Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi.
Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake...