Je, kwa kufanya haya utanogesha penzi lako?

Oct 29, 2020
70
150
Habari wana Jf,

Nimekuwa nikifuatilia nukuu mbalimbali kwenye vitabu nk. Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwamba Wanawake ni vyema kuwaonyesha wanaume zenu kuwa mnawapenda sirini na sio hadharani. Yaan in public kwamba huyo ndio mwanaume wako kila mtu ajue. Hii inasemekana wanaume wengi hawapendi show off.

Kwa upande wa wanaume ni vyema kuwaonyesha wanawake kuwa tunawapenda hadharani na sio sirini, yaani in public waonyeshe watu kuwa huyu ndie mwanamke unayempenda...Wadada huwa wanapenda hiyo sanaa.

Ni mawazo yangu, vipi mwana JF, unakubaliana nami au una la kuongeza...

Uzi nawasilisha

1617729460543.png
 

off-sir

Member
Dec 21, 2019
28
75
Upo sahihi mkuu japo kwenye swala la kuonesha nimekwisha kutana na mwanamke yeye hapendi kuoneshwa yaani kupostiwa.
 

Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
2,611
2,000
Aya jidanganye tu.
Binadam tunatofautiana tena hasa wanawake unaweza pasuka kichwa kama utaishi nao kwa kukalili.

Jibu sahih ni INATEGEMEANA NA MTU, MAZINGIRA, NA MDA
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
52,645
2,000
Kama ilivyo majani ndio msosi wa mbuzi, ila majani hayo hayo mbwa hali....vivyo hivo na mapenzi, yanayofanya kazi kwako yanaweza kuwa kero kwa mwingine and vice versa.

Kwahiyo hapo ni wewe tu na mapenzi yako na unavyoyaendesha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom