Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,033
- 11,655
Nilimuuliza moja ya Shabiki wa CCM, kama njia inayotumika kwa sasa na Chadema kudai reform na haki inaitwa ni njia ya kuvuruga amani, je ni njia gani nyingine Chadema iitumie kudai reform na haki ili jeshi la polisi lisiingililie, na wala isionekane lengo ni kuvuruga amani ? Sikuwahi kupata jibu.
Je kudai Reform na Haki ya Uchaguzi ni kuota mikia na kuvuruga amani?
Jeshi la Polisi ni mali ya CCM au ni mali ya Wananchi ?
-
Nina heshima kubwa sana na Christian Society, However I am not Christian! TEC ndio the only society waliomuita JPM chemba na kumuambia John, utamaliza wananchi…. hizi sio Sifa za John , ACHA!
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi
Canada