hapa ndo alikuwa anawashawishi wajumbe waweze kumpigia kura ili aweze kugombea Urais kupitia chama cha CUF
Sasa inavyoonekana sijui ni uzee au kukosa confidence lakini kashindwa...
Wakuu,
Hili ni tukio la kichama, katika shughuli ambayo kama atafanikiwa basi acc hizo za ikulu ndio zitatumika kirusha matukio yake.
Kwanini zinatumika leo Samia akienda kuchukua fomu kama mgombea wa CCM, ni kwamba wameshapitisha kwamba yeye ameshakuwa Rais?
Vyama vingine vikienda kuchukua...
Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge .
Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa chama na kamati kuu waliokukata.
Chama cha Mapinduzi kesho, Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dk.Emmanuel Nchimbi, wanaenda kuchukua fomu...kwenye Tume Huru Ya Uchaguzi Dodoma"- Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla
Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni CCM na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu CCM na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.
Kama Mpina ni jasiri na ana nia ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi...
Shirika la Ujerumani lililotaka kuchunguza ili liiwekee vikwazo Israel kwa Kusababisha Njaa na Mateso kwa Wa gaza limegundua kuwa ni maigizo yanayoandaliwa a Hamas kuhadaa Dunia kampeni ambayo imefanikiwa kwa maigizo kama hayo kwa zaidi ya miaka miwili hadi mashirika yakaamua kuchunguza hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.