kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zinapaswa kufanya nini ili kukabiliana na wimbi la kupinga utandawazi?

    Mwezi Aprili mwaka huu, Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen alitangaza mkakati mpya wa mnyororo wa utoaji bidhaa uitwao friend-shoring, unaolenga kuunganisha baadhi ya nchi zilizoendelea ili kuzitoa nchi zenye maoni tofauti na maadili ya pamoja nao kwenye minyororo yao ya utoaji bidhaa...
  2. JamiiForums Tanzania Kama kweli ndivyo ilivyo, basi ni vigumu kwa viongozi kama hawa kufanya maamuzi yenye tija kwa taifa

    Kwa picha na ujumbe huu kutoka kwa kiongozi mkubwa wa serikali, hakika bado tuna safari ndefu. Mwingine alipost amebeba gunia begani. Je, ina maanisha nini? Kwamba hatuna nyenzo za kurahisisha kazi au hatuna maarifa? Huyu naye kula huku amesimama na soda mkononi, atatusaidia kweli kufikiri kwa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kufanya flash disk formated fat32 ibebe vitu zaidi ya gb 32

    Wakuu habari zenu, Kama mjuavyo flash drive ya kwanzia gb 64 + 1 TB uki format kwa fat32 hua inapoteza uwezo wake wa kubeba vitu vingi na badala yake itahifadhi vitu mwisho gb 32 tu. Naomba msaada jinsi ya kuvunja hiyo limitation na kufanya ibebe vitu vingi zaidi ya gb 32 bila kubadilisha...
  4. JamiiForums Tanzania Nimewaza kufanya blogging kama part time, kiuhalisia kwa hapa bongo nitaweza kunufaika kiuchumi?

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kutinga kwenye uwanja, nimekuwa nikicheki interviews za lisaa ama zaidi kwa bloggers waliofanikiwa na kiukweli natamani walau nipate walau hata theluthi ya mafanikio yao hasa napoona kwamba ushindani wa blogs bado ni mdogo hapa kwetu kwenye niche kibao...
  5. JamiiForums Tanzania Video: CCM wanatumia rasilimali za Serikali kujionesha. Hii ikemewe na wapenda haki wote

    Nimeshtushwa kidogo kuona Dereva akiwa na gari yenye nembo ya TASAF akijinadi Kwa mbwembwe kuwa yeye "kaheshimishwa" na Rais/Mwenyekiti wa CCM kuendesha "gari Kali". Anayazungumza haya akiwa na Uniform za CCM, Kwa Hali kama hii inaleta sintofahamu kubwa Kwa nchi huru, tunajua mnafanya ujinga...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali mnaopenda kufanya maamuzi ya kujijenga binafsi kisiasa muache. Sikubaliani na hili tamko la RC Mtaka

    RC Mtaka ni kiongozi mzuri lakini naona huwa anavuka kabisa mipaka labda kwa kujua au kutokujua ila mwishoni huonekana ni kama vile maamuzi binafsi ya kujijenga kisiasa. Mara kadhaa ameshawahi kuleta misuguano hadi na waziri wa elimu kutokana na maamuzi yake ambayo huwa hataki kabisa yapingwe...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa bora kununua ndege badala ya mabehewa na vichwa ili kufanya safari za treni kwenda Mwanza, Kigoma na Moshi?

    Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wachagossia waanza kuona mwanga baada ya Uingereza kukubali kufanya mazungumzo juu ya hatma ya visiwa vyao

    PILI MWINYI Uingereza hivi karibuni ilitangaza kukubali kufanya mazungumzo na Mauritius juu ya hatma ya visiwa vya Chagossia, ikionekana kurudi nyuma kidogo baada ya kugoma kwa siku nyingi kufanya mazungumzo hayo licha ya shinikizo kubwa iliyokuwa ikipata kutoka nchi mbalimbali duniani. Kwa juu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko tayari kufanya kazi pamoja na wapinzani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freemen Mbowe katika mkutano wa CHADEMA alisema kuwa aliandika barua kumuomba Rais Samia Suluhu kufanya maridhiano ya kitaifa wakiamini ni njia sahihi ya kufanya kazi na kujenga nchi na Rais Samia alijibu barua hiyo ndani ya siku 3 alilidhia ombi hilo. Pamoja na kuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo mzazi au mlezi anatakiwa kuzingatia pindi mtoto akiwa likizo

