kuficha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teleskopu

    JamiiForums Namna "nzuri" ya kuficha ushahidi

    Tuseme unataka kujitajirisha Ukasema kuwa bangi ni nzuri kwa afya kwenye kijiji chenye watu 300 Kisha ukawagawia watu 50 bangi yako. Lakini baada ya miezi michache watu 42 wakaanza kumwaga mate kama mazezeta. Wale ambao hukuwapa bangi watasema, “Mnaona, bangi ni mbaya sana. Hakuna hata mtu mmoja...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Mbinu mbalimbali ambazo hutumiwa na watumishi wa umma, wafanyabiashara nk kuficha utajiri wao

    Wasalaam ndugu zanguni nyote. Uzi wa Leo sio wa kinoko, ila tu tufundishane mbinu mbalimbali ambazo watu hutumia kuficha utajiri wao, hasa ule ambao wameupata kinyume na tarabu, au kwa njia zisizo halali na kadhalika. Nitaleta Visa kadhaa . Kisa Cha Kwanza Kisa Cha Pili Kisa Cha Tatu Kisa Cha...
  3. M

    JamiiForums Bumbuli na Yanga SC yako si mnajifanya mnajua kukanusha na kuficha yanayoendelea, ikanusheni na hii pia

    Nilishasema kuwa kuna Kazi iliyo nyepesi sana Kwangu Mightier ni ya Kufuatilia Habari ngumu na zinazofichwa ndani ya Klabu ya Yanga. Kwa taarifa nilizopemyezewa na Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC (asiyependa Unafiki na Uwongo) kasema kuwa Wachezaji Waandamizi wa Yanga SC akina Deus Kaseke...
  4. Y

    JamiiForums SoC01 Nendeni mkajiajiri vijana ni kichaka kitumikacho kuficha udhaifu wa uwajibikaji wa viongozi wetu

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani. Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezimungu muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo. Naam nimeamua kuandika hili andiko ili tuweze kupeana maarifa mbali mbali katika jamii yetu tunayoishi. Ajira, Ajira, Ajira hili ni neno lenye...
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

    Kama sikosei, mpaka sasa Rais Samia keshaongea na waandishi wa habari kama mara mbili hivi. Ni zaidi ya mwezi sasa tokea alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari/ waandishi wa habari toka ikulu ya Dar es Salaam. Wiki moja au mbili zilizopita, akafanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC...
Back
Top Bottom