Wajasiriamali na wafanyabiashara katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Jumapili ya Pasaka ya April 20,2025 walisheherekea sikukuu hiyo pamoja na Mbunge wa Jimbo lao la Hai Saashisha Mafuwe
Mbunge Saashisha alikutana nao kwa lengo lakuwasikiliza changamoto zao pamoja nakuwaeleza...
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani Geita, Nicodemas Maganga, amesema ataendelea kuwa mkali na kusimamia kwa karibu matumizi ya fedha zinazotolewa na serikali kuu kwa ajili ya kutatua changamoto za wananchi na kuboresha miundombinu ya kijamii.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Wakuu,
Kuna watu wameenda kuitisha press kupinga ile kauli ya Heche kwamba watu waende mahakamani kushuhudia ksi ya Lissu Tarehe 24.
Hii nchi inahitaji ukombozi mkubwa sana wa kifikra. A total social autopsy is needed.
-----------------------------
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusingi Unguja, Mhe. Wanu Hafidh Ameir amefungua mafunzo elekezi kwa viongozi na watendaji wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kuanzia ngazi ya Matawi, Wadi, Jimbo na Wilaya yaliyofanyika kwenye ukumbi wa TASAF, Zanzibar
Wanu amefungua mafunzo hayo tarehe 20...
Mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kuchagua mgombea wa kiti cha Urais wa JMT
Mchakato wa kumpata mgombea u - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndani ya CCM unafuata utaratibu maalum kulingana na Katiba ya chama na kanuni zake za uchaguzi. Kwa ujumla, mchakato huu unahusisha...
Angalau viongozi wa dini wameanza kuwa wakweli na wameanza kuwaheshim waumini wao hii kuonyesha kwamba angalau Kuna mabadiliko makubwa kwenye jamii yetu.
Naamini huu ni mwanzo tu huko mbele najua hii hali itakuwa kubwa sana.
Hili Taifa tuna haki ya kulisaidia na viongozi wa dini huu ni wajibu...
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa letu Tanzania, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule Lissu anayesema...
Hatimaye Serikali imekiri kwamba madai ya kuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki hayawezekani kutokana na muda uliopo kufikia tarehe ya uchaguzi yaani Oktoba 25, 2025.
Mbali na wadau wengine, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekuwa na madai ya kuwepo kwa mabadiliko ya mfumo wa...
Viongozi wote wa CCM wanajua kabisa endapo watakubali uchaguzi wa Uhuru,uwazi na Haki basi watafurumushwa kutoka madarakani,
kwa hiyo wanatumia propaganda kuwaaminisha baadhi ya raia wajinga kwamba Chadema wanataka kuleta machafuko
Lakini it's to late kizazi cha sasa hivi siyo kile cha Nyerere...
Baada ya kusikia viongozi wa dini pasaka kuhusu haki naona sasa media zinatumia mda mwingu kwa mwijaku na manara.
Nilitoa uzi kuwa na wasiwasi na hizi tafrija kubwa za wasanii mfano Harusi ya jux ila nilicho shambuliwa kusema ni wivu.
CCm wanaona pesa nyingi kuzimisha media mpaka hapa JF ni...
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.
Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo, akiongea katika ibada ya Ijumaa Kuu katika usharika wa Ifakara Mjini, ametoa wito kwa Watendaji wa Serikali kuto mdanganya Rais kwa kumwambia 'Mama hatukudai' wakati kuna mahali barabara hazipitiki.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo Ole Paulo, akiongea katika ibada ya Ijumaa Kuu katika usharika wa Ifakara Mjini, ametoa wito kwa serikali kuangalia upya malalamiko ya watu juu ya Tume Huru katika uchaguzi wa mwaka 2025.
"Manung'uniko ya Tume Huru ni...
Mkuu wa Wilaya ya Songea, Wilman Kapenjama Ndile, ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhakikisha wanasimamia na kuhimiza amani nchini ambacho taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Akizungumza wakati wa ibada ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi...
Ibada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu amegusia umuhimu wa maridhiano kwa Serikali.
Video: Kitenge TV
Je nitakuwa nipo sahihi au nitakuwa nimepotoka?
Nikisema mitandao ya kijamii inatudanganya sisi vyama pinzani Maana ukiaangalia tunavyopata uungwaji mkono mitandaoni ni tofauti na kwenye maisha ya uhalisia uku mtaani wananchi wengi hawana muamko wala uelewa wa mambo ya nchi yanavyokwenda wao...
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi,(CUF) wilayani Handeni mkoani Tanga Hilary Kitwanga ametangaza kuhama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi,(CCM).
Akizungumza kwenye kikao cha halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Handeni kilichofanyika leo Jumamosi April 19,2025 kwenye ukumbi wa mikutano...
MJUMBE wa Baraza Kuu la Wazazi - CCM Taifa kupitia Mkoa wa Mtwara, Ndg. Idrisa Yusuph Nannila, amehutubia katika kampeni kabambe ya kuhamasisha vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025,Kongamano hilo lenye Taswira ya KIJANA NA SAMIA SHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewaasa Wakristo kuliombea Taifa amani, utulivu, umoja na mshikamano uendelee katika kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025.
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu imeeleza, Dk Biteko amesema hayo leo Jumapili, Aprili 20, 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.