Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema kukamilika kwa miradi mikubwa ya kimkakati nchini, ikiwemo Reli ya Kisasa (SGR), ni matokeo ya sera madhubuti na mipango thabiti ya CCM inayolenga kuwaletea maendeleo...
Rais Samia Suluhu amesema Mwaka huu ni mwaka wa jambo kubwa, nchi yetu inakwenda kwenye uchagazi mkuu niwaombe mtumie kalamu zenu kuhamasisha umoja, amani na mshikamano nchini. Ameyasema hayo leo kwenye usiku wa tuzo za Samia Kalamu Awards mwaka 2025.
Soma Pia: Rais Samia akishiriki Hafla ya...
Mkienda katika uchaguzi kila chama kinapigania nafasi yake, wapinzani tunapaswa kuungana"-Ado Shaibu - Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
YAH: MALALAMIKO DHIDI YA KAULI NA AGIZO BATILI LA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI - UNGUJA, NDUGU IDRISA KITWANA MUSTAFA
Tafadhali ninaomba uhusike na mada tajwa hapo juu kama inavyojieleza.
Chama cha ACT-Wazalendo kinawasilisha rasmi malalamiko dhidi ya kauli na agizo lililotolewa na Mkuu wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, amesema chama hicho kinapiga hatua kubwa kwa kasi isiyopimika, huku akidai kuwa serikali kwa kukosa utashi wa kisiasa wa kukuza demokrasia nchini.
Akizungumza Jumatatu katika maadhimisho ya miaka 11 ya kuzaliwa kwa chama...
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewataja watu wanaodai haki kuacha kuwa sababu ya ukosefu wa haki kwa wengine.
Dkt. Ndumbaro alisema hayo mjini Morogoro wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa sheria wa Jeshi la Magereza kuhusu huduma za msaada wa kisheria, mapokezi...
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi amewataka Viongozi wa vyama vya kisiasa kutumia mafunzo ambayo Ofisi yake imewafunda kwa ajili ya kujenga mtazamo mpya na chanya, ambapo muktadha wake ukiwa kudumisha amani iliyopo hapa nchini.
Akizungumza Leo Mei 5 na Viongozi wa vyama vya siasa...
ACT wazalendo wameamuwa kushiriki uchaguzi bila kuwepo kwa mabadiliko yoyote yaliyofikiwa hadi sasa ya kiuchaguzi ili kuifikia haki hiyo ya uchaguzi kuwa huru na wa haki kama wanavyo hubiri kwenye vyombo vya habari.
sasa swali wanapo sema wanataka kushiriki kwenye uchaguzi bila mabadiliko hayo...
Askofu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jimbo la Kilimanjaro Magharibi, ambaye pia ni Mchungaji wa Kanisa la KICC, Dr. Glorious Shoo, amekemea vikali matukio ya karibuni ya ukatili na ukiukwaji wa haki za binadamu nchini, yakiwemo shambulio kwa Padre Dr. Charles Kitima na...
Siamini katika kuvunja katiba, vyovyote iwavyo ningependa uchaguzi ufanyike mwaka huu, kukiwa na ushiriki wa vyama vyote na CHADEMA kikiwepo.
Kama sauti yangu ingekuwa inasikika ningemshauri Rais, serikali iachane na kuisakama CHADEMA, binafsi naona matumizi ya mkono wa dola dhidi ya CHADEMA na...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina mgogoro na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kumwomba Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba kuwa msuluhishi wa yanayoendelea ndani ya chama hicho cha upinzani.
Amesema...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Nyagali, huku akiahidi Sh5 milioni kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa.
Ameyasema hayo Mei...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Laban Kihongosi amewataka Wazazi Mkoani humo kuwaepusha na kuwakanya Vijana wao kujiepusha na wanasiasa wanaotaka kuwatumia kuvuruga na kuharibu amani ya Tanzania hususani ya Mkoani Simiyu, akisisitiza umuhimu wa amani kwa maendeleo ya Mkoa wa Simiyu.
Kihongosi...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeonya watendaji na viongozi wake wanaohujumu mchakato wa kura za maoni za kupata wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Dk Mohamed Said Dimwa ametoa onyo hilo alipozungumza na wajumbe wa kamati za siasa za matawi, wadi na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, huduma za matibabu zimeimarika kutokana na kuboreshwa kwa hospitali za rufaa za mikoa.
Ameongeza kuwa ajenda kuu ya chama hicho ni kuendelea kuboresha huduma za afya kwa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Tabora kutogawanyika kwa sababu yoyote ile kisa uchaguzi mkuu mwa mwaka 2025 huku akiwahimiza kumuunga mkono Rais Samia kutokana na juhudi zake za kuwaletea wananchi maendeleo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Wilaya ya Misungwi, Francis Mazigo, ametangaza rasmi kujivua nafasi yake ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), akisema amevutiwa na katiba, sera na mwelekeo wa ADC kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Kupata...
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.