kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane

    Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1 Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Padri Muchunguzi: Tunaachaje kuzungumzia siasa wakati waumini wetu ni wanasiasa? Tutawafundishaje?

    Wakuu, Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli? Wataumiza na kuua wangapi mpaka wajue hawawezi kunyamazisha watu kusema kweli isipokuwa tu kwa kubadilisha mienendo...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa. Akizungumza leo...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza Ndg. Peter Machoko ahamia CCM na wafuasi 167

    Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM. My Take:Kumeanza kuchangamka
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sakata la kutekwa kwa Mdude, mzee afichua jinsi Polisi walivyomfuata kutaka awasaidie kumfanyia Ujasusi ili wampate

    Wakuu, Mungu anaendelea Kuwaumbua. Kwa madai ya huyu mzee ALIFUATWA NA POLISI TANZANIA, MZEE ANAMTAJA POLISI KWA MAJINA YAKE, MZEE ANASEMA, JUZI JUZI JUZI walimfuata Nyakati za usiku, wakimuahidi malipo ya Pesa anayotaka, iwapo atafanikisha kuwaambia Mdude Nyagali anakaa wapi . Mzee...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Ukishindwa Ubunge nenda mtaani kwa roho safi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka viongozi wa kisiasa hususan wabunge kutojisikia vibaya pindi watu wengine watakapoingia kwenye nafasi zao, kwani ni jambo la kawaida.
  7. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Ndelwa: Mahakama pekee ndiyo ilitakiwa itoe tafsiri kuhusu kusaini kanuni za uchaguzi

    Kipindi cha Cafe Talk kimefanya mahojiano kutoka watangazaji wa vipindi mbalimbali nchini kuhusiana na kanuni za Tume huru za uchaguzi ambao unatarajiwa kifanyika mwaka huu mwezi wa kumi. Ambapo wakili Lwijiso Ndelwa alitolea ufafanuzi kuhusu kanuni za uchagguzi na kueleza kuwa anayepaswa kutoa...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa dini wakiombea mitano tena ni wema, ila wakipinga unyanyasaji ni wachochezi na wahaini? Serikali mnafeli

    Wakuu, Yaani serikali, CCM mpaka mama mnaishangaza dunia, na kufanya hata tusiamini kwa huu ujinga na upuuzi mnatenda. Mama hadi alikenua Sheikh wa BAKWATA kumuombea ampe tulizo la moyo kwa kumpa mitano tena, hapo Sheikh alikuwa malaika, hana baya, ila ukiambiwa kweli ndio ukunje ndita? Vipi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama Msanii asiyeona alipoimba wimbo wa papo kwa papo kuhusu uchaguzi

    Magesa Inyasi, mwenye ulemavu wa macho na mkazi wa Musoma Mjini mkoani Mara amejipatia umaarufu mkoani hapo kutokana na kipaji chake cha kipekee cha kutunga nyimbo za papo kwa papo kulingana na matukio ya kijamii, kidini na kitaifa, huku akitumia mdomo na vidole vyake kuiga midundo ya vyombo vya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Kuzungumzia uchaguzi na umuhimu wa kupiga kura kwa wanavyuo si kosa

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu Nchini Ndg Geofrey Kiliba amewaeleza wanavyuo wa mkoa wa Dar es Salaam Kuwa huu ni wakati Sahihi Wa kuwakumbusha wasomi kuhusu uchaguzi, kupiga kura na kulinda amani va Taifa Ndg Geofrey Kiliba ameyasema hayo akizungumza na wanafunzi Wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shigongo: Buchosa ijayo itakuwa ya viwanda na utatii

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akiwahutubia wananchi wa Nyehunge, amesema Buchosa ijayo itakuwa ni ya viwanda na utalii ambapo ameonesha kukerwa na suala la maji ya kunywa kwenye jimbo hilo kusafirishwa kutoka Shinyanga.
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Viti Maalum, Alice aomba dharura ya pongezi ili Bunge limpongeze Rais Samia kuongeza mshahara!

    Ndio maana hata viti maalum vinapigwa vita, maana wakipewa 99% wanakuwa manyumbu, kuongea ujinga mradi waendelee kubaki kwenye viti hivyo. Mkitaka kujua nani ni manyumbu bungeni angalia tu hao wote waliosimama hapo. Na spika eti amepokea, na kupongeza kwa niaba ya bunge!🤦‍♀️🤦‍♀️ Afu wananchi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna mtu mwenye uwezo wa kufikiri vizuri ndani ya CCM atuambie ubaya wa kuahirisha uchaguzi kwa miaka miwili ili kanuni zirekebishwe ni nini?

    Kama kweli kuna mtu mwenye akili nzuri ndani ya CCM, basi atuambie ubaya wa kuahirisha uchaguzi mkuu ili kanuni na taasisi za uchaguzi zirekebishwe ni nini? Angalia kwamba, tukiahirisha uchaguzi, tuseme kwa miaka miwili, yafuatayo yatakuwa dhahiri; CCM itaendelea kuwa chama tawala bila...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Haji: Tumekuja Kizimkazi kufanya Dua kumshtakia Mungu Amani ya nchi

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende Pamoja na Mama Sports Promotion Mohamed Haji amefunguka dhamira ya kufanya Dua maalum Kizimkazi Zanzibar, na kusema kuwa Dua hiyo ni kumshtakia Mungu kuendelea kutupa Amani nchini Pamoja na kuwalinda Viongozi wa Serikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TLP wamuomba Rais Samia aingilie mgogoro wa uongozi ndani ya chama hiko

    Mgogoro wa kiuongozi ndani ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) umechukua sura mpya baada ya kundi la viongozi wa chama hicho, tarehe 29 Aprili 2025, kutoka mikoa mbalimbali nchini, kufika katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa jijini Dar es Salaam wakiwa na mabango, wakimlilia Rais wa...
  16. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

    Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu. Walikuwa na silaha, wamevunja mlango. Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwake Mbeya. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 James Mbatia: Waliomshambulia Padri Charles Kitima walilenga kumuua

    Mwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo. Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari sana yanayoendelea nchini, na kufikia uamuzi kuwa ni bora Rais Samia aidha akubali kuahirisha uchaguzi tubadili kanuni au asigombee

    Nimekuwa nimtafakari sana, na huko nyuma niliona hili likija, na hata nikaandika usi humu JF, kwamba msimamo wa Rais Samia na CCM kuhusu kubadili kanuni za uchaguzi unaligawanya taifa na hali zitazidi kuwa mbaya. Wenye akili walinielewa. Bado nina ushauri kwa Rais Samia, kwamba ni bora...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Salam Wakuu, Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga watumishi na viongozi kuhakikisha kura zinaibwa bila kuleta kelele na shida yoyote. Jamaa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanaisha Mndeme aomba kuteuliwa kugombea ubunge Kigamboni

    Mchakamchaka wa kuomba kuteuliwa Kugombea Ubunge katika Jimbo la Kigamboni Jijini Dar es salaam zimeanza kupamba moto ambapo leo Katibu wa Idara ya Mambo ya nje ya chama cha Act-Wazalendo Wakili MWANAISHA MNDEME amechukua fomu ya kuomba Chama hicho kumpa ridhaa ya kugombea katika Uchaguzi Mkuu...
Back
Top Bottom