kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani kata ya Mlali, Mvomero adaiwa kumpiga Katibu CCM kikaoni. Wamefikwa na wao sasa

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mlali Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro Herrieth Ngonde, amedai kushambuliwa kwa kupigwa na Diwani wa Kata hiyo Frank Mwananziche wakiwa katika kikao cha kawaida kujadili maendeleo ya chama. Akizungumza na Waandishi wa habari Herieth amesema Diwani...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Patrick Assenga ahaidi kitita cha Sh. Milioni 1 kwa atakeyeonesha video yake akifukuzwa kwenye kikao cha Jimbo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Jimbo la Segerea Mkoani Dar Es salaam, Bw. Patrick Asenga amesema taarifa zinazosambaa mtandaoni zikidai kuwa amefurushwa kwenye kikao cha Jimbo hilo Jumatatu Aprili 14, 2025 ni taarifa potofu, akiahidi kutoa Shilingi Milioni 1 kwa...
  3. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wazee Bumbuli: Tutamchukulia Fomu January Makamba kwa Fedha Zetu!

    Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wazee wa Jimbo la Bumbuli, Mkoani Tanga, wameibuka na ahadi ya kumchukulia fomu ya kugombea ubunge kwa Mbunge wao wa sasa, January Makamba kwa kutumia fedha zao binafsi kama ishara ya kutambua mchango wake mkubwa katika maendeleo ya jimbo hilo kwa...
  4. bab-D

    JamiiForums Tanzania Mwenye nakala ya kanuni za maadili ya uchaguzi atusaidie

    Habari wakuu nimesikia mjadara sehemu wa sheria ya maadiri inataja vitu vifuatavyo 1, chama cha siasa au mgombea anaweza kusain fom ya maadili muda wowote kabla ya kampeni kuanza 2, uchaguzi ni haki ya kikatiba kwa vyama vyote ,itahesabika chama kimekubaliana na masharti kikitoa kauri ya...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Kawaida: Walionyimwa Haki ya Kugombea Msiogope, Karibuni CCM

    Kutokana na uwepo wa taarifa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kulikosababishwa na kukataa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Ali Kawaida, amesema amepokea malalamiko mengi kutoka kwa vijana juu ya kunyimwa haki yao...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Kikatiba bado Chadema ina nafasi ya kushiriki Uchaguzi mkuu 2025

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, anasema chama hicho bado kina nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, na kwamba kutosaini kanuni za maadili hakuwaondoi kikatiba kushiriki uchaguzi, kwani hakuna muda wa mwisho wa kusaini — wanaweza kufanya hivyo siku yoyote watakayotaka...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Patrick Asenga afukuzwa kwenye kikao Segerea kwa kupinga ajenda ya 'No Reforms No Election'

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliokaa tarehe 14 April Mwaka 2025 Jimbo la SEGEREA kwa pamoja wamemfukuza aliyekua Mwenyekiti wao wa Jimbo hilo Bw. Patrick Asenga kwenye kikao kwa kuwa ni sehemu ya watu wanaopinga ajenda ya CHADEMA inayoitwa NO REFORMS NO ELECTION. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Hakuna Chama cha siasa nchini kinachohamasisha vurugu, viongozi wa dini wasipayuke bila utafiti

    Sheikh Ponda Issa Ponda amesema hakuna chama cha siasa nchini Tanzania kinachohamasisha vurugu, bali zinaakisi uwepo wa tatizo fulani. Ameeleza kuwa mtu mwenye busara anapobaini dalili za vurugu, anatakiwa kutafuta chanzo cha tatizo hilo ili kusaidia kulitafutia suluhisho. Kupata matukio na...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Kawaida: Sina mpango wa kugombea Ubunge kwani nataka nikitumikie chama changu cha CCM

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohammed Kawaida amesema kwasasa hana mpango wowote wa kugombea Ubunge kwani anataka akitumikie Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  10. Idofu

    JamiiForums Tanzania Hivi Vyama 16 shughuli zao za Kisiasa wanafanyia wapi?

