kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA - Simiyu akamatwa na Askari baada ya kuachiwa huru Mahakamani

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Simiyu, Mussa Onesmo anadaiwa kukamatwa na Askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ambako alikwenda kusikiliza shauri lililokuwa linamkabili Mahakamani hapo. Kwa mujibu wa Wakili wake, Alex...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Usalama na maadili ya CCM iwaengue Watumishi wa umma watakao toroka kazini kwenda kuomba uteuzi kugombea Ubunge bila kibali

    Ifanye hivyo ili iwe fundisho kwa watumishi wa umma wenye tamaa na kila nafasi ya utumishi na wasioridhika kuwatumikia wananchi kwenye nafasi wanazotumikia kwa sasa. Majuzi, jaji mkuu alitoa angalizo kwa watumishi wa mahakama wenye nia au kusudio la kwenda kutangaza nia kugombea ubunge au...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Asante sana Brenda Rupia Jonas, Naweza kusema wewe ni Mkurugenzi bora kabisa wa Habari na Uenezi katika kizazi na kipindi hiki

    Leo kwenye pitapita zangu Mtandao wa X nimekutana na post aliyotuma Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema Bi. Brenda Rupia Jonas yenye clip ya maneno yaliyowqhi kusemwa na Viongozi mbalimbali (wa Vyombo vya Dola, Chama cha Mapinduzi na Serikali) kuhusiana na kukipendelea Chama cha Mapinduzi...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lindi: Wanachama 50 wa ACT Wazalendo, watimkia CCM kwenye mkutano wa Amos Makalla

    Zaidi ya wanachama 50 wa Chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM), wakisema walichojifunza upinzani ni ukaidi na vurugu na sio kufanya mambo yenye manufaa kwa wananchi. Wanachama hao wamepokewa leo Aprili 13,2025 na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri Sagini: Gongo na Pombe za asili zinaruhusiwa kutengenezwa ukiwa na Leseni maalum Kisheria

    Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini amesema pombe aina ya gongo, machozi ya simba, moshi au umeme, inaweza kutengenezwa ikiwa mtengenezaji ana leseni inayotolewa kwa mujibu wa kifungu cha 19 cha Sheria ya Kudhibiti Pombe za Asili. Aidha, amesema mtu yeyote anayekusudia kutengeneza...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ameiweka Chadema kwenye mtego mbaya sana. Oneni hapa

    👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki. 👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani". 👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndumbaro anaposema Samia Legal Aid siyo bure ni kwamba wote tumelipiwa na Rais anamaanisha hizo hela zinatoka mfukoni mwake ama?

    Akizungumza katika Uzinduzi wa msaada wa Kisheria wa mama Samia, waziri wa katiba na sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa kampeni hiyo inaonekana ni bure na inatolewa bure kwa wananchi lakini ki uhalisia huduma hiyo imelipiwa na Rais Samia.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasomi Vyuo Vikuu waapa kumchagua Rais Samia kwenye Uchaguzi Mkuu 2025

    Wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati nchini wameeleza dhamira yao ya kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwa ajili ya kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais. Wamesisitiza kuwa kwa umoja wao, hawatapigia kura chama au vyama visivyo na malengo mahsusi au dira ya kuiongoza na...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge na Waziri Mstaafu John Chiligati: Siku hizi uongozi CCM umekuwa kama bidhaa, mwenye hela nyingi ndio anapata. Ni aibu!

    Wakuu, Aliyekuwa Mbunge wa Manyoni na Waziri wa ardhi wa zamani, John Chiligati amesema kuwa kwa sasa kuna tabia za rushwa zinaedelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na kuongeza kuwa pamoja na Rais Magufuli kutaka kusitisha vitendo hivyo lakini baadaye na yeye akaja kufeli. Soma pia: Special...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Nkuba: Ili kupingana na utaratibu wa Rais kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi inapaswa kupeleka mapendekezo ya mabadiliko ya katiba kwenye eneo hilo

    "Katiba ndio imempa mamlaka hayo, Rais. Na nchi zote duniani Mkurugenzi wa uchaguzi, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi lazima awe nominated na kuteuliwa na Rais" "Utaratibu huo ndio upo kwenye katiba kwahiyo kama unapingana na utaratibu huo maana yake unapingana na katiba, kwahiyo kama concern ni...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: CHADEMA wameogopa kuingiza timu uwanjani uchaguzi mkuu

    Katibu wa NEC anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, ameielezea CHADEMA kuwa haina dira ya kisera inayoweza kuwasaidia wananchi, zaidi ya kutegemea maneno na misaada ya kifedha kutoka kwa wanachama wake. Akihutubia mkutano wa hadhara...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alionya dhidi ya kutumia majukwaa ya dini kueneza ajenda za Kisiasa. Huyu Nabii hakusikia kauli ya Mkuu wa Nchi?

    Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha. Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama watanzania wana amani ya kweli basi hakuna haja ya serikali kuminyana na CHADEMA, watanzania watamaliza kazi kwenye Uchaguzi Oktoba 2025

    Hakuna haja ya kusimama jukwaani na kuwashutumu watu kuwa wanampango wa kuharibu amani. Serikali ipo vizuri na imesimama imara na iwape wananchi uhuru wa kuchagua wanyemtaka kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. WATANZANIA tuna akili timamu huwezi kunambia eti CHADEMA kusimama majukwaani na...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Songwe: Awaasa Vijana wa Songwe Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu

    Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo mkoa wa Songwe Ezekia Zambi, akiwaasa vijana kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  15. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je Chadema itashiriki uchaguzi kwa kutoridhia kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za mwaka 2025?

    Naomba kuanza na Msingi wa kisheria ( Legal principle) ya “Waiver of right principle” Waiving a right means that such a right cannot be claimed by that individual. Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi ni kwamba, ukipewa haki na mamlaka au mtu na ukashindwa au ukasusa kutumia haki hiyo; huwezi kurudi...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Silaa: Mmiliki wa nchi hii siyo chama chochote cha siasa bali ni Watanzania wote

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amesema mmiliki wa nchi hii siyo chama chochote bali ni Watanzania wote. Amesema kitendo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kugomea uchaguzi mkuu, ni makosa na pengine wamefanya hivyo kwa sababu wamekosa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini: “No Reforms, No Election” ni dhana ya kufikirika tu isiyoweza kuzuia uchaguzi

    Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Omary Chulla, amesema kuwa kauli ya “No Reforms, No Election” ni dhana ya kufikirika tu isiyoweza kuzuia uchaguzi mkuu 2025 kufanyika. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 NCCR Mageuzi: Asilimia 98 ya mapendekezo yetu yamezingatiwa na INEC

    Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Evaline Munisi amesema asilimia 98 ya maoni na mapendekezo yaliyotolewa na Chama hicho yamechukuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakati wa kutunga Kanuni za Maadili yatakayotumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani Mariam Makasi: Kazi ya Rais Samia yaturahisishia kazi ya kuomba Kura Uchaguzi Mkuu

    Diwani viti maalumu Kutoka Wilaya ya Mpwapwa Mariam Makasi Amesema Kuelekea uchaguzi Mkuu Kwa aliofanya Rais Samia katika Nchi imetengeneza njia nzuri ya kuwafanya wao kutohangaika kutafuta kura Kwa wananchi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Nikiangalia Vyama vya Upinzani ni kama havipo

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameyasema hayo, leo, Aprili 13, 2025, Lindi Mjini, katika...
Back
Top Bottom