    Kipindi hiki watoto wamerudi nyumbani au kutokwenda shule kutokana na uwepo wa likizo, ni vizuri wazazi kuzingatia haya: 1. Jipe muda wa kuzungumza na mtoto kila siku. 2. Muulizie juu ya changamoto alizokutana nazo akiwa shule. 3. Kagua vitu anavyovitizama kama picha, simu. 4. Jadiliana naye...
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo siyo kutokufanya bali ni kufanya maamuzi

    Nadhani tunapotoka; Wote tumekuwa tukipigia kelele Mamlaka makubwa ya Rais (hilo ndio Tatizo), ndio maana nililaumu kipindi cha JPM kuamua yeye kama yeye na siyo wadau kuhusu miradi (eti Miradi ya JPM na sio ya Watanzania), au Taasisi ya Rais kufanya maamuzi ya Mahakama na siyo taasisi husika...
  12. JamiiForums Tanzania Kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa ni dhambi?

    Na kama ni dhambi, ni nani alithibitisha hilo na alitumia vigezo vipi vya kisayansi? Wapo wanao amini ni dhambi, au wengine wanakuwa na hofu ya kuachwa, au wengine wanakuwa na ile hali ya kutokujiamini kwa kujiuliza, atanionaje baada ya kuona utupu wangu n.k. Kwa upande wangu nina ushuhuda wa...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara msimu wa sikukuu. Zipi biashara za kufanya

    Kila Mmoja anafahamu kuwa msimu wa siku watu hununua mahitaji mbalimbali. Naomba tusaidiane. Ni biasahra gani ya msimu huu wa siku mtu anaweza kufanya?
  14. JamiiForums Tanzania Hapa huwa najiuliza ni wapi tunapokosea Watanzania? Uongozi wa aina ipi tunaohitaji kufanya kazi pasipo kushurutishwa?

    Our late president JPM alikuwa Chapakazi sana kwa hili nampongeza sana kwa wakati ule alipopokea kijiti kutoka kwa JK alikimbia sana na wakati kwenye kuinua nchi upande wa nyezo za uchukuzi na kuipa nchi nafasi nyingine ya kuingia mikataba yenye uhai hata hivi leo bado zinaendelea kufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kufanya Tathmini Kwenye Kiwanja/Nyumba Kwa Lengo La Kujenga/Kutunza Utajiri

    Tathmini hii inafanyika kwenye nyumba ambazo ni kwa ajili ya KUJENGA/KUTUNZA utajiri. Nyumba za kuishi jenga au nunua kwa kuzingatia mapenzi yako binafsi (au mapenzi ya familia yako) pengine hata bila kufuata misingi hii ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Viashiria vinne (4) vya kupata...
  16. JamiiForums Tanzania Unaona nini kwenye hii picha?

    wazee wa VAR😂😂😅😅
  17. JamiiForums Tanzania Putin apapatika na kufanya vikao baada ya mabomu kulipua kambi tatu Urusi ndani ndani

    Wana wamembip tu wala hajaguswa vizuri tayari keshaanza kuita vikao ndani kwa ndani, baada ya kambi za ndani ya Urusi kulipuliwa tena ndani kabisa mleee! Alishasema Urusi ikishambuliwa atafanya makubwa, haya tuone. Russian President Vladimir Putin on Tuesday called a meeting with his security...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Dream za baadhi ya wanawake ni kufanya sherehe/harusi kubwa na si kuishi maisha ya ndoa

    Unakuta dada anafunga ,anaomba apewe mume ,Mungu anampa mume baada ya ndoa anarudi kwa ex wake ,hapo ndipo unajua shida yake ilukuwa ni SHEREHE/HARUSI nae wamwone kaolewa na si MUME wala NDOA. Hapo utajua kuna wanawake wanaopenda SHEREHE/HARUSI ila hawapendi maisha ya NDOA wala mume,kwani anaye...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini viongozi wengi na Taasisi nyingi hasa za Serikali hawapendelei sana kufanyia kazi Tafiti zinazofanyika hasahasa vyuo vikuu?

    Kwa taarifa tu ni kwamba, Wakufunzi ( Wahadhiri) wa Vyuo mbalimbali hasahasa vyuo vikuu, mojawapo ya majukumu yao ya msingi ni kufanya Tafiti mbalimbali. Ukiangalia kwenye google scholar kisha ukaanza kutafuta research zilizofanyika hapa nchini na wahadhiri wetu, utakutana na utitiri wa tafiti...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani

    Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…