Watendaji wa vituo wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Mkoani Tabora katika uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakitoa tamko la kujitoa uanachama wa chama cha siasa au kutokuwa mwanachama wa chama cha siasa na kiapo cha kutunza siri, mbele ya Afisa Mwandikishaji (hayupo pichani)...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka watanzania kusimama na Rais Samia Suluhu Hassan katika kulinda amani iliyopo nchini kwani Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine.
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla alieleza hayo wakati akizungumza na...
Nabii Rolinga, kupitia mahubiri yake aliyoyatoa ameeleza kuwa Watanzania hawafurahishwi na yanayoendelea nchini, umwagaji wa damu, watu kukamatwa na kufungwa nk bila kujali nani ana haki nani hana.
Amewataka watawala kumaliza tofauti zao na kukaa mezani ili kila mmoja aseme anachotaka...
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa, amewataka watumishi wa umma wa mkoa huo kuwasilisha nakala za vitambulisho vyao vya kupigia kura mara zoezi la uhakiki litakapoanza.
Amesema hatua hiyo inalenga kubaini idadi ya watumishi wa serikali ambao hawakujiandikisha kwenye...
Nilimuuliza moja ya Shabiki wa CCM, kama njia inayotumika kwa sasa na Chadema kudai reform na haki inaitwa ni njia ya kuvuruga amani, je ni njia gani nyingine Chadema iitumie kudai reform na haki ili jeshi la polisi lisiingililie, na wala isionekane lengo ni kuvuruga amani ? Sikuwahi kupata...
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania kufahamu kuwa ulinzi wa pesa zao chini ya Rais Samia hauna kifani kwakuwa kipimo pekee Cha matumizi sahihi ya pesa za Serikali ni ripoti ya mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za Serikali CAG...
Wakati akifanya mahojiano na Millard Ayo hivi karibuni, Jesca Magufuli ameeleza kuwa Rais Samia Hassan ameendelea kuwa na mchango mkubwa katika familia yao.
Ameeleza kuwa bado anaendeleza matibabu ya bibi yao ambaye amekuwa akiugua hata kabla John Magufuli hajafariki. Aidha wadogo zao waliokuwa...
Mapambio kila kukicha bila kuchoka
==
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Ndaisaba Ruhoro akiwa anata mchango wake bungeni leo April 29, 2025 ameeleza kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo anastahili mitano tena na hata wale wa upande wa pili wa 'No reofrms No electio' wanasema kimoyomoyo Samia...
Baba wabariki watumishi wako wafanye kazi pamoja na wewe.
Sisi Watanzania tunasubiri Baraka zetu kutoka kwako.
Kisa cha Samsoni kwenda kuoa Mke kwa Wafilisti Wazazi wa Samsoni Mzee Manoa walishangaa sana. Walidhani Mtoto wao wa Kiume amechanganhikiwa kwenda kuoa kwa Watesi wao.
Lakini jambo...
Mwenye Jimbo la Moshi mjini ni mmoja tuu naye ndiye anayewapa msongo wa mawazo waroho wa madaraka na kufanya wajione wanaweza KAZI za kiume wakati wao ni wavulana....
Mbunge asiye na chembe ya futna Wala magomvi...
Mbunge PRISCUS TARIMO ni mtu mwenye hofu na MUNGU...
Mbunge wetu anapigania...
Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.
Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania...
Jamaani kilichonifurahisha hapo ni aina ya mapokezi yakiongozwa na usafiri pendwa kanda ya ziwa
Mapokezi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Kawaida mkoani Geita.
Wanabodi
Leo naendelea na somo la Ijue Katiba ya JMT ya mwaka 1977 kwa jicho la mtunga katiba。
Hii ni mada ngumu ya hoja za kisheria,hivyo nakuomba kama hujawahi kuwa na interest hata ya kusoma tuu katiba,nakushauri pita mbali na mada hii。
Utambulisho
Kila nikileta mada za kisheria zinazohusu...
Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...
Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amepokea Wanachama wapya 25 waliojiunga na Chama hicho kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kojani, Wilaya ya Wete Pemba.
Vijana hao wamejiunga leo 28 Aprili 2025 katika mkutano wa hadhara unaoendelea muda huu katika...
Salam Wakuu,
Muliro ametoa statement leo akisema wao walimkamata Heche na Mnyika pekee na kwamba hawahusiki kwa wengine waliokamatwa na kuteswa.
Wanachama wamehojiwa wakiwa wamepigwa na kuumizwa vibaya, kwamba wanatuambia walijiteka wenyewe na kujipiga?
Siku ile ya kesi ya Lissu nilikuwa na...
Hamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki...
Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi (CCM), Dkt Emmanuel Nchimbi amewataka Wabunge wenye nia ya kugombea watambuane na yeyote atakayeshinda au kushindwa amuunge mkono mwenzake.
Dkt Nchimbi ameyasema hayo wakati akiongea na Wananchi wa Nyamongo, Tarime Vijijini, aliposimama kuwasalimia.
“Katika...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka upinzani kutozibeza Tume za Uchaguzi, INEC na ZEC, na kudai si huru wakati Chadema na ACT Wazalendo vimekuwa vikiongeza idadi ya viti vya Udiwani, Uwakilishi, Ubunge na kupata kura nyingi za urais.
CCM kimesema Tume hizo ziko huru na zinatenda haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.