kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi Mwendokasi ndo inakaribia kufa?

    Natamani nijue hivi shirika la mwendokasi "dart" ndiyo linakaribia kufa..? Nauliza hivi kwakuwa magari yanazidi kuchoka na hayaletwi magari mbadala shirika linatoa huduma mbovu bora hata ya daradara unakuta mfano kituo cha gerezani utakuta mfano foreni ya watu wanaosubiri kwenda kimara ipo kubwa...
  2. Makonda anazungumzia Yesu kufa msalabani na damu yake kumtakasa katika mkutano wa Mchengerwa!

    Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu...
  3. W

    Raia Kenya: Nasema kufa dereva, kufa makanga na hashtag inapaswa kuwa #fagiawote

    Wananchi mbalimbali wakitoa maoni na hoja zao wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu hoja ya kumwondoa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua leo Oktoba 4, 2024 Aidha, Rigathi Gachagua atapaswa kujitetea Bungeni kwa muda wa Saa 2 ifikapo Oktoba 8, 2024 kwa tuhuma nzito za ufisadi...
  4. Boti iliyobeba Abiria zaidi ya 300 yazama kwenye Mto Nchini Nigeria

    Zaidi ya Watu 100 wanadaiwa kupoteza maisha baada ya Boti ya Abiria kuzama kwenye Mto Niger wakati ilipokuwa ikitoka Kijiji cha Mundi kuelekea Kijiji cha Gbajibo. Shirika la Usimamizi wa Dharura la Jimbo la Niger (Nsema) limesema uokoaji wa awali umefanikiwa kupata miili 26 na juhudi...
  5. Myahudi anachapika huko Lebanon! Askari wanazidi kufa huko! Alikurupuka?

    Inaonekana jamaa wa Hezbollah walijipanga zaidi ardhini kuliko angani! Leo na jana wayahudi wamepokea sana kichapo! Halafu hawaongei wanawaacha wayahudi wenyewe waongee! Ukiona wamagharibi wanaripoti jua hali ni mbaya sana! Seven more Israeli soldiers killed in Lebanon, says military Seven...
  6. M

    Alilia baada ya kufa kitandani na sio katika vita

    Walid bin Khalid al-Walid, maarufu kama Khalid bin al-Walid, ni mmoja wa mashujaa wakuu wa Uislamu, anayejulikana kwa ujasiri wake na mafanikio yake katika vita. Hata hivyo, kuna hadithi inayozungumzia kifo chake, ambayo inaonyesha jinsi alivyokabiliwa na hali hiyo. Maelezo ya Kifo cha Khalid...
  7. D

    Wadau tajeni Nyuzi zilizowahi kufa na kufufuka zaidi ya mara mbili

    Wakuu
  8. K

    Tatizo ya sasa haina uwajibikaji! Yaani watu wanakufa kufa na kutekwa viongozi wapo tu!

    Tatizo la Tanzania ya sasa hakuna uwajibikaji watu wanakufa na kutekwa lakini viongozi wote wapo kazini kama vile hakuna baya limetokea. Hii inasibitisha viongozi wa siku hizi ni magenge ya marafiki na Machawa na ni vigumu kuwajibisha ndugu, marafiki, machawa wako hasa pale ambako wanaouliwa ni...
  9. Sijui nimtulizeje Maana nahofia naweza kuja kufa kwa sonona, Mliofanikiwa katika hili nipeni siri mlifanyaje?