    Kwa Kipindi hiki Cha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ni Vyama vitatu tu ambavyo ni CCM,CHADEMA na ACT ndio naona vina pilika pilika nyingi za kuuza sera zao kwa wananchi!! Swali la kujiuliza hivi Vyama vingine shughuli zao wanafanyia sehemu gani?,Kuna Vyama tangu uishe Uchaguzi Mkuu uliopita mpaka...
  11. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gazeti la Pambazuko Latabiri: Lissu kuwa rumande mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025

    Na Mwandishi Wetu KUNA kila dalili kwamba Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ‘atasota’ rumande hadi kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania, Novemba 2025. Lissu ambaye sasa amefunguliwa kesi ya uhaini, alikamatwa na Jeshi la Polisi Jumatano iliyopita -...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lusinde alia wanaoomba ajira kufanyiwa mitihani, atoa pendekezo haya Bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Mvumi (CCM) Livingstone Lusinde (Kibajaji) amekosoa mfumo unaotumika kutoa ajira nchini kwa madai mfumo huo umekuwa hauwatendei haki Watanzania na unachangia kuleta mawazo kwa vijana. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  13. USSR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyoyafanya Rais Samia na mbunge Ezra John kwa ajili ya Biharamulo na Tanzania, acha siasa iwe upendo

    Anaandika Mwl. Mbelwa Petro. ALIYOYAFANYA DAKTA SAMIA SULUHU NA MBUNGE EZRA JOHN KWA AJILI YA BIHARAMULO NA TANZANIA, ACHA SIASA IWE UPENDO. Tangu serikali ya awamu ya sita chini Rais Dakta Mama Samia ianze kazi, wilaya ya Biharamulo tumenufaika na miradi mingi iliyogusa maeneo yote muhimu...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Ndumbaro: Watanzania puuzeni wanaowashawishi msishiriki uchaguzi

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Watanzania wote kuwapuuza wanasiasa wanaowashawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba kwa kila Mtanzania mwenye vigezo. Akizungumza Aprili 14, 2025 katika...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa nini CCM kila wakati wanawaza kuwa CHADEMA itakufa!?

    Tangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA. Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa! CHADEMA...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya haki za binadamu na sheria Afrika Mashariki watoa waraka unaomtaka Rais Samia amuachie Tundu Lissu

    Wakuu, Sakata la Tundu Lissu kukamatwa na kuwekwa ndani kwa uahini limeendelea kuchukua sura mpya. Siku ya leo taasisi za haki za binadamu na sheria kutokea Afrika Mashariki yameungana na kutoa waraka wa pamoja wa kukemea na kulaani kukamatwa kwa Tundu Lissu. Waraka huo ambao umesainiwa na...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mradi wa maji Ziwa Victoria kuelekea Singida - Dodoma, kukamilika Juni 2025

    Serikali inaendelea na upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Victoria hadi mikoa ya Singida na Dodoma, ambao unatarajiwa kukamilika ifikapo Juni 2025. Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ameeleza hayo leo Aprili 14, bungeni jijini Dodoma wakati...
  18. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitendawili ACT Wazalendo kupinga kanuni walizosaini

    Wakati Chama chama ACT Wazalendo kikiwa kimesaini kanuni za maadili ziliztolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), sasa kimetangaza kampeni ya kuzipinga mahakamani kwa madai kuwa zina upungufu mkubwa. Chama hicho kilikuwa miongoni mwa vyama 19 vilivyosaini kanuni hizo Aprili 12, 2025...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza awamu ya pili ya kuandikisha wapigakura kuanza Mei Mosi mwaka huu

    Wakuu, Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili utafanyika sambamba na uwekaji wazi wa Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia tarehe 01 Mei, 2025 na kukamilika tarehe 04 Julai, 2025. Akizungumza jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2025 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) yawataka wapiga kura kuhakiki taarifa zao kwa simu

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wananchi kutumia njia rahisi za kiteknolojia kuhakiki taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi ujao. Akizungumza leo Aprili 14, 2025 na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mwenyekiti wa Tume...
Back
Top Bottom