kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kama ni kufa niko tayari kufa. Nishawahi kuchungulia huko nikarudi na sasa naendelea

    Wakuu Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa. Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana ameshawahi kuchungulia kifo na sasa hivi anaendelea na maisha
  2. MENEMENE TEKERI NA PERESI

    JamiiForums Tanzania Naapa naahidi Tanzania nitakulinda mpaka kufa

    Salamu kwa mkeo ,kwangu sio kipaumbele . Nawasalimu wote wanaonijua na wanaonipenda ,endeleeni kufurahia na kufanya yapendezayo moyo wenu . Kwaheri watanzania ,kwaheri marafiki ,kwaheri ma_ex ,kwaheri warembo ,kwaheri mashababi na kwaheri majobless pro max . Nawapenda Sana Ila mwisho na sio...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Leo Tanzania Yaamriwa Kuifuta Adhabu ya Kifo kwa Kunyongwa Mpaka Kufa!. Ni Aibu Tanzania Mpaka Ilazimishwe!. Rais Samia, Futilia Mbali Unyama Huu!

    Wanabodi Tumepiga kelele sana humu kuhusu adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kuwa barbaric!. Hatimaye leo Tanzania tumeamriwa kuifuta adhabu hiyo ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka kufa!. Ni adhabu ya ukatili mno, iliyoletwa na wakoloni ili kuwa ogofya wananchi!. Ni aibu kwa Tanzania...
  4. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Bei elekezi ya ARV ni Tsh. 76,000 baada ya USAID kusitisha misaada

    Wakuu Nimeona taarifa inayoeleza kuwa bei elekezi ya ARVs ni shilingi elfu sabini na sita kwa mujibu wa wizara ya afya. je, ni kweli?
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Talaka Zimeongezeka – Je, Wanawake Ndio Tatizo?

    Kulikuwa na wakati ambapo ndoa ilikuwa zaidi ya sherehe ya wawili waliopendana; ilikuwa taasisi yenye mizizi katika jamii, iliyozingatia heshima, uvumilivu, na mshikamano wa kifamilia. Ilikuwa ni ahadi isiyovunjika kirahisi—zaidi ya mkataba wa mapenzi, bali ngome ya maisha ya pamoja. Lakini leo...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Watalaamu wa Afya hivi inakuaje mtu anapofanyiwa upasuaji asizinduke anapitiliza kufa?

    Hiki kipindi cha sasa hivi vifo vya namna hii vimekuwa vingi sana.Sio kwamba nipo hapa kuwalaumu la hasha bali nipo hapa kutaka kujua kulikoni siku hizi wakuu? Ipo hivi kuna hospital moja huku hadi inaogopwa watu wakiingia kufanyiwa OP kurudi ni majaliwa sasa imewabidi wawe wana safiri kwenda...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simu za Google pixel 4a zimepata ugonjwa wa kufa battery 🔋

    Google pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a Kuuza ni ngumu Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma, wanasema google pixel 4a ikishakufa betri habari imekwisha Ukibadilisha ugonjwa wa kuuwa betri ukitumia...
  8. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania 21.01.2025 CHADEMA kufa au kupona

    Wananchi wameapa kama Lissu hata shida Uchaguzi ndio utakuwa Mwanzo wa mwisho wa CHADEMA
  9. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Nimenusurika kufa jana

    Wakuu wasalam.. Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana. Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja. Wakuu katika haya maisha kama kitu ujui boraa kuuliza tu.. maana jana ilikua ni hatari mno maana mngesikia mengine. Huyu...
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nisije kufa bila kuiona Uefa rasmi nimeongeza timu ya kushabikia ambayo ni Liverpool Sasa nitashabikia Arsenal na Liverpool

    Mwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka rasmi nimeongeza timu ya kushangilia na sababu iliyonifanya niongeze ni rangi na uchezaji wake povu...
  11. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Mbona Wenje anatoa siri za Kamati upande wa pili wanamwona shujaa akisema Lissu mnasema mropokaji kweli Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa anaelekea kufa

    Mhe Tundu Lissu akisema mambo ya Kamati kuu kwenye media anaitwa mropokaji, Mjumbe wa Kamati Mhe Ezekiah Wenje akitoa siri hizo hizo anaoneka shujaa Siku zote Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa jueni kabisa anaelekea kufa.
  12. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa daima halisikii dawa.

    Wasalaam Nimesikiliza interview ya Ezekiel Wenje iliyofanyika wasafi fm nikagundua kuwa huyu mtu ni nusu mfu na anachowaza ni ruzuku tu na madaraka. Asema eti Abdul ni mtu muungwana sana na mkarimu, kweli leo ccm wamekua wema kwake na chadema? Tangu lini? Ukimwangalia anavyoongea unaona kabisa...
  13. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au Vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa

    Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa kwasababu walikuwepo wanachama wakubwa sana akiwemo Chacha Wangwe, Ndesamburo, Lowasa, Alphonce mawazo na walipoondoka CHADEMA haikufifia Tazama Video hii
  14. Ibn Unuq

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

    Habari zenu wakuu, Based on True story!! Sikuwahi kufikiria kuwa siku moja ningeweza kujikuta katikati ya mchezo hatari uliopangwa kwa ustadi wa hali ya juu. Ilianza kama jambo la kawaida tu — ofa ya kuvutia na ahadi za mafanikio ya haraka. Lakini kadri nilivyozidi kujihusisha, nilitambua...
  15. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Anayetaka kuondoka aende, CHADEMA haiwezi kufa

    " Kuna lugha ukianza kuongea tunajua huyu mbona sio mwenzetu, Chadema tunajuana". " Kuna wengine wanasema liwalo na liwe tupasue mtumbwi tugawane mbao " "Ukianza kuongea mambo yetu ya ndani kwa watu, sisi tunajua wewe sio mwenzetu, Chama hiki hakiwezi kufa kwa sababu ya mtu, anaetaka kuondoka...
  16. Mwalimu wa field

    JamiiForums Tanzania Bora kufia jela kuliko kufa maskini

    #usiue #usikabe #usipore
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kuwa na Life Insurance(bima ya uhai) kwa wenye familia kupunguza majonzi ya kufa

    Kama una familia ni muhimu sana kuwa na life insurance (bima ya uhai) ili kupunguza machungu kwa unaowaacha duniani pale unapofariki. Kiwango cha majonzi katika misiba kinachangiwa pia jinsi wafiwa wanaachajwe na marehemu. Tujitatahidi kubadilika na kwenda wakati, ni ushamba kuwa na duka...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  19. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Ni bora nife nikifukuzana na ndoto zangu kuliko kufa njaa kwenye dunia isio na haki

    Kipi special sanaa katika hii dunia kinachoweza kunijali kwa dhati eti nikionee huruma??? Eti kinifanye nicheze kwa standards zilizo fair, hakipo, so ni muda wa kuwa ruthless. Anaekuhubiria uache pombe, anatembea na mke wako Anaekukamata haujalipa kodi, anapita na pesa zote za mradi wa mtaani...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Katibu wa Uenezi CCM Zanzibar: Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa (GNU) inaenda kufa 2025. Naumia ila sina jinsi!

    Wakuu, Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na pamoja na kwamba anaipenda sana aina hiyo ya serikali lakini hana jinsi zaidi ya kuona mwisho wake...
Back
Top Bottom