Chama cha ACT Wazalendo kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha kuwa kauli aliyoitoa katika hotuba ya maadhimisho ya Muungano kuhusu uchaguzi huru na wa haki mwaka huu, inatekelezwa kwa vitendo na si kwa maneno pekee.
Wito huo umetolewa na Katibu...
Makalla anatudanganya eti atakayeshinda kwa haki atangazwe, ina maana uchaguzi uliopita wapinzani hawakushinda kwa haki baadhi ya majimbo walidhulumiwa? Tanzania hii kuwa na uchaguzi wa haki ni pale Jumuiya ya kimataifa itakapoingilia kati na kuwa na wasimamizi huru wa uchaguzi.
Sehemu ya Hotuba ya Geofrey Kiliba Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu nchini katika ziara yake mkoani Iringa.
Kiliba anaendelea kuwatembelea wanavyuo katika mikoa mbalimbali nchini kwa lengo la kupokea changamoto zao pamoja na kuwapa elimu juu ya umuhimu wa kudumisha amani...
Umoja Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Geita umeridhia kwa kauli moja kumpatia kura za Ndio na za kishindo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema hawatamvumilia mtu yeyote ambaye anapotosha kuhusu maendeleo yaliyopatikana chini ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Shigongo ameyasema hayo mbele ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Ally Kawaida...
Wanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Miongoni mwao yupo aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho katika Jimbo la Buchosa, Ovu Malagila ambaye ameeleza sababu za kukihama Chadema na kummwagia sifa Rais...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence Samizi hachoki wala kupumzika kulipambania Jimbo lake ambapo anafanya ziara kila kukicha na Bungeni anapambana kutafuta maendeleo ya Jimbo.
Baada ya kufanya ziara kubwa na nzito ya kuzungukia Jimbo na kusikiliza kero za wananchi na...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe kimewaonya Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya ya Momba pamoja na Mbunge wa Jimbo la Momba, Kondesta Sichalwe kutokana na mvutano ulioibuka kati yao hivi karibuni katika mkutano.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Hali ya uzalishaji wa umeme nchini kutoka vyanzo mbalimbali na kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa imeongezeka toka megawati 1,601.84 mwaka 2020/21 hadi megawati 4,031.71 April, 2025. Hivyo tuna umeme wa kutosha na ziada.
Pamoja na juhudi za kuongeza uzalishaji, serikali imekua ikitekeleza mradi...
Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Dkt. Charles Kitima, amesema kuwa jukumu la viongozi wa dini kukemea maovu katika jamii, likiwemo wizi wa kura na ukiukwaji wa misingi ya haki katika chaguzi, si kuingilia siasa bali ni kutimiza wajibu wa kidini na kimaadili...
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa UVCCM Taifa, Jessica Mshama, ametoa onyo na wito mzito kwa Watu wote wanaonuia kuwatumia Vijana kufanya vurugu na kuwadanganya Vijana wasitimize wajibu wao wa kikatiba au kuwavuruga hususani wakati huu wa mchakato wa uchaguzi mkuu kuwa waache mara...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Abasi Mtemvu amewataka Vijana nchini kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kama nyenzo ya kujenga jamii na kuchochea maendeleo badala ya kujiingiza katika utengenezaji wa maudhui yasiyo na tija katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Kupata...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi.
Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja...
Salaam,
Chama kikubwa Cha upinzani ambacho killipata kura za urais zaidi ya 40% mwaka 2015 ambacho ni chama kikuu Cha upinzani Hadi sasa kutokuwepo kwenye uchaguzi sababu ya serikali ya chama Cha kijani kukataa reforms kufanyika Katika katiba yetu Ili kupata u
Tume huru ya uchaguzi.
Tujiulize...
John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaamini kuwa marekebisho mengi yaliyofanywa katika sheria mbalimbali za kusimamia uchaguzi (mabadiliko ya sheria ya uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais; mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa; na mabadiliko ya sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi -INEC)...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Katavi Idd Kimanta amewataka wananchi kulinda amani kipindi cha uchaguzi ikiwanipamoja na kuchagua viongozi wanaofaa kuwatumikia kwa miaka mitano ijayo.
Kimanta ameyasema hayo wakati akizungumza na wa umini wa dini ya kikristo alipokua akiongoza...
Mwenyekiti wa AAFP, Said Soud akiongea na SAUT DIGITAL amesema ni vigumu mtu akikuajiri halafu ukamkataa, ataka tume huru yenye kuweka usawa ili kufanya uchaguzi uaminike kwa wananchi wote na kuwa huru na wa haki.
Ameendelea kusema kwa sasa kuna vyama 20 vya siasa badala ya 19 vilivyosajiliwa...
Mkutano Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), umemchagua Bw. Majaliwa Kyara, kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama hicho, kwenye Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, wakisisitiza kauli mbiu ya chama chao Sala na Kazi, wakiamini italeta mafanikio katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.