    Niliambiwa, Bro, kummudu huyo yataka moyo. Nikajiwazia tu, shujaa hatelezi anapanda milima mingi mpaka kufika kilele, hawa waniache. Nikamtafuta kweli nikaanza kummiliki taratibu japo hakuwa mwingi kwangu. Jamaa na ndugu walipoanza kuniona nae tu, wakaniijia haraka na maswali yenye...
  10. Kwa sasa usikubali kukamatwa na mtu yeyote hata kama anavielelezo ,na usikubali mtu akamatwe mbele yako pigana mpaka kufa hatuna Tena wa kumuamini ,

    Nchi imebadilika hakuna wa kumuamini Tena ! Ukamataji wa kizamani hakuna atakayekubaliana nao Tena ,ukiona mwenzako anakamatwa mbele yako au wewe mwenyewe tambua kwamba unaenda kufa au kutupwa kusikojulikana ! Pigana kwa siraha zote uhai Hauna nyongeza sisi sote ni wazazi tuna watoto na wazazi...
  11. Hakuna aliyekufa na kurudi na kushuhudia maandiko kuhusu maisha baada ya kifo, je mwisho mwema ni upi?

    Kuna kauli huwa inatolewa ya Mwisho mwema hasa pale inapoonekana Mtu tajiri au hawa ma celebrities/watu maarufu wanavyofurahia maisha , kwenye comments za watu utakuta tujaliwe mwisho mwema . Je kufia imani , kutotafuta pesa na kuwa maskini , kutofurahia ya dunia kunakufanya kuwa na mwisho mwema ?
  12. Nini kilisababisha Kufa kwa “Kupatana”

    Nini kimesababisha kufa kwa hii App, yaan ilikuja kasi sana. Ukiuliza wenye nayo leo unaweza usiwapate kirahisi.
  13. Leo nimenusurika kifo

    Wasalaam,leo weekend nikawa na appoint ment na mwenyeji wangu kijiji xxxx. Nilipofika pale nikapaki boda pembeni nimjuze mwenyeji wangu nimefika. Wakaja watu wakanizunguka wa hicho kijiji wakiniuliza wewe ni nani? Bahati mbaya sana sikuwa na kitambulisho chochote. Nikawaambia ila hapa nina...
  14. Unatamani kufa ukiwa na hali gani?

    Unatamani kufa ukiwa Mzee hujiwezi kwa lolote, au unatamani kufa ukiwa na nguvu zako?
  15. Tafadhali mlio nje ya Tanzania mtatumia Mbinu gani kuangalia katika Simu haya Matukio ya tarehe 3, 4 na lile Kubwa la 'Kufa Jitu' la tarehe 8?

    Ni matukio ambayo GENTAMYCINE sitaki kabisa kuyakosa hasa hasa lile la tarehe 8 August, 2024 litakalokufa Jitu huko.
  16. Simba mnaweza Kujifunza kwa Kilichomkuta Kaizer Chiefs Leo, ila kwakua nyie ni sikio la kufa subirini tarehe 8

    Habari Hongera na weekend! Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu. Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi...
  17. Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

    Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka. Choo mlangoni wameweka gunia au khanga Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga. Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri. Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
  18. Naomba nieleweshwe kwenye ukristo! Kwahiyo akikaribia kufa na akaomba sala ya toba haendi motoni?

    Naomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya akina ben saa nane,azory gwanda na akwalina au yale mauaji ya zanzibar akiombewa kwa sala ya toba eti...
  19. Miguu kufa ganzi na maumivu ya miguu

    Tatizo la miguu kufa ganzi na kuuma linaweza kusababishwa na hali ya kukaa kwa muda mrefu kupelekea kupunguza mtiririko wa damu au kuweka shinikizo kubwa kwenye mishipa. Kutetemeka na kufa ganzi kwa muda mrefu au isiyoelezeka kwenye miguu (paresthesia) inaweza kuashiria athari katika mfumo mkuu...
  20. Hivi mnajua roho ya mwanadamu kama ijapangiwa kufa kwa wakati inabaki hapa hapa duniani?

    Kuna kisa kimoja kilitokea marekani ambacho mama mmoja alijikuta mikononi mwapolisi baada ya kwenda kituoni kuanza kueleza kuwa eneo fulani kuna mwili wa mtu fulani nendeni mkautoe. Lile jambo liliwashtua polisi na kuanza kufanyia uchunguzi ila kutokana na umbali mfano tuseme mama yule yupo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…