kufanya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC02 Namna ya kufanya kazi na maadui sehemu ya kazi

    Umewahi kupata wazo kuwa mtu kazini kwako hana nia njema na wewe? Je, wakati mwingine unahisi kuna watu fulani unaofanya nao kazi ni wabaya wako? Inawezekana isiwe uadui wa moja kwa moja lakini kuna ile hali ya kutokuamni wenzako. Unajisikia haupo salama unapomsikiliza mtu lakini hujui ni...
  2. Polisi Tanzania mtaacha lini kufanya kazi kisiasa?

    Aliyefukuzwa TRC apekuliwa na polisi Summary Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kanda ya...
  3. Ujumbe: Taifa hujengwa kwa watu kufanya kazi kwa bidii, nguvu na akili nyingi na sio mizahamizaha na kuendekeza ujinga

    "Asiye fanya kazi na asile" hii aya ipo kwenye kitabu cha Biblia na ni maneno ya Mwenyezi Mungu kupitia nabii wake Yesu kama sijakosea. Waislamu kuna mahala wanaambiwa wakishafanya ibada watawanyike wakatafute ridhki. Hata dini zinaamini kwenye kufanya kazi. Watanzania na Waafrica tunaumiza...
  4. D

    Wanasheria wa bure wa haki za binadamu kama kazi haiwalipi acheni kuliko kufanya kazi kwa visirani kwa wateja wenu

    Vituo vya msaada wa kisheria vilianzishwa ili kumsaidia asiye na uwezo wa kuajili gharama za wakili wa kujitegemea! Wizara na serikali kwa ujumla! Tazameni upya vituo vya misaada ya kisheria! Wanasheria waliopo kwenye vituo hivyo Wanafanya kazi kwa visirani kama wamelazimishwa! Wako too...
  5. Kenya2022 Ubalozi wa Marekani wavisihi vyama vya siasa kufanya kazi pamoja kutatua malamiko ya uchaguzi

    Serikali ya Marekani imemtaka Rais Mteule William Ruto na washindani wake kupitia uchaguzi uliomalizika kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya nchi. Kupitia taarifa yake, Ubalozi wa Marekani umezitaka pande zote kutatua mvutano ulioibuka juu ya Matokeo ya Urais kwa amani na kwa kufuata taratibu za...
  6. Ukisoma course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology inakupa opportunity ya kufanya kazi sehemu zipi?

    Jamani naomba kufahamishwa kwa anayeifahamu kwa ukaribu course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology.. mtu aliyesoma hii course ni kwamba anakuwa Sociologist na Economist kwa wakati mmoja? Naomba majibu tafadhari
  7. M

    SI KWELI Rais wa Urusi, Vladimir Putin alifanya kazi Nchini Tanzania

    Picha ambayo baadhi ya watu wanadai kuwa inamuonyesha raisi wa Urusi Vladimir Putin akitoa mafunzo kwa wapigania uhuru kusini mwa Afrika ilisambaa na kutumiwa na baadhi ya watu kuhalalisha kuwa nchi za kiafrika zinapaswa kuunga mkono Urusi katika vita vya Ukraine. Picha hiyo ilisambazwa sana...
  8. Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

    Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo. Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake anayeitwa Abdallah alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula mpaka...
  9. Aliesomea uhasibu na aliesomea Utawala (HR) anaweza kufanya kazi law firm?

    Kama mtu amesomea maswala ya uhasibu na mwingine aliesomea HR anaweza kufanya kazi law firm? Na huwa ni kazi zipi?
  10. Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

    Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi. mfano: 1...
  11. Tukumbushane wanamuziki, wapiga magita, vinanda nk waliowahi kufanya kazi Twanga Pepeta Band

    Mimi naanza na Jenerali Banza Stone a.k.a Mwalimu wa Waalimu, karibuni na nyie muendelee...
  12. Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

    Habari Zenu Wakuu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi. Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY...
  13. R

    Siasa ni mchezo mchafu sana, waachwe wanaoujua Waucheze

    Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :- 1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi, Lissu, Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na...
  14. Jitihada Kubwa Bado Inahitajika Kuziba Pengo la Kijinsia katika Ajira

    Licha ya kuongezeka kwa mijadala inayohusu ukosefu wa usawa ambao wanawake wanakumbana nao katika maeneo ya kazi, bado kuna jitihada kubwa inayohitajika ili kuziba pengo la kijinsia katika ajira. Ikilinganishwa na wanaume, wanawake wana uwezekano mdogo wa kuajiriwa katika kazi zenye malipo ya...
  15. TANROADS na kashfa ya kufanya kazi zisizo zao

    Mwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kilikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1. Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana TANROADS wanahusika na kununua mashine ya kiwanda cha sukari. Kwa utaalamu gani walionao? TANROADS...
  16. Tax Management Officer II vs Custom Officer II

    Kwema wakuu? Kuuliza sio ujinga.hivi kati ya Tax management officer ii vs custom officer ii 1. Ipi ina mitihani ya mchujo migumu? 2. Ipi ni nzuri kufanyia kazi. 3. Kuna tofauti yoyote ya kimaslahi? 4. Ipi yenye changamoto nyingi?
  17. Nipo tayari kufanya kazi yoyote. Nisaidie

    Jinsia. Mwanaume Umri. 28 Makazi. Dar Temeke Elimu. kidato cha nne 0694185384 Tafadhalini nipo tayari kufanya kazi ya aina yoyote tafadhali. MKOA WOWOTE NIPO TAYARI KUFANYA KAZI IWE KAZI ZA USIKU MCHANA MIMI NIPO TAYARI.
  18. F

    Nahitaji kijana wa kufanya kazi ya kuuza spare parts Pwani

    Habari, rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kijana ambae ana njaa ya kazi to the extent nikimpa kazi atakuwa na fresh ideas za namna ya kuongeza sales na hatimae faida. Nahitaji kijana ambae ataifanya kazi akiamini hii itamsukuma kimaisha. Mimi ni entrepreneur mdogo na hili ni duka dogo...
  19. Bongo mtu akistaafu ndiyo anaanza kufanya kazi

    Tanzania tuna utaratibu wa kushangaza. Mtu akistaafu ndiyo anaanza kufanya kazi, tena kwa bidii na maarifa zaidi. Huko ughaibuni mtu akistaafu anaanza kusafiri kutalii. Anatulia akiburudika na michezo au hobby mbalimbali. Huku kwetu hali tofauti kabisa. Mtu akistaafu ndiyo kazi inaanza. Tena...
  20. B

    Sheria inasemaje kwenye kufanyakazi bila kuwa na mkataba

    Sheria ikoje ktk kesi ya hasara (loss) ilitokea dukan ikiwa hakuna mkataba kati ya mfanyakazi na boss
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…