kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Matusi ya nini sasa wakati wa kufanya mapenzi ndugu zangu?

    Hii ina maana gani kuporomosha matusi mazito mazito wakati wa kufanya tendo la ndoa tena na mtu wa ibada kabisa na mwenye heshima anaeheshimika kwenye jamii? kwani hakuna maneno mengine hadi mayowe na miguno ya kuambatana na matusi? :pulpTRAVOLTA:
  2. milele amina

    JamiiForums Tanzania Wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini,wazidi wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.

    Uhamiaji na Changamoto za Kijamii Wilaya ya Chunya Katika kipindi hiki, tumeweza kushuhudia mabadiliko makubwa katika hali ya uhamiaji nchini Tanzania, hasa katika maeneo ya vijijini kama Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Katika muktadha huu, ni muhimu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio nafuu ya simba kutoonekana madhaifu yake lakini timu yao ni dhaifu na kocha wao ni dhaifu pia!

    Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao! Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
  4. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Simamia mwenyewe kazi zako muhimu na epuka kufanya kazi kwa simu

    Miaka fulani uko nyuma nikiwa mkoani kwangu nilishuhudia uwanja mkubwa ulio jirani yetu ukisafishwa na bdae palifanyika ujenzi matata kabisa mahala pale. Kwa harakati zilizokuwa zinaonekana pale ni wazi walikuwa wanajenga kitu kikubwa sana km hoteli kubwa au kitu kinachofanana na hicho. Kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kurujuan ya mzee MAGOMA inaendelea kufanya kazi ndani ya mtaa wa Jangwani. Lini hii slow pacha itazibwa?

    Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo hutakiwi kuchelewa kwenye maisha kama tayari una mpango wa kufanya jambo husika

    MAMBO AMBAYO HUTAKIWI KUCHELEWA KWENYE MAISHA KAMA TAYARI UNAMPANGO WA KUFANYA JAMBO HUSIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Leo sitawachosha ndugu zangu. Nitashusha vitu kisha nitawaacha mkitatafakari kwenye weekend hii. Kwenye akili yako kuna mambo yanaendelea, kuna mambo unayawaza kuhusu...
  7. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya mapenzi mbele ya watoto wadogo

    Hebu tujadili wakuu maana kuna wazazi WA ajabu sana.hata kama chumba kimoja fanyieni hata mvunguni.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kufanya usafi siku ya maandamano

    Baada ya kauli mzee kuonya kile chombo kikubwa kilichobaki kisijiingize kwenye mambo ya kisiasa baada ya wadogo zao kuonekana wanatumika kisiasa japo wengi wao hawapendi bali ni kuagizwa tu. Sasa, siku watu wale wakitangangaza maandamano, je, wale wakubwa watatangaza nao kufanya usafi? Naona...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya Watumishi KKKT kufanya kazi bila mikataba ya ajira

    Je, ni sawa kwa baadhi ya watumishi wa KKKT kufanya kazi na kupokea mishaara bila mikataba ?
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba yapigwa faini ya TSh 5 milioni kwa kufanya vurugu Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza

    Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano), kwa kosa la walinzi wake kufanya vurugu na kuvuja mlango na kioo cha dirisha la ofisi ya meneja msaidizi wa uwanja wa CCM Kirumba, wakilazimisha wa maofisa Pamba na wa Uwanja waliokuwa ndani ya ofisi hiyo kutoka nje wakati timu ya...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kufanya vikao vya kiutendaji kabla ya kuapishwa, nchini Marekani?

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump, bado kuapishwa kwa ajili ya kuanza kazi yake ya urais katika nchi hiyo; lakini kuna vikao huwa vinafanyika kati ya yeye na viongozi mbali mbali kutoka nchi tofauti tofauti, kuhusu maazimio ya kiutendaji wa nchi hizo na Marekani. Swali langu, ni sahihi...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Hii Kazi ni ngumu binafsi siwezi kufanya

    1. Kazi yako ni kutii amri za watawala Unaamka asubuhi unamuga mkeo na wanao unaenda kazini Kazi yako ni kuteka na kuuwa Watanganyika wenzako, mtu mweusi kama wewe, tena unamnyonga na kamba akikwambia Fulani nisamehe Bado Nina mke na watoto wadogo lakini wewe unaamua kumwaga damu yake...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Sean Paul imewashtua wengi baada yakusema hamjui Diamond wala Alikiba alipotua Tanzania, ila anatamani kufanya nao kazi

    Wakuu Mwanamuziki maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul, aliwasili Tanzania jana (Novemba 29) kwa ajili ya show yake inayotarajiwa kufanyika leo. Katika mahojiano na Bongo 5, alipoulizwa kuhusu Diamond Platnumz, Sean Paul alikiri kwamba hamfahamu msanii huyo lakini yuko tayari kukutana...
  14. kingito

    JamiiForums Tanzania Uzi maaluumu wa kupeana hints za hii kazi wanayoenda kufanya interview "Editor II" Taasisi ya elimu (TIE))

    Wakuu kwema?? Naomba nilete huu uzi hapa ili tuweze kupeana hints za hii job Ukwl kwamba hii job imechukua watu wa fani tufauti tofauti kupiga hii interview Naijiuliza ili uweze kudufua hii job unahitaji kujikita kwenye nini hasa? Common predictable question zinaweza kuwa kama zipi? Hii...
  15. Dilan

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa alyewahi kufanya usaili tie (tanzania institute of education) editor ii

    Wakuu naombeni mwenye kuelewa dondoo za usaili kuandika (written) kwa kada editor ii anisaidie nipate mawili matatu yanatayojisaodia kukabiliana na mtihani wao.
  16. L

    JamiiForums Tanzania CPA Amos Makala azungumza na Waandishi wa Habari leo asubuhi saa nne

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa Itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuzungumza masuala mazito na waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi muda wa saa nne Asubuhi ya Leo Ijumaa ya tarehe 29. Ambapo msemaji huyo wa CCM chama kiongozi Barani...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna watanzania wanaoishi na kufanya biashara India?

    Kwa walivyo na roho mbaya, wabaguzi, na wenye roho ya korosho, je kuna wabongo wanaoishi na kufanya biashara India? Kama wapo, nao wanatesa kama magabacholi wanavyofanya nchini?African victims of racism in India share their stories
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe aonya watakao bebeshwa kura ya ziada, asema yatakayowakuta wasilaumiane "Dua imesomwa, tendeni haki"

    Zitto Kabwe ameonya vikali dhidi ya yeyote atakayethubutu kubebeshwa kura ya ziada, akisisitiza kwamba matokeo ya kitendo hicho hayapaswi kulaumiwa kwa mtu mwingine, kwani tayari dua imesomwa na wazee wa mji, na kinachotakiwa ni haki pekee. "Msikubali kudanganywa na CCM kubeba kura ya ziada...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na mwanafunzi sio kosa kisheria, bali inahesabika kama kubaka

    Wakuu, Baadhi ya wadau wa sheria wamekiri kuwa kosa la kufanya mapenzi na mwanafunzi halipo kisheria bali neno kubaka ndilo linalotambulika. Wameyasema hayo baada ya hukumu ya hivi karibuni ya MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Bukoba kuamua kuwa kufanya mapenzi na mwanafunzi siyo kosa...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Sasa kama wewe ni Mtakatifu unaenda kufanya nini kwenye mikesha ya Maombi na Maombezi?

    Hutaki kusemeshwa wala kuongeleshwa na mwanaume yoyote, yet umeng'ang'ana na mikesha ya maombi na maombezi, na sijui kukanyanga mafuta ya nini huko ili upate mume! Yaan unamkataa kabla halafu kwenye kuombewa, unatoa machozi kabisa kumuhitaji. My friend, utakanyaga mafuta mpaka uote magaga na...
Back
Top Bottom