Ndugu zangu waislam na wakristo
Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali.
Mungu ataki waoga anataka mashujaa wenye msimamo wa haki kwenye hali yoyote ile wakati huu nchi inapo pitia majaribu tunapaswa...
Nakumbuka kwa Marehemu ruge tu,sio kwao pesa hakuna au watu wake wa karibu ila magonjwa mengine kama yanachukua pesa nyingi hupo kitandani tena ICU basi watu wanaomba uteuzi wa manyonyo kutaka amani sio haki.
Nimeshuudia mzee mmoja umri miaka 89 kalazwa hospital na familia yake ina pesa ya...
Penda sana ku note maongezi ya mtu mfano "guys guys guys".
Kuna kauli ukiziunganisha utapata mtu ana maanisha nini ?.
Mfano kauli zake:
"Msipo tuchagua tutaunda serikali yetu sisi CCM"
"wale walifanya vurugu sio watanzania"
"wazazi mgewafungia wanenu yasinge tokea haya"
"Nguvu iliyotumika...
NB:
Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa....
Shetani yuko kazini jamani kulinda himaya na utawala wake ktk Tanganyika akiwatumia mawakala wanadamu wenzetu...
Nimesikia maadui wa taifa mashambenga, na wambea wengi wakitangaza na kusherehekea uwezekano wa mama kufungliwa mashtaka kwenye Mahakama ya Kimataifa kuhusiana na vurugu, siyo mauaji, maana waliokufa hawakufa, ndiyo maana hawakuzikwa.
Wangezikwaje wakati hakuna miili ya kuzika? Halafu, ajabu...
Yaani amesema ni yeye ndio ameua..
kwahiyo mtamfanya nini?
Who are you..
Na atazidi kuwaua na hamtafanya kitu..
Kifupi wale wajumbe wa tume warudi majumbani wakacheze na wajukuu tu...
Case closed..
Who are you????
Matukio ya karibuni yanaonyesha mifano dhahiri kwamba viongozi ni watu wa kejeli kama kuwataka wananchi “waende Burundi” badala ya kujisahihisha, na uteuzi wa watu wanaofahamu maovu ya serikali lakini wanapewa nafasi za juu kana kwamba lengo ni kufunika yaliyovunda.
Wananchi wameonesha wazi...
GT
Nadhani kwa sasa mnaona wote jinsi serikali ilivyoanza na uhuni bungeni.
Zungu ni team msoga genge la wahuni hawezi kuruhusu mjadala wowote wa maana wenye tija kwa taifa.
Amewekwa pale kulinda maslahi ya mafisadi hakuna jingine tumwombe tu mungu afanye yake mapema
Kuanzia siku ya uchaguzi hadi leo Taifa limekumbwa na taharuki kuu kwenye eneo la kiusalama .
Hakuna kinachoumiza moyo kama raia kupigwa na risasi walizozinunua kwa Kodi zao wenyewe ,haukuna kinachoumiza moyo kama raia kuanza kuishi kwa mashaka kwenye Taifa lao.
Siku ya uchaguzi na baada ya...
Serikali hii imeshindwa kabisaa kutibu matatizo ya watu wake na sasa kila anejaribu kuongea anatekwa kama kuku hii ni hatari kwa taifa na mpaka sasa kuna watu wanaenda kumuongezea kimama huyu miaka mingine mitano
Niwaambie tu baada ya miaka mitano watu weengi sana watauwawa na kutekwa watu...
ASALAAM ALEYKHUM WADAU,
Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
Hilo swali niliuliza CHATGPT na haya ndiyo majibu yake....
Simulizi za watu waliokaribia kufa (Near-Death Experiences - NDEs) kwa kweli ni za kuvutia sana na mara nyingi huwa na mambo yanayofanana sana ulimwenguni kote.
Watu hawa huripoti uzoefu ambao kwa ujumla unaweza kugawanywa katika...
Huu ni mtazamo wangu:
Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais.
Kwa msingi huo, hata taasisi Kama benki ambayo watu wengi wametunza fedha zao, inapokumbwa na tishio...
Inaweza kuchukua miaka hata Mia Tanzania tusipate Mtu kama Tundu Lissu. Huyu jamaa true definition ya kusimamia unachokiamini. True Definition kwamba wa jukuu wa Mkwawa bado wapo Tanzania.
Mtanzania anaogopa kufa na au kuwa mtumwa akidai haki yake wakati tayari ni maiti na mtumwa.
Mnaogopa kutekwa wakati tayari ni mateka,kweli mmekuwa mateka chini ya chama tawala chenye elementi za udikiteta .
Note: Hakuna kifo cha ghafla kwa mtu aliyekufa. Mungu lazima amjulishe mtu kuwa safari yake ya duniani imetamatika. Au lazima amjulishe mtu kuwa kuna watu wanataka kutamatisha safari yake ya duniani soon.
Mungu ana njia nyingi za kusema na watu ila njia nyingi wengi huchelewa kuzijua. Macho yao...
Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari?
Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu.
Ni me tembelea kibaha kuna taasisi ya inafundisha tuition bure kabisa ( sekondari) lakini si wanafunzi wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.