kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Ummy Nderiananga katumia zaidi ya dakika 7 kupongeza badala ya kujibu Hoja muhimu Bungeni

    Wakuu! Hii sasa siyo siasa tena, ni maigizo ya waziwazi bungeni! Naibu Waziri Ummy Nderiananga anapata nafasi ya dakika chache kujibu hoja muhimu kwa mustakabali wa taifa, lakini anatumia zaidi ya dakika 7 kupongeza viongozi, kushukuru kila jina analolikumbuka kana kwamba yuko kwenye tafrija ya...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kisheria Chadema wamezuiwa kushiriki kampeni sio uchaguzi

    Wakuu Kumbe kisheria CHADEMA hawajazuiwa kushiriki uchaguzi Hakuna Sheria ya kuwazuia CHADEMA kushiriki Uchaguzi kisa kuto saini Kanuni za Maadili. Kisheria CHADEMA wamezuiwa kushiriki kampeni sio Uchaguzi. Ikumbukwe Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 GEITA: UVCCM yasema CCM haijaruhusu fujo na harakati kwenye majimbo

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita kimetoa wito kwa wanachama wake kuzingatia utulivu na kuheshimu taratibu zilizowekwa wakati wa kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Akizungumza na wanachama wa CCM katika Kata ya Uyovu Wiaya ya Bukombe, Mwenyekiti...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe asema akishindwa Uchaguzi asiongezewe Kura Feki na akishinda atangazwe kwa Haki

    Wakati joto la uchaguzi likianza kupamba moto, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza. Mbunge huyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema mgombea akipewa kura sahihi kwenye uchaguzi...
  5. Ileje

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jenerali Ulimwengu: Tume Huru ya Uchaguzi sawa na Nguruwe aliyepakwa lipstick!

    Pia Amesema viongozi wa Serikali hawana haya na wanaishia kutenda vitu vya aibu kwa kukiuka sheria za nchi!
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Severine Niwemugizi: Chama kutoshiriki kwenye uchaguzi siyo mwisho. Wapo waliopigwa marufuku wakaja kuingia madarakani

    Historia inaonesha wanaokandamizwa kama hivi huja kuibuka na kuwa washindi.... upepo unaonesha nini kwa Tanzania? ==== Anaandika Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi, Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara Wanaofikiri kutoshiriki kwa Chama kwenye uchaguzi ndiyo mwisho wake wajiulize...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashe: Rais Samia kuzindua Benki ya Ushirika Tanzania Aprili 28, Ikianza na mtaji bil. 55, matawi manne

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Rais Samia anatarajiwa kuzindua rasmi Benki ya Ushirika Tanzania tarehe 28 Aprili 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  8. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi unaharibiwa na siasa kandamizi

    Kwa mwenendo wa matukio yanayoendelea ni dhahiri kuwa uchaguzi utakaofanyika utagubikwa na upendeleo na unyang'anyi wa haki za wananchi. Utaegemea upande fulani wenye nguvu, na sio kufuata misingi ya uchaguzi huru na wa haki. Kura zitakuwa sawa na kuchagua: Kijani ni ipi kati ya hizi? Kijani...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wafugaji litakalofanyika mkoani Simiyu

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wafugaji nchini litakalofanyika kitaifa mkoani Simiyu mwezi ujao. Mwenyekiti wa Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Mrida Mshota, alisema kongamano hilo, litafanyika kuanzia Mei 15 hadi 18, mwaka huu katika...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Taasisi ya Vyombo Vya Habari (MISA- TAN) yataka waandishi wa habari kuweka hadharani msimamo wao kugombea kwenye Uchaguzi

    Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika,Tawi la Tanzania (MISA TAN), imewataka waandishi wa habari kuweka wazi uamuzi wa kugombea kwenye udiwani na ubunge ili kuepusha mgongano kimaslahi. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Aprili 14,2025 na Mwenyekiti wa MISA TANZANIA,Edwin Soko...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kihenzile: Serikali yaanza Ujenzi wa Meli kubwa ya Mizigo Tani 3,500, Urefu zaidi ya Uwanja wa Mpira Ziwa Tanganyika

    Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema Serikali imeanza ujenzi wa meli kubwa ya mizigo yenye uwezo wa kubeba tani 3,500 katika Ziwa Tanganyika, ikiwa ni hatua kubwa ya kuimarisha usafiri wa majini na biashara katika eneo la Maziwa Makuu. Kihenzile amesema: "Meli hii itakuwa kubwa...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Viti Maalum Stella Ikupa ataka uwepo wa wakalimaniwa lugha ya alama kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu

    Mbunge wa Viti Maalum, Stella Ikupa, bungeni, imesema serikali inapaswa kuweka wakalimani wa lugha ya alama kwenye mikutano ya kampeni wakati wa uchaguzi mkuu mkuu 2025, ili kuwezesha makundi ya watu wenye ulemavu hususani viziwi kupata fursa ya kusikia sera za wagombea mbalimbali. Ikupa...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TBT: Kanali Mstaafu Lubinga akisimulia alivyoshiriki kuisadia CCM wakati sheria na taratibu hazimruhusu, alisema 'bila CCM Madarakani mimi sitalala'

    Wakuu, Gen Z tunavyojifunza mambo yalivyokuwa nyuma ili tufanye maamuzi sahihi. Hii imekaaje? Mwanajeshi ana utii kwenye chama kuliko serikali, kuna kutetea maslahi ya wananchi hapo? ===== "Nilikuwa Mkuu wa Kikosi cha Jeshi wakati hairuhusiwi Afisa wa Jeshi kushiriki kwenye mambo ya kisiasa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Wananchi wanufaika na mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya Mil. 600

    Wananchi wa Kijiji na Kata ya Mangae, Tarafa ya Mlali, Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wameanza kunufaika na mradi mkubwa wa maji uliotekelezwa na Wakala wa maji safi na usafi wa Mangira Vijijini (RUWASA), wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 600. Mradi huo, unatarajiwa kuwahudumia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Bumbuli wamtaka Makamba aendelee kuwa mbunge hadi Mungu atakapomchukua

    Hivi hawa watu huwa wamepangwa ama huwa wanaongea kwa akili zao timamu kabisa? === Wananchi wa Bumbuli wakati wakizungumza mbele ya Mbunge wao January Makamba wameeleza kuwa wanamshukuru kwa uchapa kazi wake na watasimama naye 2025-20230 huku wengine wakienda mbali zaidi wakisema wanamtaka...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo: Naibu Waziri upo tayari kujiuzulu?

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amembana maswali mawili madogo ya nyongeza Naibu Waziri Ofisi ya Rais (Tamisemi), Mhe. Dk. Festo Dugange kama yopo tayari kujiuzulu endapo ujenzi wa stendi maeneo ya Bondeni City jimboni kwake hautaanza mpaka ifikapo Mei, 2025. Kupata matukio na taarifa zote...
  17. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida awasihi vijana wote kushiriki uchaguzi mkuu

    ✳️ KAWAIDA AWASIHI VIJANA WOTE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewakaribisha vijana wote Tanzania katika Chama Cha Mapinduzi ili wapate nafasi ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 na Kuichaguwa CCM katika nafasi ya Urais, Ubunge na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Vijana CHADEMA wanataka kushiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM taifa (UVCCM), CDE Mohamed Kawaida amekiri kupokea malalamiko kutoka kwa vijana wa CHADEMA wakilalamikia kunyimwa haki ya kuchagua na chama chao kwa kitendo cha kugoma kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi. "Chama chochote cha siasa ambacho hakifanyi...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Sebastian Kapufi: Asilimia kubwa ya Vijana nchini ni Tegemezi, Serikali iliangalie hili

    Akichangia Bungeni Jijini Dodoma Hotuba ya Bajeti Kuu la Serikali ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Mhe. Sebastian Simon Kapufi ametoa wito kwa Serikali kuwaangalia vijana ili wasiwe tegemezi badala yake wawe nguvu kazi ya Taifa. "Idadi ya Watanzania ni...
  20. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia azidi kutrend kimataifa kutokana na suala la Lissu, afananishwa na kina Museveni na Kagame

    Salaam, Rais Samia anazidi kutrend kimataifa, suala la Lissu limezidi kutrend na kumuweka kwenye spot Rais Samia. Sasa anaanza kufafanishwa na kina Museveni na Kagame. Kwenye hiyo video wanakwambia alisifiwa kweli alipoenda kumtembelea Lissu lakini kinachotokea sasa ni kama mtu mwingine kabisa...
Back
Top Bottom