Wakuu, habari za jioni.
Nimepitia mijadala mbalimbali kuhusu suala la kuondoa vyeti (qualifications) vilivyowekwa kwenye Ajira Portal, lakini hadi sasa sijafanikiwa kupata taarifa kutoka kwa mtu ambaye amewahi kufanikiwa kuondoa cheti cha qualification, kwa mfano cheti cha Shahada (Degree...