kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Andrew Kisaka: Samia Kalamu Awards kuboresha maudhui ya ndani

    Meneja wa Huduma za Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Andrew Kisaka amesema Tuzo za Samia Kalamu Awards zimeanzishwa baada ya TCRA kubaini mapungufu katika maudhui ya ndani, hivyo wakaona kuna haja ya kutoa hamasa kwa waandishi wa habari kuandika habari...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Tusikubali nchi iharibiwe na watu wachache

    Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania hivyo amewasisitiza vijana kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotegemea kufanyika hivi karibuni.
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiza Mayeye wa ACT Kugombe ubunge Kigoma Kiskazini

    Mwanachama wa Chama Cha ACT Wazalendo, Kiza Hussein Mayeye Mei 03, 2025 amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya chama hicho. Kiza Mayeye ambaye pia ni Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa ACT...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa siasa na uenezi CCM Njombe, awaonya wanaokejeli viongozi kwenye mitandao

    Kamati ya Siasa ya halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi mkoa wa Njombe imetoa maelekezo kwa kamati za siasa wilaya zote mkoani humo kuwachukulia hatua wanachama na viongozi wote wa chama hicho wanaoandika maneno yenye kukejeli na kutukana viongozi mitandaoni. Akitoa taarifa ya kikao cha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: CHADEMA wapo kwenye harakati za kufanya Tanzania isitawalike

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kuwa baada ya uchaguzi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitageuka kuwa kama jukwaa la harakati kwa sababu wamepoteza muelekeo na malengo ya chama cha siasa ambayo lenho kuu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Itikadi na siasa CCM Ruvuma, amesema nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria, hakuna wa kuzuia uchaguzi

    John Forteo, Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenenzi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ameitaka Jamii na Vyama vya Siasa nchini kuhakikisha wanafuata sheria za nchi zilizowekwa . John Forteo ameyasema hayo wakati alipomuwakilisha Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Ruvuma Hemed Chale...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia hapaswi kupata shida sisi tukiwepo

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi na Watanzania kwa ujumla kuendeleza kauli ya kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa awamu nyingine ya uongozi, akisisitiza kuwa kauli ya "Mitano Tena kwa Dkt. Samia" inapaswa kutoka...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Chadema ndio wanapaswa kulaumiwa na wanachama wao kwa kukataa kusaini kanuni za maadili na sio kuilaumu Tume Huru ya Uchaguzi

    Nimemshangaa sana mzee wetu Warioba Kuishangaa Tume na kuzishangaa Kanuni za uchugazi badala ya kuwashangaa Viongozi wa Chadema (Katibu Mkuu) ambaye kwa Jeuri tu walisusia kusaini kanuni hizo za uchaguzi na huku wakitambua kufanya hivyo kutawazuia wao kushiriki uchaguzi Mkuu. Jambo hilo sio tu...
  9. Jackbauer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe kuchukua fomu kugombea Ubunge Kigoma Mjini

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kesho Mei 04, 2025 atachukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama hicho kumteua kuwa Mgombea wa Jimbo la Kigoma Mjini ambapo akishachukua fomu ataongea pia na Wananchi wa Kata ya Bangwe. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  10. Megalodon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

    Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI. Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia, hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia. Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwabukusi: Tunataka uchaguzi ufanyike bila mabomu wala vurugu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniphace Mwabukusi amesema anataka Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ufanyika bila mabomu wala virungu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Shauritanga: Vijana acheni kuwa na misimamo binafsi na badala yake fuateni miongozo ya chama kipindi cha uchaguzi

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Manzese, Boniface Shauritanga, amesema vijana wanahitaji kuungwa mkono ili kuhakikisha kila tukio la chama linafanikiwa. Ameongeza kuwa ni muhimu kwa vijana kuacha kuwa na misimamo binafsi na badala yake wafuate miongozo ya chama, hasa katika...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deus Kibamba: Katiba inasema Itakuwa ni marufuku kwa watu wanao husika na uchaguzi kujiunga na chama chochote cha siasa

    Mwanazuoni na mchambuzi wa masuala ya siasa, Deus Kibamba amesema kuwa kitendo cha mmoja wa Makamishna wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwa na historia ya kuwa kiongozi mwandamizi wa chama cha siasa kunaweza waondolea wananchi imani juu ya usimamiaji haki kwenye uchaguzi. Kibamba...
  14. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali isiyotishwa na wananchi, haitawajibika kwa wananchi

    Demokrasia hasa hii ya vyama vingi sio utamaduni mkongwe katika uongozi wa nchi nyingi duniani. Kihistoria mfumo mkongwe wa uongozi ni mfumo wa kifalme. Katika mfumo huu wakuu wa nchi hawapati haki ya kutawala kwa kuchaguliwa na wananchi, bali hupata haki ya kutawala kwa kuzaliwa kwenye familia...
  15. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

    Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
  16. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Warioba: Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri Bashungwa kutoa maoni kesi inayomkabili Lissu inaweza kutoa taswira mbaya kwa Serikali

    Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa maoni katika kongamano la kitaifa kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), amesema kwamba hatua ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na Wanaharakati kwa ujumla, anzisheni michango kusaidia familia ya Mdude

    Habari! Natoa wito kwa viongozi wa CHADEMA na wanaharakati wa haki za binadamu na wadau wengine kuanzisha michango kusaidia familia ya Mdude katika kipindi hiki ambacho hatima ya Mdude bado ni kitendawili. Huyu Bwana alitoa maisha yake kupambania Taifa hili na watu wake na pia alikuwa ni...
  18. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Familia ya Rais Mstaafu ichaguliwe iwe ya Kifalme Tanganyika, tusiwe tunahangaika na Uchaguzi wa Rais

    Katika zama hizi za mabadiliko ya kisiasa na kijamii, ni wazi kuwa taifa letu linaendelea kukumbana na changamoto nyingi kila uchaguzi mkuu unapokaribia. Hofu, migawanyiko ya kijamii, matumizi makubwa ya rasilimali, na vurugu za kisiasa zimekuwa zikijirudia kila mara tunapojitayarisha kumchagua...
  19. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mazungumzo ya Erick Kabendera na Mohammed Ghassan yarushwe na vyombo vyote vya habari Tanzania wananchi wapate elimu

    Erick Kabendera amefanya mahojiano ambayo yako youtube kuelezea kitabu chake alichokiandika (in the name of president (maagizo kutoka juu - kama walivyotafsiri wenyewe kwenye mazungumzo yao)). Ukiyasikiliza vizuri hasa hasa visa alivyoelezea kuhusu utekaji watu na kuwapoteza...
  20. Nkarahacha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi kamateni Faris Burhan Mwenyekiti UVCCM Kagera kufuatia kutekwa kwa Mdude

    Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute. Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya...
Back
Top Bottom