kufahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    Watu wengi wanataka kufahamu gharama za uchimbaji kisima Cha kisasa

    Wadau wengi Sana wanakutana na changamoto ya maji katika MAENEO yetu na wengi wanatamani sana kuchimba kisima Cha kisasa ila hawajafahamu gharama na taratibu zake ✅Taratibu ya kwanza ni kufanya survey kitaalam inaitwa geophysical survey yaan mtalaam kuja eneo lako kujua Je maji yanapatikana na...
  2. B

    Naomba kufahamu kuhusu Mercedes benz c class 2005

    Habari za majukumu wakuu Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji kununua mercedes benz c class (c180/c200) ya (2000-2005) hizi ndonamudu ushuru wake naomba kufahamu kuhusu uimara kwa ujumla na upatikanaji wake wa spare...gharama za huduma Natanguliza shukrani
  3. M

    Hivi intelejensia ya Tanzania imeshindwa kufahamu alipo Askofu Josephat Gwajima?

    Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima. ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
  4. Yupo wapi Askofu Gwajima? Mamlaka za kidunia hazifahamu pamoja na kuzingira kanisa

    Pamoja na kwamba alikuwepo wakati wanavamia kanisa siku ya jana, bado hawajafanikiwa kumuona. Taarifa nilizopata ni kwamba anaenda kushusha "press" na wakali wa "Mahanaim" wanatinga mahakamani. Bila kusahau kwamba mpambano katika ulimwengu wa roho nao unaendelea vikali dhidi ya jezebeli.
  5. Naomba kufahamu namna ya kufika Mpwapwa JKT 826 KJ

    Habari, Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi ipo mbali na Mpwapwa mjini?
  6. Naomba kufahamu

    hapo si fresh au miyeyusho?
  7. Msaada; Naomba kufahamu Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo

    Naomba maelezo Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo na jinsi vinavyopatikana
  8. M

    mada maalumu ya magari , ufundi , garage, spareparts na kufahamu aina ya magari na huduma zake

    Habari za leo wadau wa JamiiForums! Kama unamiliki gari na unahitaji huduma bora, salama na za kuaminika, basi JERRY SPARE PARTS AND SERVICES ni sehemu sahihi kwako. Tunajivunia kutoa huduma bora zinazojumuisha uuzaji wa spea parts za magari, matengenezo ya magari katika garage yetu ya kisasa...
  9. Wasomi Bongo Wameshindwa Kufahamu Street English: Je, Lugha ya Mtaa ni Makosa au Maarifa ya Mjini?

    Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho." "Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
  10. Wasomi Bongo Wameshindwa Kufahamu Street English: Je, Lugha ya Mtaa ni Makosa au Maarifa ya Mjini?

    Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho." "Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
  11. Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
  12. M

    Naomba kufahamu maeneo kwa Dar es Salaam wanapofundisha mafunzo ya karate!

    Habarini wanaJamiiForums! Kwa Dar es Salaam, ni maeneo yapi yanatoa huduma za kulipia za mafunzo ya karate kwa ajili ya kujihami? Kijana wangu ana miaka 10 na ningependa apate japo abc's za kujilinda mwenyewe. Nitashukuru sana. Regards Amadi!
  13. Naombeni kufahamu sifa za wanawake wa Kipare

    Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE Japo binadamu Wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare Ili ajue anaishi nae kwa namna gani
  14. Naombeni kufahamu sifa za wanawake wa Kipare

    Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE. Japo binadamu wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare ili ajue anaishi nae kwa namna gani.
  15. B

    Haya ni madini gani?

  16. Zuchu unatakiwa kufahamu, ukiingia kwenye mahusiano na Diamond umeingia kwenye vita

    Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu. Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani. Najua sasa hivi hauelewani na ndugu wa Diamond kasoro yule mpwa wa Diamond. Umegombana na wadada wa mjini na...
  17. Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
  18. Msaada mwenye kufahamu vilipo viwanja vya basketball Iringa

    Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi. Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo Mi nipo IRINGA MJINI. Ahsante sana kwa atakaeshiriki...
  19. R

    Naweza kupata pesa zangu kutoka mfuko wa jamii baada ya kutoka taasisi binafsi na kuhamia Serikalini?

    Habari zenu, Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF. Je, akihamia Serikalini huyu mtu ataweza kutoa mafao yake NSSSF?
  20. T

    Karibuni Wabunifu na Watengenezaji wa Multimedia - Tunapenda Kufahamu na Kutambua Kazi Zenu

    Habari za siku, wabunifu na watengenezaji wa multimedia! Huu uzi ni maalumu kwa kuwakaribisha nyote wenye ujuzi na ubunifu katika usanifu na utengenezaji wa michoro ya kidijitali (digital graphics), video fupi, na sauti (audio) kwa ajili ya utambulisho (branding) na utangazaji wa biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…