kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Biashara ya samaki

    Wakuu kwa mtu yeyote mwenye ujuzi kuhusu biashara hii hasa samaki wa maji baridi huko Dodoma. Soko lake vipi lina upinzani mkubwa? Mimi niko Mbeya. Nawasilisha kwa salamu na shukrani kwenu! WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJUA KUHUSU BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA YA SAMAKI...
  2. Austria: Waziri wa Afya ajiuzulu, asema ni kwasababu ya kufanya kazi kupitiliza na uchovu

    Waziri wa Afya wa Austria, Rudolf Anschober ametangaza kuachia wadhifa huo kwasababu ya uchovu, akisema miezi 15 aliyokuwa ofisini imeonekana kama miaka 15. Anschober (60) aliyeteuliwa Januari mwaka 2020 na kuongoza Taifa hilo katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona amesema Taifa linahitaji...
  3. Kufanya masters/PhD vs kusoma vitabu kipi Bora?

    Mimi nasema Bora kusoma vitabu. Kufanya masters/PhD waachie ma academicians au watu ambao bado Wana mindset za kuajiriwa ( kuongeza elimu ili daraja la mshahara lipande) but kama una taka ku acquire the real and true knowledge u must go for reading books. A lot of books... Mtu anae Soma vitabu...
  4. Ni umri gani ukishatimiza katika maisha bila kufanya jambo lolote utaishiwa kuchekwa?

    Dunia inaenda kwa kasi mnoo na umri pia unaenda kwa kasi mnoo hivyo kuna jambo ningependa tushare pamoja Hivi ni umri gani ukishatimiza bila kufanya jambo lolote la kimaendeleo utaishiwa kuchekwa na walimwengu?
  5. U

    Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi

    Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
  6. K

    Zitto jifunze kufanya timing, usingechapa ripoti wakati Mbowe ana press

    Next time nimshauri Zitto na wanasiasa wengine kufanya timing unapotaka kufanya kazi na jamii. Leo tunakosa uchmbuzi wa comments za ACT Wazalendo kuhusu CAG report kwa Sasa Mbowe kateka media zote nchini. Natamani kosa kama hili lisijirudie, jipeni muda wakuwasiliana na jamii.
  7. L

    Mbona Profesa Assad muda wake wa kuwa GAG ulipoisha hakuteuliwa kufanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa?

    Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa. Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata...
  8. Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya safari yake ya kwanza ya kikazi nje ya Nchi kwa majirani zetu Uganda. Rais Museveni amemualika Rais Samia kwenye kuzungumzia masuala mbalimbali huku kubwa likiwa ni bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima
  9. Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

    Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli. Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea...
  10. Wanamchafua Mwendazake wakiamini kuwa kwa kufanya hivyo wao watabaki salama

    Kwema wanachemba. Tumeshuhudia tangu kuondoka kwa mwendazake kumekuwa na sauti nyingi sana zikipazwa kwa nguvu sana tena na wengine waliokuwa wasaidizi wake wa karibu sana kujaribu kutuaminisha kuwa mwendazake alikuwa mtu hovyo sana !!!! Wanachosahau ni kuwa na wao walikuwa watu muhimu sana...
  11. Biashara ipi naweza kufanya kwa mtaji Tsh 800,000/=?

    Habari wanajamvi naomba ushauri, nina pesa kidogo kiasi cha laki nane naomba ushauri kwa wazoefu na biashara. Ni biashara gani ninaweza kufanya na ikaniletea faida ijapo pesa ya kula. Naombeni ushauri kwa wazoefu wa biashara nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Zaidi...
  12. H

    Maendeleo yoyote hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu

    Maendeleo yoyote yawe binafsi au ya nchi hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu. Heshima katika kazi ndio msingi wa kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu. Watu wakifanya kazi kwa nguvu na kwa bidii wanazalisha mali. Wakizalisha mali, uzalishaji wa taifa unaongezeka, ukiongezeka...
  13. Je, kwa kufanya haya utanogesha penzi lako?

    Habari wana Jf, Nimekuwa nikifuatilia nukuu mbalimbali kwenye vitabu nk. Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwamba Wanawake ni vyema kuwaonyesha wanaume zenu kuwa mnawapenda sirini na sio hadharani. Yaan in public kwamba huyo ndio mwanaume wako kila mtu ajue. Hii inasemekana wanaume wengi...
  14. Nataka kufanya biashara ya asali kutoka Tabora kuleta Dar es Salaam

    Salamu Waungwana wa Ukumbi huu adhimu. Kuna visenti nimevipata mahali natafuta namna ya kuviongeza. Ninafikiria kufanya biashara ya Asali kwa kuanzia niende Tabora na kununua japo dumu mbili za lita ishirini ishirini za Asali mbichi ambapo nimeambiwa bei ya dumu la lita 5 ni kati ya shs Alfu 45...
  15. Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…