kufanya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kila mwenye akili timamu hawezi kufanya kazi na genge la wafiraji,watekaji na mafisadi

    Wadau genge la Samia ni genge la wafiraji, watekaji na mafisadi, je wenye akili tuwaase wajitenge nalo?
  2. JamiiForums Tanzania PICHA: WALIOSHINDWA KUFANYA KAZI NA RAIS SAMIA

  3. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wahitimu wa Class 2026 IAA tuwaambie yanayoendelea mtaani au tuwaache, anadai digrii siyo mchezo hapokei mshahara chini ya milioni 2.5

    Hawa wahitimu wa Class 2026 IAA tuwaambie yanayoendelea mtaani au tuwaache, anadai digrii suyo mchezo hapkei mshahara chini ya milioni 2.5
  4. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Vikwazo vya misaada haviwezi kufanya kazi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema safari ya kulifanya taifa lijitegemee kiuchumi imeanza muda mrefu uliopita, huku utegemezi wa misaada kutoka nje ukiendelea kupungua katika kila awamu ya serikali. amesema kwa sasa vikwazo vya misaada haviwezi...
  5. JamiiForums Tanzania Hasara za Kufanya Kazi Vijijini Huku Ukiishi Mjini

    Kufanya kazi katika maeneo ya vijijini huku makazi yako yakiwa mjini kunaleta changamoto nyingi za kifedha na kijamii. Baadhi ya changamoto hizo ni: 1. Gharama kubwa za kununua usafiri Watumishi wengi wanaofanya kazi katika maeneo ya pembezoni hulazimika kumiliki usafiri binafsi, hasa pikipiki...
  6. JamiiForums Tanzania Utajiri unapatikana kwa maombi au kufanya KAZI?

    Tuone.
  7. JamiiForums Tanzania Dini ni biashara ya ujanjajanja, ambapo bidhaa haionekani, na pale hiyo bidhaa inaposhindwa kufanya kazi, mteja ndiye anayelaumiwa

    Dini ni moja ya taasisi kubwa zaidi katika historia ya binadamu, na mara nyingi imechukuliwa kama biashara yenye mafanikio makubwa. Dini hutumia imani ya watu kama bidhaa isiyoonekana. Bidhaa hizi ni ahadi za wokovu, baraka, uponyaji, au maisha bora baada ya kifo. Hizi ni bidhaa ambazo haziwezi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anaejua kesho yake na hakuna anaependa mateso lakini hadi sasa itoshe kushukuru sijawai kufanya kazi kampuni ya wahindi, waarabu au wachina

    Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana. Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
  9. JamiiForums Tanzania OSHA wanatoa cheti gani kwa mtu anayetaka kufanya kazi sehemu hatarishi kama mgodini

    Kwa mtu anayehitaji kufanya kazi eneo kama mgodi anahitaji nini, vyeti au matibabu yapi kutokea taasisi ya OSHA na gharama zake zikoje. Natanguliza shukrani
  10. JamiiForums Tanzania Mkeo akikuomba ruhusa ya kufanya kazi ya “Adult livestreaming” kwa mshahara wa milioni 2 kwa mwezi, utakubali?

    Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani nyumbani kupitia kamera. Wateja wote ni wa nje ya nchi na atakuwa analipwa takribani 70k kwa siku masaa 4...
  11. JamiiForums Tanzania Rasmi: Watanganyika waanza kuzuiwa kufanya kazi Zanzibar

    Watanganyika wote walioko Zanzibar ni tumbo Joto. Waanza kuzuiwa kuingia Ofisini kufanya kazi. Iinadaiwa wanafanya kazi za Wazanzibar na Vijana wa Zanzibar wanakaa jobless. MY TAKE Watanganyika tukijibu watavuka kurudi Zanzibari kwa kupiga mbizi. Wazanzibar wajinga, wamesahau Mchanga wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi lodge kutakufanya uogope ndoa

    Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo. Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke usikubali manyanyaso, tujitahidi kufanya kazi

    Shikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo Habari za jumapili. Leo niongee na dada zangu na wadogo zangu waliopo humu ni jinsi gani utateseka na kuumia ikiwa tu, huna pesa yako mwenyewe. Mfano ,mtu anakutongoza,anaonesha nia kabisa ya kukutaka na usumbufu wa hapa na pale, lakini siku...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe mimi na wewe hatupo?

    Kwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo? Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba, mama, mtoto, mjukuu nk Tukianza na physical body, hii ni kama vessel au chombo kinacho beba uhai...
  15. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: Nilimuuliza Rais swali gumu wakanifungia kufanya kazi ya uanahabari

    MwanaJF maarufu ambaye pia ni mwanahabari na mwanasheria nguli, ndugu Pascal Mayalla ameonekana akilalamika hadharani kwamba kuna siku alimuuliza marehemu Magufuli swali gumu, akaishia kufungiwa leseni yake ya uanahabari pamoja kufurushwa kwenye ofisi aliyokuwa alifanyia kazi. Mwanahabari huyo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa kubadilisha umiliki wa magari nchini umejaa vikwazo vingi visivyo na ulazima

    Mfumo wa kubadilisha umiliki wa magari nchini Tanzania umejaa vikwazo vingi visivyo na ulazima. Hii ndiyo sababu leo utakuta magari mengi yanatumika na watu tofauti kabisa na wale waliopo kwenye umiliki rasmi wa nyaraka. Hali hii inaleta changamoto kubwa kwa vyombo vya usalama, hasa pale...
  17. JamiiForums Tanzania Na hiki ndicho AI huweza kukifanya pindi unapoiacha ifanye kila kitu yenyewe

    Angalia hiyo code hapo imeandikwa na Claude AI, ni code ambayo ukiipitia mstari hadi mstari haina shida yoyote na hata ukiirun itafanya kazi vizuri kwa maana lengo la hiyo method litakua linatimia bila shida ambalo ni kutengeneza parent ambae ni user. Shida kubwa itaanza kujitokeza taratibu...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kazi gani ulitamani kufanya ukiwa mtoto lakini kwa sasa hutaki hata kuisikia?

    Wakuu, Leo ni siku ya workers day duniani. Tujikumbushe Mimi nilivyokuwa Sekondari kwenye shule moja maarufu hapa Dar nilitamani sana kuwa "Lecturer" pale Creative Arts UDSM Nilikuwa namuonaga lecturer mmoja anaitwa Issa Mbura kwenye TV basi alikuwa ananivutia sana Ukubwani, baada ya...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi Marekani lazima uwe na kazi nzuri, vinginevyo kulipa kodi ya pango ni kazi sana

    Bei ya kupangisha nyumba iko juu kama dola 1200 .Ukiwa huko bila kazi ya maana mtaishi watu wawili au watatu ili mlipe kodi.Waafrika wengi wanalala nje.ukitaka kwenda huko hakikisha uko na kazi nzuri
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI John Heche nikiteuliwa kuwa CAG nitashauri sekta zenye hasara kufanya kazi bila usimamizi

    Kumekuwepo na machapisho kadhaa yanayosambazwa kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii hususani facebook kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, alipozungumza na vyombo vya habari. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa amesema:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…